Bernard Membe: Serikali ikemee utekaji unaondelea nchini

Kwamba Kuna aliyetekwa na utekaji huo unahusishwa na uchaguzi ujao ??

Tunahitaji ufafanuzi zaidi kwa aliyetoa hiyo kauli.
Soma vizuri au mskilize vizuri, kasema hasa kipindi hiki tunaelekea uchaguzi, huwenda kamaanisha inaweza kuwa hoja katika kampeni itakayobebwa Na upinzani Au inaweza kusababisha vurugu ikitokea mtu katekwa kipindi cha uchaguzi
 
pombe katuletea ya kwao rwanda !
hiki kizee eti kuna siku kinalalamika !
"Nikae na wapinzani waniteke wanichinje wanitupe baharini"
kidnapper !
ipo siku wapuuzi wataweza kutofautisha kati ya mleta maendeleo na mfujaji wa kodi kwa vitu vya kujionesha na kijifurahisha.
 
Hivi kipindi Ulimboka anatekwa ,Membe alitoa ushauri wowote kwa Kikwete?

Wana CCM bana wakishakosa vyeo hua wanajirudi nakua malaika.
 
Back
Top Bottom