Best paying company in tanzania

Bot, tra, tpa, tanapa, ewura, tazama, nssf, pspf, bunge, tcu, tba, tanesco........
 
My Question is so why Do barrick wanatangaza nafasi za kazi kila kukicha?
Au ndio maisha ya camp boring kwa stuff?
Being far from family and friends?
Huwa sielewagi why maana people left sana pale...
Labda hapa ntapata majibu. (Any help)?
 
Mi nadhani HUTE, yupo sahihi, kwani mtoa mada anataka makampuni au mashirika ya umma yanayo lipa vizuri
 
Best paying public career ni Politics ( Waziri,mbunge etc).

mfano Mbunge wa jimbo(just jimbo ambalo ni sehemu ya mkoa) mshahara wake na marupurupu anawazidi watendaji kama RPC ,Afisa kilimo wa mkoa,Wa Mifugo, na Mganga mkuu wa mkoa
??????!!!!!
 
Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya mambo unayochangia!

Hizo za mshikaji ni zile story zetu za kila siku tukiwa vijiweni...tunalegeza miguu mpaka na akili zinalegea eti tunajifariji tuna relax. Hao wazungu wao kila kitu programmed...hata bia wanazokunywa wanakunywa kwa utaratibu...kwenye wajinga tunaliwa chakula chetu bila hata kujua
 
My Question is so why Do barrick wanatangaza nafasi za kazi kila kukicha?
Au ndio maisha ya camp boring kwa stuff?
Being far from family and friends?
Huwa sielewagi why maana people left sana pale...
Labda hapa ntapata majibu. (Any help)?

Simple...it is difficult for them to retain people...the same mines, the same kind of jobs...kila siku wanataka watu. What for???!!!!
 
My Question is so why Do barrick wanatangaza nafasi za kazi kila kukicha?
Au ndio maisha ya camp boring kwa stuff?
Being far from family and friends?
Huwa sielewagi why maana people left sana pale...
Labda hapa ntapata majibu. (Any help)?

Baadhi ya majibu mazuri:
Moja: Wameshindwa Competition!

Mbili: Mishahara yao ni midogo ukilinganisha na foreign companies zingine. Kwa hiyo watu wanawakataa

Tatu: Foreigner anayefanya kazi kidogo analipwa zaidi kuliko Mtanzania anayefanya kazi kubwa. Kwa hali hiyo Watanzania wanaona wanazulumika na kuamua kuwahama na kukimbilia kwingine

Nne: Wafanyakazi wengi sasa hivi wanamua kwenda kufanya kazi nje ya nchi kama vile Congo, Australia na nchi za Africa Magharibi, ambako mishahara ni ya viwango vya juu (hata mara kumi ya hiyo ya Barrick)

Tano: Nafasi za maana, nzuri wanapendelewa foreigners, kwa hali hiyo watanzania nao wanazikataa nafasi za chini.

Sita: Tabia ya kutaka watanzania wenye qualifications kubwa na nzuri waishie tu nafasi za chini, wakati na wao wanastahili nafasi hizo za juu.

Saba: Professional development hakuna. Ukienda pale na BSc yako utabakiwa nayo hiyo hiyo. Kuwatumia watu bila kuwaendeleza nalo ni tatizo. Watu hawatafuti pesa tu, bali pia career development.

Hii inasababisha nafasi nyingi zinazohitaji professionals, hasa za kati, kuwa wazi zikikosa wafanyakazi.
 
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.

Bado inaniwia ngumu kuamini chakula first class ni western.
 
Majibu uliyoyatoa umeyafanyia analysis ya kutosha kama GT au umekurupuka? Kwa uelewa wangu kuhusu hayo makampuni uloyataja yanaweza kuwa katika level ya kati ya makampuni yanayolipa zaidi. usiangalie mishahara ya mtu mmojammoja kwa kuangalia majukumu na nafasi yake, usiangalie mambo wanayofanya wanapokuwa likizo, kuna mambo mengi yamefichika nyuma usoyajua!! Na hiyo likizo ya 3 kwa 2 sijui umeitoa wapi!! Jumuiya ya ma Human Resource wa tanzania wana majibu mazuri kuhusu mishahara
 
John Kangethe
wewe utakuwa umeshawahi kufanya kazi barrick lakini umesahau kuweka manyanyaso
 
Hakuna shirika bongo linalolipa vizuri,wengi wafanyakazi ni wezi tu! Tuzungumzie level za graduates na si level za management na directors! Level za graduates makampuni mengi yanalipa kuanzia 250k-1300k,sasa 1300k kwa mwezi ni hela ndogo sana hiyo ni sawa na usd900,ambayo kwa mbeba box wa usa anaipata kwa siku nne tu! Watanzania wengi ni wezi hawafanyi kazi ipasavyo kati ya masaa nane ya siku anafanya kazi masaa mawili tu! Kwanza kazini anaingia saa tatu akifika anasoma magazeti mpaka saa nne kasoro,anaanza maandalizi ya chai na kwenda canteen anakula mpaka saa tano akifika anapiga story mpaka saa 6 then anachezea net mpaka saa 7 nusu saa anagusa gusa makarati saa saba na nusu anaenda kula mpaka saa tisa anaenda ofisin tena anacheza na net mpaka saa kumi kasoro then anaenda washroom saa kumi na dakika kumi na tano anapiga story mpaka na nusu anaondoka,hyo ndio ratiba ya wabongo kazini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom