Ni kweli kabisa sababu kubwa ni ile undergraduate kujisomea mwenyewe unajenga uwezo mkubwa sana wa kujitegemea sasa huku juu baada ya degree ya kwanza ukifanikiwa kusoma utaratibu wa chuo walimu, vitabu kufundishwa unawakimbiza mpaka unawaonea huruma waliotoka vyuo vya kufundishwa ushahidi niao siwezi kuuweka hapa lakini najivunia kusoma OUT kwenye Interview huwa wanashangaa kama kweli nimesoma OUT.Hayo ni ya kweli, OUT kwa Tanzania Iko mbali Unless hiyo ranking itoe mchanganuo wa vigezo. na hasa kikubwa ni ELIMU itolewa inayomsaidia mwanafunzi kumudu maisha. OPEN usipime. Na usiombe kukutana intervuew na mtu kasoma opnen!! They are Good. nADHANI COULD HAVE BEEN 1 OR 2

Umbuzi huu, nani kapanga huu uongo....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
inaonekana chuo chako hakipo.hii ni orodha tu, hakuna chuo chochote cha kusinda any public university, au hivi vyuo vya private hamjui kama Mara nyingi vinapokea rejects,angalau kozi za afya
Open university ya sita??????? Haaaaaa. This ranking is doubtful
BEST TANZANIAN UNIVERSITIES: Latest Rankings 2016.
1 University of Dar Es Salaam
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 Mzumbe University
5 Mkwawa University College of Education
6 Open University of Tanzania
7 Hubert Kairuki Memorial University
8 Saint Augustine University of Tanzania
9 University of Dodoma
10 DAR University Kampala International University of Uganda Dar es Salaam
11 Ardhi University
12 State University of Zanzibar
13 Nelson Mandela African Institute of Science & Technology
14 Weill Bugando University College of Health Sciences
15 Tumaini University Makumira University College
16 Institute of Finance Management
17 Dar Es Salaam Institute of Technology
18 University of Iringa
19 Saint John's University of Tanzania
20 College of Business Education
21 Institute of Accountancy Arusha
22 Mount Meru University
23 Kilimanjaro Christian Medical University College
24 International Medical & Technological University
25 Teofilo Kisanji University
26 Zanzibar University
27 Mbeya University of Science & Technology
28 Mwalimu Nyerere Memorial Academy
29 Arusha Technical College
30 University of Bagamoyo UoB Dar es Salaam
31 Sebastian Kolowa Memorial University
32 Muslim University of Morogoro
33 University of Arusha
34 Dar es Salaam University College of Education
35 St Joseph University in Tanzania
36 Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College
37 Moshi Co-operative University
38 Tanzanian Training Centre for International Health
39 Archbishop Mihayo University College of Tabora
40 St Francis University College of Health and Allied Sciences
41 Jordan University College
42 Stella Maris Mtwara University College
43 Sumait University
44 Ruaha Catholic University
45 Tumaini University Dar es Salaam College
46 Tumaini University Institute of Agriculture
47 Josiah Kibira University College
48 United African University of Tanzania
49 Mwenge Catholic University
50 Tanzania International University
SOURCE
World | Ranking Web of Universities
Sub-Saharan Africa | Ranking Web of Universities
Best Universities in Tanzania 2015 - Latest Rankings
.....lakini najivunia kusoma OUT kwenye Interview huwa wanashangaa kama kweli nimesoma OUT.
Amna, kipo hapo ila naona wame kipaisha, kat chuo chenyewe DUBWANA tuu![]()
![]()
inaonekana chuo chako hakipo.
Hayo ni kwa maoni yako ambayo umeamua kuto kuyabadilokuyabadili, hiyo ni dhana ya zamani sana kwa sasa kuna vyuo vyenye ubora .Hivyo ndio VYUO,Vingine vyuo vya KATA Tu.
Unafikiri wote wanafanya kazi moja kama wewe? Maslahi yanapokuwa mazuri na vyeti vizuri una uwezo wa kubadili kazi.PoleNa wataendelea kukushangaa sana..! Unajisifia kufanya interview zaidi ya moja..! Kweli OUT ni noma. Hivi ni interview ngapi hadi sasa..!?
Mtoa mada itakuwa anasoma Kiu...This is a stupid ranking I have ever seen which ranks universities and their colleges, for example, UDSM and its constituent colleges. Here is the proper ranking: Top Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings
Mimi nimesoma DIT then OUT, aisee OUT ni hatari, mm naona kama inatakiwa iwe namba 1....umewahi kusoma OUT?!, au unakurupuka tu ku-judge kitabu kwa kuangalia cover!
Tena imeshuka mwaka jana ilikuwa ya 4, Open ni chuo bora kabisa ila watu wamezoea kuingia darasani.Open university ya sita??????? Haaaaaa. This ranking is doubtful
Hili nilishawahi kulisema ,ninalisema na nitaendelea kulisema .kuna watu mnajaribu kuvibeza vyuo vya private tu katika mapungufu lakini hamviangalii vyuo vya serikali pia ambavyo vimejaa uozo uliopitiliza . Trust me kuna vyuo vyuo vya private vinatoa quality education kwamfano KCMC pale kitabu kinapigwa si mchezo na sikatai kuwa kuna vyuo vya vya private vimejaa uozo lakini ukifanya utafiti utagundua elimu yetu imeshuka tu kiujumla ndo maana leo unaweza kuwachukua vijana 10 kutoka vyuo mbalimbali vya bongo na ukawafanyia interviews utagundua ninachokisema utakutana na vituko vya kuvunja mbavu no matter in what university hao vijana wanatoka na kwanini huwa hata hamjiulizi kwa nini wa Kenya na waganda majirani zetu huwa wanatubuluza sana likija suala la usahili katika kazi wakati tuna level sawa ya elimu ya chuo kikuu .kaa chini na tafakari acheni upambe wa kushabikia wagonjwa wanaoumwa ugonjwa unaofanana mimi kwangu hii ranking list ni upuuzi mtupu na usio na tija kwa taifa letu na maendeleo ya sekta ya elimu . Solution tuwe na elimu inayomwezesha mtu kujitambua na kupambana na kutatua changamoto zake na za jamii inayomzunguka ikiwemo uwezo wa kijiajiri amalizapo masomo pamoja na ubunifu katika carrier yake ili kuleta tija kwa taifa lakeHii ranking ni sawa na kushindanisha "wagonjwa", nani mgonjwa zaidi? Weka ranking ya Africa nzima ili tujue tuko wapi badala za shindanisha "wagonjwa".