Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Sikubali na sintamfundisha binti yangu hivyo!

Some men and some women cheat, they might be the majority but there is a good number which don't and l will go for the ones who don't cheat, coz l don't cheat!

Honestly Nenda kafanye utafiti, u will get the answer. Labda wale walokole wanaomjua MUNGU hasaaa.
 
Daaah!

Ndugu zangu wanaume samahani sana wakuu. Nimegundua kuwa nimevunja one of men's most important omerta code of silence kwa kuwaambia wanawake moja ya siri zetumuhimu. Kabla hamjanifukuza humu JF kama Mnyika alivyofukuzwa bungeni nachukua nafasi hii kufuta kauli yangu.


Ndugu wanawake sisi wanaume ni watu waaminifu sana na huwa hatuwacheat. Tabia hizo zakishenzi sisi huwa hatufanyi kabisa. Wanaume wengi tuna tabia za uaminifu na ni monogamists by nature. Hata uncle wetu Jakaya na Makamu wake ni monogamists.


Hahahaaaaaaa....tuko pamoja Na wewe all men cheat. Ila wanasema ni muhimu kuwa Na positive thinking ili usipate presha.
 
Hao wanaomjua Mungu hasaa, si wanaume?

Hapa tatizo ni lugha tu ilivyokuwa presented Na mtoa mada nia nikufikisha ujumbe kuwa, ujue men chaeats in one way or anather. Sasa Kama mnajifanya mnajua lugha sana basi. But kwa silka all men cheat, Na Kama hacheat huyo MUNGU kamtembelea. Na si kwamba tunasema kuwa wadada tukubaliane kwamba all men cheat tuliache hili tukubali waume zetu wacheat, no. The issue ni kwamba men are not perfect here Na ukikutana nalo home ujue nini Cha kufanya. Problem watu mtaleta lugha Na kujidaidai hapa ila the truth itabaki kuwa all men cheats.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Mwenyewe kama matusi ya kwenu!
Kaunga dadangu mzuri, io tusi hio weweeeee. Swela mdala, maana yake ni uwongo huo, kithungu cheating. Au nalo ni tusi bibie? Ukikasirika ndio moyo wangu unaruka kichurachura kwa furaha.
 
Daaah!

Ndugu zangu wanaume samahani sana wakuu. Nimegundua kuwa nimevunja one of men’s most important omerta code of silence kwa kuwaambia wanawake moja ya siri zetumuhimu. Kabla hamjanifukuza humu JF kama Mnyika alivyofukuzwa bungeni nachukua nafasi hii kufuta kauli yangu.

Ndugu wanawake sisi wanaume ni watu waaminifu sana na huwa hatuwacheat. Tabia hizo zakishenzi sisi huwa hatufanyi kabisa. Wanaume wengi tuna tabia za uaminifu na ni monogamists by nature. Hata uncle wetu Jakaya na Makamu wake ni monogamists.
Too little too late mkuu,zege ukisha likoroga halirudi tena kuwa sementi!
 
what i believe m2 kucheat ni tabia yake tu.... na sio kweli ol men chaet hiyo nakataa though asilimia kubwa wanacheat
 
unavosema cheatin unamaanisha kulala na mtu au hata kumtamani mtu? maana kwenye vitabu vya Mungu vinasema hata ukimtamani mtu tayari umecheat
 
After many years of looking at my family, my neighbours, my friends and every man I know I have reached a conculsion kwamba all men in the world cheats. They either have cheated b4, or they are cheating now, or they will cheat in the future. The bottom line is all men cheats. Huu ndio ushauri ambao akina mama all across the globe wanatakiwa wawape mabinti zao – kwamba mabinti muwe wavumilivu lakini this is something you will have to deal with now or in the future no matter what.

Huko China,kama ilivyo Tanzania, kuna tabaka la wanawake ambalo ni tabaka la ma-mistress wa waume za watu na wanaendesha maisha yao vizuri tu. Huu ni ukweli ambao tunaweza kujidai kuukataa lakini we all know that ni kweli tena ni kweli tupu. Wanaume ni polygamists by nature na wanawake inabidi wavumilie tu suala hili.

Kwa Tanzaniahuu ni UTAMADUNI. Utamaduni ni way of life. It is more than behavior, it is more than habit. Wanaume wote Tanzania – every godamn body is doing it mikoa yote Tanzania bara na mikoa yote Tanzania visiwani. Wale wasiofanya sasa waliwahi kufanya huko nyuma au watafanya huko mbeleni. Sisi wanaume we hold this to be true for life japo kuwa hatuwezi kukiri hata siku moja.

Nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka takriban kumi na mbili na sijawahi kutembea na mwanamke yoyote nje ya ndoa na sina mpango wa kufanya hivyo siku za usoni. Kwa hiyo hii conclusion yako siyo ya kweli.
 
i can understand that. hata mm nikiolewa i can not imagine having sex na shemeji yenu hadi

mwisho wetu.
no way! imagination pekee inaniuwa almost. siku moja moja lazima ushtulie pengine.

haijalish ni boss, assit, rafiq or wereva. uzuri sitegemei nitamuacha.

Hahahaha..umedeclare interest kabla ya kuchangia???
 
Kaunga, utajuaje kama mwenzio ha cheat, haya mambo hayafanywi hadharani au kwa matangazo kua utaona somewhere.
Ulisoma hadithi ya mtambuzi ya yule baba aliyejua kua mkewe alikua ibilisi baada ya kifo chake? muda wote alidhani anaishi na malaika ndani.
Kuwaeleza watoto sio kitu kibaya, ni kama unamtahadharisha ili hata likitokea la kutokea , ulishamdokeza hivyo hatashtuka.
Namuuunga mkono mleta mada, haya mambo yapo. Kama hujafanya, basi utafanya, kama hufanyi, basi ulifanya.


Sikubali na sintamfundisha binti yangu hivyo!

Some men and some women cheat, they might be the majority but there is a good number which don't and l will go for the ones who don't cheat, coz l don't cheat!
 
After many years of looking at my family, my neighbours, my friends and every man I know I have reached a conculsion kwamba all men in the world cheats. They either have cheated b4, or they are cheating now, or they will cheat in the future. The bottom line is all men cheats. Huu ndio ushauri ambao akina mama all across the globe wanatakiwa wawape mabinti zao – kwamba mabinti muwe wavumilivu lakini this is something you will have to deal with now or in the future no matter what.

Huko China,kama ilivyo Tanzania, kuna tabaka la wanawake ambalo ni tabaka la ma-mistress wa waume za watu na wanaendesha maisha yao vizuri tu. Huu ni ukweli ambao tunaweza kujidai kuukataa lakini we all know that ni kweli tena ni kweli tupu. Wanaume ni polygamists by nature na wanawake inabidi wavumilie tu suala hili.

Kwa Tanzaniahuu ni UTAMADUNI. Utamaduni ni way of life. It is more than behavior, it is more than habit. Wanaume wote Tanzania – every godamn body is doing it mikoa yote Tanzania bara na mikoa yote Tanzania visiwani. Wale wasiofanya sasa waliwahi kufanya huko nyuma au watafanya huko mbeleni. Sisi wanaume we hold this to be true for life japo kuwa hatuwezi kukiri hata siku moja.

There is no universal moral principle
 
Here are some situations that make people cheat:

1. Bored
I'd say this is the most common reason that people cheat.It's tough to keep that edge throughout a relationship. Things start off grand and then level off and then you both realize that it's still real life. When you meet someone else, that inaugural excitement of a new relationship kicks back in.

2. Dependence
At first glance, cheating seems like independent behavior. It could be interpreted as doing what you want, when you want. But I would argue that cheating is a dependent behavior. A cheater is dependent because they are not strong enough to break up with their significant other in order to get with the new person.


3. Confusion
Sometimes life or a particular situation can get to you. When the perfect storm of confusion is going on in your head, you make mistakes.

4. Because They Let You
If any girl ever cheated on me, I'd break up with her immediately. Forgiving a cheater is putting up with it, and starts a vicious cycle. That person who cheated may lose respect for you and might continue to cheat-because they know they can get away with it, because you'll continue to take them back.

5. Nurturing
If someone is mistreating you, then your first instinct is to get away from him or her. But sometimes it's not that simple-maybe you are raising kids together. If you feel trapped in a bad relationship, it's only natural that you will run to the open arms of a person who treats you well.

6. Revenge
This is quite simple- an eye for an eye. Cheat on them if they cheat on you. If they continuously hurt you or abuse you in some way, you do it to get them back.

7. Confirmation of Attractiveness
Sometimes when you're in a long relationship, or if your significant other is taking you for granted, you begin to wonder if you're still attractive. Perhaps, because you were out on the dating circuit, you felt more attractive when you were single. If you have an affair, you've proven that a new person can be attracted to you.

8. The Thrill
Some people just enjoy the thrill of cheating: running around secretly, risking getting caught, and creating thrilling moments with a forbidden romance.

