Braza!
Jana mpaka usiku wa ma8 nakuona unavyoswampa kutoka jukwaa 1 hadi jingine!
Lukwili umeshazuka!
Hivi huyu The secretary unategemea utamzawadia "kitambi" lini?
Kijua ndiyo hiki blaza usipouanika mapema, utautwanga m'bichi !
Nway ni ushauri tu! Usio na ada!