Best 5 Storytelling Rap Songs

Best 5 Storytelling Rap Songs

Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in

1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA

2: Chindo STORY YA NYOKAA

3:Jay Mo STORY 3

4:fid q RIPOTI ZA MTAANI

5:JCB UKISIKIA PAAH
Afande nyati by P the Mc
 
Nikki mbishi_dada ney
Nikki mbishi_babu talent
 
1.immortal technique_ dance with the devil
2.songa_enzi za utoto
3.jay z_song cry
4.sugu_hayakuwa mapenzi
5.August alsina_downtown
 
1. Dingi - Mandojo na domo kaya. Sijawahi kuichoka.

2. Playboy - Nikki Mbishi. It's one of my favourite songs of all time.

3. Nikusaidieje (zubeda) - Professor J ft Ferouz. Ni dhambi kumsahau baba wa hiphop ya TZ.

4.Rafiki, afande nyati, salamu toka jela - Stereo. Nimeshindwa kuchagua moja kati ya hizo.

5. Stori 3 - Jay Mo. Kuanzia uandishi, mpaka flow, huyu jamaa ni very underrated.

Honorable mention:

- Nyakati za mashaka - Nikki Mbishi
- Mkuki moyoni - Afande sele.
 
Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in

1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA

2: Chindo STORY YA NYOKAA

3:Jay Mo STORY 3

4:fid q RIPOTI ZA MTAANI

5:JCB UKISIKIA PAAH
Hamna ZUBEDA wala BONGO DSM za mkali prof. Jizzy! Bora nitengeneze list yangu!
 
1. Dingi - Mandojo na domo kaya. Sijawahi kuichoka.

2. Playboy - Nikki Mbishi. It's one of my favourite songs of all time.

3. Nikusaidieje (zubeda) - Professor J ft Ferouz. Ni dhambi kumsahau baba wa hiphop ya TZ.

4.Rafiki, afande nyati, salamu toka jela - Stereo. Nimeshindwa kuchagua moja kati ya hizo.

5. Stori 3 - Jay Mo. Kuanzia uandishi, mpaka flow, huyu jamaa ni very underrated.

Honorable mention:

- Nyakati za mashaka - Nikki Mbishi
- Mkuki moyoni - Afande sele.
Kumbuka jay moe hana vina lakini
 
1.Dance with the devil- immortal technique
2.same story-vinnie Paz
3.Tabernacle-Royce da 5’9
4.Goodbye-slaughterhouse
5.Fatima-k’naan
Kumbe humu jf kuna watu wengi tu wanajua sana kuhusu authentic hiphop
 
Back
Top Bottom