Best internet provider baada ya fiber optic cable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Best internet provider baada ya fiber optic cable

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dingswayo, Sep 22, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Natarajia kutumia laptop yangu kwa Internet huko Tanzania hivi karibuni. Kutokana na kuwepo kwa fibre optic cable, ni ISP yupi ambaye amejitokeza kutoa huduma nzuri kipesa na kihuduma? Naomba kupatiwa vilevile specs za usb dongles ambazo naweza kutumia huko Tanzania. Natanguliza shukrani.
   
 2. B

  Bonge JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 864
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  TTCL Broadband (kwa nyumbani maana nahitaji uwe na line ya simu(ADSL))
   
 3. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa naulizia internet provider wa mobile internet kutumia laptop.
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  MOBILE BROADBAND PACKAGE
  MONTHLY SUBSCRIPTION TSH
  MONTHLY SUBSCRIPTION INCLUDING MODEM TSH
  DATA ABOVE THE BUNDLE TSH/MB​
  hakuna mobile ISP ambaye ni rilayabo hapa bongo mzee. speed haziaminiki, na wakati mwingine haupo hewani kabisa, kifupi mm sijaona mabadiliko yoyote yaliyoletwa na fiber optic. ila usikate tamaa mzee nyumbani ni nyumbani, kilichopo ndy tunakula. jaribu zantel, bei zao ziko cheap sana ukilinganisha na wengine, ila kama una mpango wa kwenda bariadi au namtumbo usishangae kukosa service! teh teh. usb moderm wanazo wenyewe kwa bei rahisi tu.

  1.4 GB
  40,000
  55,000
  28
  2.5 GB
  70,000
  85,000
  27.5
  4.4 GB
  120,000
  135,000
  27
  10GB
  270,000
  285,000​
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu.
   
Loading...