Mimi nacheza pes 16 nimetumia patch 6.0 na patch 7.2. Pes wapo vizuri kwenye motion, skills na personal ability za wachezaji. Graphics na images za wachezaj zko poa pia. Sjaona kitu fifa ikaizidi pesNimejaribu kutafuta hizo patch nikiweka zinagoma inasema cannot read edited data because data is from defferent version. Yani niliweza kubadili jezi, logo na majina ya team basi.
PES 2016 PTE Patch 6.0 Final - PES PatchPes 2016 version 1.01.00.
Pia unaomba unisaidie patch ambayo iko full nipate hadi ligi ya bundersliga na latest transifer.
CHIEF MKWAWA
cheki hapaPes 2016 version 1.01.00.
Pia unaomba unisaidie patch ambayo iko full nipate hadi ligi ya bundersliga na latest transifer.
CHIEF MKWAWA
Hizo patch ninazo lakini ndo zimenigomea.PES 2016 PTE Patch 6.0 Final - PES Patch
PES 2016 Patch PTE 7.2 Ultimate Final By LeoTarinha - PES Patch
Just download instillation tutorial utaelewa vizur jinsi ya kupatch
Yani gemu yangu bora ya wakati wote mimi ni assassin creed 2. Yani hii gemu napenda kuanzia story yake. Character na miji ipo mingi yani jamaa kasafiri miji takribani mitano tofauti.Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Kama nilivyo sema ndani ya kila download link kuna video ya jinsi ya kudownload na kuweka hizo patches. Hyo patch 6 ipo katika viparts kadhaa. Ukiisha download hizo parts zi highlight nkuziextract kama file moja mfanoHizo patch ninazo lakini ndo zimenigomea.
Hizo patch ninazo lakini ndo zimenigomea.
Zipo ambqzo sio target,unamwona mtu liveYani gemu yangu bora ya wakati wote mimi ni assassin creed 2. Yani hii gemu napenda kuanzia story yake. Character na miji ipo mingi yani jamaa kasafiri miji takribani mitano tofauti.
Pia tomb raider 2013.
Pia uncheterd nina mpango wa kuzitafuta nimeona trailer zake ni nzuri
Na mortal kombat x.
Kilicho nishinda kwenye gemu za action za kivita character haonekani yani we unaona bunduki tu.
Ingia oceanofgames.com utazipata zote.wakuu niweekeni game link za tennis na hizo za vita aisee nimeshindwa kuzipata kabisa natangulizaa shukran
Nimeiona moja tu ya hivo nimeikubali inaitwa ghost recon wild lands. Lakini system requirements ni kubwa nimeshindwa kulidownload.Zipo ambqzo sio target,unamwona mtu live
Kila pc ni nzuri. mahitaji yako ndo yanang'amua ipi ni zuri kwako.Wadau PC nzuri Aina ya Dell inakuaje
chief hiyo site nimeshindwa kufanya chochote site ina usumbufu sana.cheki hapa
PES 2016 PESEdit v1.0 Patch by Minosta - Minosta4u - PES PATCH | FIFA MODS | GAMES
usisahau ku backup game lako kabla hujapatch
una adblocker? kuna usumbufu gani?chief hiyo site nimeshindwa kufanya chochote site ina usumbufu sana.
sijablock matangazo ila tu nashindwa kudownload kila nikiclick download yanakuja matangazo tu hata nikiendelea kuskipuna adblocker? kuna usumbufu gani?
block matangazo mkuu la sivyo utateseka sana.sijablock matangazo ila tu nashindwa kudownload kila nikiclick download yanakuja matangazo tu hata nikiendelea kuskip
Hakuna game ngumu km hii ya Igi 1,imekuwa hv kwa kuwa haina option ya kusave ulipofikia ukikosea lzm uanze upya.wapi hapo...mimi nimelimaliza