julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
unajuaje kama mwanaume ni kimeo mkuu Godfrey Jackson maana tusilaumu upande mmoja
kama we mwanaume ni kimeo huna mapenzi ya kweli na humfikishi mwanamke wako humtimizii haja zake na zaidi wewe ni kero kwa mkeo lazima atatoka
Ndoa sio simple kama kutoa na kujumlisha mkuu ni muendeleozo wa mengi ndo maana ikaitwa taasisi ya ndoa
hatukatai pande zote mbili kwenye taasisi ya ndoa ni majangga ila usikimbilie kujipa matumaini kuwa nitakuwa single muda wote upo muda utafika na utaingia tuu na ukishindwa kutimiza lengo halisi watamuopoa mke wapo pia
Mkuu mme / mke kuwa kimeo haihalalishi wewe kufanya sawa na yeye! Suluhu huwa ni kujua mwenzio kwa nini katoka nje kama sababu zinatatulika mnatatua mnasonga mbele kama hazitatuliki lazima ataendelea tu so better ku- break mapema! kuvumilia ni katika mapungufu yaliyowakuta kwenye ndoa mfano mmepata ajali mwenzio katoka kiungo fulani pengine ndicho kilikuvutia ukamuoa so inabidi kuvumilia lakini ulikuwa na tabia mbovu ukamficha unamuoa unaanza kumuonyesha eti kisa ndoa ni uvumilivu aaaaah kwangu chapa laba!