9. They Don't Consider It Cheating, Even Though You Might
Relationships have that Grey area, usually right before you become exclusive. He thinks date #4 is when you're "together," and you think date #2 is when you're "together." If you haven't talked about exclusivity, someone may think they are well within their rights to see other people, even though the other person in the relationship may not.

I don't understand why people don't break up as soon as they have an urge to cheat. Is it natural to have temptation, or is temptation a sign that the relationship is losing its fire? What reasons would you add to this list, and do you disagree with any? If you've ever cheated, why did you do it? Could you forgive a cheater? If you are single, but seeing a person who is in a committed relationship, does that make you a cheater?
 
Wengine wengi tu,ni non of the above. Yani siyo wachoyo kutoa vikojoleo vyao.
K0SAMEHE ni kusamehe tu, hakuna kusema sababu ni cheater humsamei.
Tofautisha kusamehe, na kuachana.
 
Kucheat ni SHETANI NA PEPO LA NGONO KUKUTAWALA!!!! Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssssssssss!!!!!!!!!!!
 
This is in fact a real medical condition that should be treated​
1. Fights at Home

When a man fights regularly with his wife and these quarrels are left unsolved, the man becomes unhappy and disturbed. He can either fight back or simply flee. The latter scenario may be the reason why men cheat on their wives. Because when they look for an affair, they search for someone that brings them calmness and understanding, therefore a parallel life and support.

2. Boredom

This is another reason why guys cheat on their girlfriends and wives. Some men may find couple routine a little dull and instead of changing their situation, they find another relationship that will offer them the spark their current relationship lacks. They want to experiment something new and fresh and they are willing to take the risk.

3. Séxual Experimentation

Séx represents an important aspect of a relationship. Some men are easily bored so they are willing to experiment more séxually. They like to have a lot of séxual partners and if the occasion arrives, they will not back off. Perhaps this makes them feel powerful and experts at bed talk!

4. Family History

Some men may have witnessed cheating in their parent's marriage and this might have transmitted them a message that it is okay to cheat. Our parents are in fact our first teachers because we learn from them each and every day, so seeing one of your parents cheat makes you think that this is the normal thing to do, when in fact it may bring a lot of suffering.

5. Temptation Is Too Big

Some men like to live in chaos and they want to enjoy every temptation that might come along. The adrenaline rush that they get from cheating with another women is definitely a thrill and they love it, therefore they yield to temptation every time it comes along.
6. Insecurity
There are some men that don't feel good about themselves and they need the validation of women (others than their wives or girlfriends) to still feel desirable to the opposite séx.

7. Compulsory Cheating

This is in fact a real medical condition that should be treated. A compulsive cheater needs medical help and our recommendation would be to leave the relationship before it's too late.
 
why do women cheat
1. Fights at Home

When a woman fights regularly with her husband and these quarrels are left unsolved, the woman becomes unhappy and disturbed. she can either fight back or simply flee. The latter scenario may be the reason why women cheat on their husbands. Because when they look for an affair, they search for someone that brings them calmness and understanding, therefore a parallel life and support
.
2. Boredom
This is another reason why women cheat on their boyfriens and husbands. Some women may find couple routine a little dull and instead of changing their situation, they find another relationship that will offer them the spark their current relationship lacks. They want to experiment something new and fresh and they are willing to take the risk.
3. Sexual Experimentation
Séx represents an important aspect of a relationship. Some women are easily bored so they are willing to experiment more sexually. They like to have a lot of sexual partners and if the occasion arrives, they will not back off. Perhaps this makes them feel desirable and experts at bed talk!

4. Family History

Some women may have witnessed cheating in their parent's marriage and this might have transmitted them a message that it is okay to cheat. Our parents are in fact our first teachers because we learn from them each and every day, so seeing one of your parents cheat makes you think that this is the normal thing to do, when in fact it may bring a lot of suffering.
5. Temptation Is Too Big
Some women like to live in chaos and they want to enjoy every temptation that might come along. The adrenaline rush that they get from cheating with another men is definitely a thrill and they love it, therefore they yield to temptation every time it comes along.
6. Insecurity
There are some women that don't feel good about themselves and they need the validation of men (others than their husbands and boyfriends) to still feel desirable to the opposite séx.

7. Compulsory Cheating

This is in fact a real medical condition that should be treated. A compulsive cheater needs medical help and our recommendation would be to leave the relationship before it's too late.
 
Back
Top Bottom