The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
So solution ni nini?
hapo ndo ninapoona mm kuwa SINGLE BOY sijakosea yaan kupendana mwisho siku moja!
So solution ni nini?
hapo ndo ninapoona mm kuwa SINGLE BOY sijakosea yaan kupendana mwisho siku moja!
Mpaka lini au ndo unavyojishauri kuwa single ni mwisho wa matatizo na je huyo wa ksiku moja ushajua jana yake alikuwa kwa nani na ukimwacha anaenda kwa nani na alikotoka amekuletea nini
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni mbona hujatoa solution mkuu nini kifanyike sasa
Heaven on earth kuna watu wanajivunia usinglle as if ni jambo zuri sana au ni wajanja sana kubadilisha wanawake kila siku ana mpya bila kujua kuwa hayo yote yana muda wake na yana mwisho na by the way ni ujana tuu na una mwisho wakehahaaaa mbona umenichekesha mia Mr Rocky
yap! nimekusoma ila siku hz wasichana wamezidi kulalamika hadi wanaboa!Mpaka lini au ndo unavyojishauri kuwa single ni mwisho wa matatizo na je huyo wa ksiku moja ushajua jana yake alikuwa kwa nani na ukimwacha anaenda kwa nani na alikotoka amekuletea nini
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni mbona hujatoa solution mkuu nini kifanyike sasa
yap! nimekusoma ila siku hz wasichana wamezidi kulalamika hadi wanaboa!
unapokuwa SINGLE BOY yaan upo huru sana utakapojisikia unatafuta unachapa halafu kila mtu aende na ustarabu wake!
HAKUNA MAPENZI SIKU HIZI........!!!!
unachapa nini!!!!!!!!!sijui ndo nazeeka nashindwa kuelewa hiki kiswahili kabisaaa
si ile anyong' anyong'....!
Godfrey Jackson naamini unaelewa madhara ya hayo uyasemayo na unavyosema wasichana wamezidi kulalamika wanamlalamikia nani kama sio mtu kama wewe ambaye huwa huwaonyeshi mapenzi na unachokitafuta ni wakuonyeshe mapaja yao na then umalize shida zake uchape mwendoyap! nimekusoma ila siku hz wasichana wamezidi kulalamika hadi wanaboa!
unapokuwa SINGLE BOY yaan upo huru sana utakapojisikia unatafuta unachapa halafu kila mtu aende na ustarabu wake!
HAKUNA MAPENZI SIKU HIZI........!!!!
kama tulikuwa twaenda Moro basi mie umeniacha Kibamba.......
ha! ha! ha! ha! ha!
ni kufanya mapenzi unataka kuniambia hujakutana na hii misemo!
1.anyong' anyong'
2.chapa ilale
3.mikasi
4.kutom....ba
5.wali nyama
Godfrey Jackson naamini unaelewa madhara ya hayo uyasemayo na unavyosema wasichana wamezidi kulalamika wanamlalamikia nani kama sio mtu kama wewe ambaye huwa huwaonyeshi mapenzi na unachokitafuta ni wakuonyeshe mapaja yao na then umalize shida zake uchape mwendo
kama hujawaonyesha mapenzi ya kweli wataachaje kulalamika kama mtu mwenyewe wewe ni wa kulala nao leo kesho huna mpango nao utafikiri wataacha kulalamika
Hebu kuwa serious na mmoja na then uje useme hapa na nazidi kuamini kuwa may be ujana ndo damu yako inachemka na ndo maana unajiona bado unaweza kuwachezea na kuwadump na subiri siku yako watakapokuamulia
ni kama mwezi hv umepita rafiki yangu aliopoa mke wa mtu wakaenda gesti katikati ya gemu mumewe akapiga simu alichojibiwa "chakula nimekifunika kwenye kabati mimi nitachelewa kurudi nipo kwa shangazi nimekuja kumtembelea"
just imagine kuna mapenzi ya kweli hapo!!!
aisee...........
unajuaje kama mwanaume ni kimeo mkuu Godfrey Jackson maana tusilaumu upande mmoja
kama we mwanaume ni kimeo huna mapenzi ya kweli na humfikishi mwanamke wako humtimizii haja zake na zaidi wewe ni kero kwa mkeo lazima atatoka
Ndoa sio simple kama kutoa na kujumlisha mkuu ni muendeleozo wa mengi ndo maana ikaitwa taasisi ya ndoa
hatukatai pande zote mbili kwenye taasisi ya ndoa ni majangga ila usikimbilie kujipa matumaini kuwa nitakuwa single muda wote upo muda utafika na utaingia tuu na ukishindwa kutimiza lengo halisi watamuopoa mke wapo pia
in this case solution seems so far away or never is...So solution ni nini?
Mkuu Godfrey Jackson kama wewe ambaye hujaijua ndoa yanakushinda kuvumilia malalamiko ya hao unaowapata unajustfy kuwa single hebu imagine kwenye ndoa inakuwajenijuavyo mimi mapenzi ni kuvumiliana na kurekebishana sio busara kutoka nje ilihali ulishaapa kiapo kikali kuwa mtavumiliana na kuonyana!
yap! nimekusoma ila siku hz wasichana wamezidi kulalamika hadi wanaboa!
unapokuwa SINGLE BOY yaan upo huru sana utakapojisikia unatafuta unachapa halafu kila mtu aende na ustarabu wake!
HAKUNA MAPENZI SIKU HIZI........!!!!
unachapa nini!!!!!!!!!sijui ndo nazeeka nashindwa kuelewa hiki kiswahili kabisaaa