- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,552
OK, nasubiriNgoja nakuletea full information
OK, nasubiriNgoja nakuletea full information
kula like...niki mbishi ni nyokohujasikiliza nyakati za mashaka ya Nikki Mbishi au makusudi ??
Ukimtoa Jay mo, Dizasta ni best story telling rapper wa kizazi hikiKuna jamaa anaitwa dizaster, story telling rapper, baadhi ya ngoma zake
Konda, kijogoo, kanisa, Dada,
Boshori ngoma nilipotoka
Stereo ngoma zake jela,ukonga,
Rapper wengne kwa story n songa,chindoman
Huyu jamaa dizasta vina ni moto wa kuotea mbali.Ukimtoa Jay mo, Dizasta ni best story telling rapper wa kizazi hiki
Jamaa yupo vyema!!!Msikilize DIZASTA katika;
Lost Angel
Siku Mbaya
Ningekuwa naweza kupandisha nyimbo ningeuweka hapa kwa Uzi.Plz naomba anayeweza aniwekee mashairi yake hapa. Au aurushe huo wimbo hapa
MSANII SONGA WIMBO USIKU MWINGINE NDEGE NA MWINGINE ENZI ZA UTOTOIts true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in
1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA
2: Chindo STORY YA NYOKAA
3:Jay Mo STORY 3
4:fid q RIPOTI ZA MTAANI
5:JCB UKISIKIA PAAH
Siyo Wale Huyo Baba Yako Aliyeimba Huo Wimbo Anatokea Bagamoyo Na Nyimbo Zake Huwa Anapga Sehemu Zenye WataliiWale walioimba sijui sumu ya teja
huyu jamaa namskia skia,cjapata bahati ya kuskiza nyimbo zakeJamaa yupo vyema!!!
Tenga muda usikilize nyimbo zake yupo vizuri..huyu jamaa namskia skia,cjapata bahati ya kuskiza nyimbo zake