Reserved
JF-Expert Member
- Sep 16, 2008
- 742
- 68
kwa takiwmu za traffic JF ndio tovutinumbermojakwa tanzania. Lakini lengo la mada hii ni tuambizane kwa kutumia viegezo na sababu zinagenine kitaaalamu nza kawaida
-Ni tovuti na au blog gani ya Tanzania inayokuvutia kimuonekano ?
-Ni tovuti na au blog gani ya Tanzania amabyo imejaribu kukidhi best practize za web design na development ?
-Zaidi ya habari za matukio na watu Unadhani watumiaji wa mtandao tanzania wanatakaa wanapenda kupata habari gani zakitanzania
NB
Kwa wale mtakako taja/kufagilia blog zenu au zozote zile toeni sababu kwanini mnadhani ni bora-Ni tovuti na au blog gani ya Tanzania amabyo imejaribu kukidhi best practize za web design na development ?
-Zaidi ya habari za matukio na watu Unadhani watumiaji wa mtandao tanzania wanatakaa wanapenda kupata habari gani zakitanzania
NB