ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Weka list yako yenye iko poa bro. You have all the freedomkaka sony experia z1 ndio flagship ya sony iweje haipo na kuna xperia z?
s3 ni nzuri kuliko s4 mini
sioni lumia 1520 wala note 3 wala htc max
brother hua sjui unatoa wap data zako
Bei si hoja bro. Features ndo muhimu. We visit hiyo website iko after hiyo list Ndo upate uchambuzi wote.Hyo chati Mhhh.... Nazan Wamependelea os Flan hv.... Then Hata Ukuja kusema KUwa kigezo ni Specs tutapumbazana maana Os Inapokua nzito Kama androids nDipo uhitaji wa Specs kubwa unatokea... ila kwenye windows na IOS zna run verysmooth sooo wala haziitAJ SPECS KUBWAAAA..... Ila kuna Kitu kimenshangaza hapo.... Samsung s3 n ya 16 na S2 n ya 12... au hapo ulitaka kuandika note 2????? na kuna smu za androids na zmewazd wakina s2 na s3 ila hazipo hapooo..... kama xiaomi m3...
Pia Katika chati yako lumia 520 ndo ipo juu kuliko lumia 925 na 820.... Ar u out of ya mind??? smu ya laki 3 n nzuri kuliko superior wake wa milion.... Man.. naomba vgezoooo maana katika lumia labda tungeanza na 925 tuje 920 then ndo 820 [ hapo sjawaweka kina 1020 na 1520 wa juz juz...
ni hayo tuuu
Ambia hao mashenz type. Waache kuleta Nye Nye Nye ...!Mleta mada pale chini kaweka source ya hizo data " --techradar.com". Mbona nnamshambulia yeye!!!? hata nyie mnaweza kuja na list zenu,au kutembelea hiyo web kujua wao wametumia vigezo gani kuweka hiyo orodha.
Ambia hao mashenz type. Waache kuleta Nye Nye Nye ...!
huna busaraambia hao mashenz type. Waache kuleta nye nye nye ...!
Scientifically, What I am doing is Garbage In Garbage Out.
- Hii maneno huwa haitumiki kwa hili jukwaa.
- ​NI vyema kubishana kwa hoja bila kuvunjiana heshima.
Wewe ndo pumba..fu kitindamimba!pumba..fu
Hili ndo tatizo letu WaTZ tunakurupuka sana.Mleta mada pale chini kaweka source ya hizo data " --techradar.com". Mbona nnamshambulia yeye!!!? hata nyie mnaweza kuja na list zenu,au kutembelea hiyo web kujua wao wametumia vigezo gani kuweka hiyo orodha.
I salute you for that jua cali. Enyewe baadhi ya hao waTZ wenzako wana uf_la mwingi sana. Mtu hajui hata design ya HTC one inakaaje, ameshaanza kunikemea mwanzilishi wa thread vibaya, as if ako na beef na mimi. Hata hatujawahi kukutana! M_vi ya kuku nyinyi!! I think its a high time you tanzanians wenye tabia ka hizo, should change that for your own good. Na si ati nawabembeleza, take it or leave it, damn it!Hili ndo tatizo letu WaTZ tunakurupuka sana.
Back up your sentiments then, master. Kwa nini unaonelea hivo?Mkuu ivibration sikubaliani na hii list yako hata kidogo.