Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,281
- 4,614
Hapana..Wale walioimba sijui sumu ya teja
Mandojo na domo Kaya moja ya nyimbo zao ni kama Elimu ya Juu,dingi,kesho na Wanok-nok waliomushirikisha mwanadada kamanda Binti machozi jide.
Wimbo wao "dingi" upo vizuri.