Nikichezaga full character naona kama nacheza game za kitoto sana way back Playstation 1...Nikicheza za nusu(Hand+Gun) Alfu ukiwa na screen kubwa au projector+Dr Dre or any super Headphone duh!! najiona mimi ndio niko vitani..Call Of Duty MW3 nilimaliza mission nikarudi nikarudia tena mpaka sasa na mwaka wa 4 nacheza kwenye PS3..COD MW3 iko kwenye list ya my best games ever played..sipenda call of duty sababu mtu haonekan nikiwa nacheza napenda mtu mzima aonekane kama max payne, red etc
gta v sijawai kuionana hata kucheza
far cry3 is the best
torent kuna kila gemu unalojua
Ahahahahahahahahahaha Mkuu, Captain Price hajambo? Yuri je? Vipi akina Makarov!?Nikichezaga full character naona kama nacheza game za kitoto sana way back Playstation 1...Nikicheza za nusu(Hand+Gun) Alfu ukiwa na screen kubwa au projector+Dr Dre or any super Headphone duh!! najiona mimi ndio niko vitani..Call Of Duty MW3 nilimaliza mission nikarudi nikarudia tena mpaka sasa na mwaka wa 4 nacheza kwenye PS3..COD MW3 iko kwenye list ya my best games ever played..
Hili game Call of Duty 2 Black Ops kwa kweli sijalicheza mkuu vp ni kali kama COD MW3Ahahahahahahahahahaha Mkuu, Captain Price hajambo? Yuri je? Vipi akina Makarov!?
Naipenda sana ile Mission ya kumlinda President, helkopta ya kuokoa inapokuja tuu, mara makarov huyoooo!!!!
Kiukweli Call of Duty 3 ni tamu saba aiseee!!! Napenda hata siraha zake na mazingira ni ya kisasa zaidi ndo maana ikaitwa modern warfare.
Bila kusahau the end of the game Captain Price anapomuua adui kisha anadondoka mpaka chini harafu anajisogeza pembeni kisha anawasha sigara, hatari sana hawa watu Mkuu!!
Ila Mkuu kuna hii Call of Duty 2 Black Ops, unaionaje?
Kwa jinsi inavyoonekana ni kwamba Call of Duty 2 Black Ops huiwezi fananisha na COD 3, Hii Black Ops 2 ni balaa. Achana na akina Yuri na Captain Price au Soap. Huku kuna miamba miwili, ninaposema miamba ni miamba kweli kwenye mapambano.Hili game Call of Duty 2 Black Ops kwa kweli sijalicheza mkuu vp ni kali kama COD MW3
Ngoja nikadownload chap...Kwa jinsi inavyoonekana ni kwamba Call of Duty 2 Black Ops huiwezi fananisha na COD 3, Hii Black Ops 2 ni balaa. Achana na akina Yuri na Captain Price au Soap. Huku kuna miamba miwili, ninaposema miamba ni miamba kweli kwenye mapambano.
Kuna :-
1. Frank Woods
2 Alex Mason
Hatari sana hao watu hapo Juu!
Fifa ipi na COD ipi?IGI project 1 2
call of duty
Euro truck
need for speed most wanted
fifa
Fifa14 na nizile code ambazo unaziandika kwenye origin mkuuFifa ipi na COD ipi?
Kwa sasa FIFA 14 nipo nayo mbali ila hiyo Game mbona Crack zake zipo nyingi tu Mkuu!?Fifa14 na nizile code ambazo unaziandika kwenye origin mkuu
Mkuu nimezitafuta sana lakini nimeshindwa kuzipataKwa sasa FIFA 14 nipo nayo mbali ila hiyo Game mbona Crack zake zipo nyingi tu Mkuu!?
Kipindi cha nyuma nilishawahi kuandika Thread kwamba naitoa bure hiyo Game na nikaitoa sana tuu.
Mmmh mb?Ngoja nikadownload chap...
mkuu naomba link ya pes 2012 androidmimi games zangu ni za strategy tu napenda sana turn based games, nacheza age of heroes online (aoho), ancient empire, fire emblem, final fantasy, xcom enemy unknown, etc pia nacheza kidogo mpira tena PES tu, Fifa silipendi halina super Heroes
mkuu naomba link ya pes 2012 android
thanks ngoja nijaribu kupakua