Bernard Membe: Serikali ikemee utekaji unaondelea nchini

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Waziri Mstaafu wa Mambo ya nje Bernard Membe imeitaka serikali kukemea utekaji unaondelea nchini hasa wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi

Ameongeza kuwa huu sio utamaduni wa Taifa letu.

Viongozi wa serikali na Chama pia vyama vyote, bila kusahau viongozi wa dini wa madhehebu yote kukemea kwa nguvu utamaduni huu mpya kwenye nchi yetu.....bila kusahau Wastaafu wa ngazi zote.

Amesema itafika wakati wawekeza,watalii na wageni mbalimbali wataogopa kutembelea nchi yetu sababu ya sifa hii mbaya.

Akizungumzia kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu, amesema hata yeye ameshangazwa na hiyo taarifa.

Hata hivyo amesema anaamini Lissu haki yake ataipata Mahakamani

Kwamba Kuna aliyetekwa na utekaji huo unahusishwa na uchaguzi ujao ??

Tunahitaji ufafanuzi zaidi kwa aliyetoa hiyo kauli.
 
Hivi huyu nae bado anaongea tuu
Waziri Mstaafu wa Mambo ya nje Bernard Membe imeitaka serikali kukemea utekaji unaondelea nchini hasa wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi

Ameongeza kuwa huu sio utamaduni wa Taifa letu.

Viongozi wa serikali na Chama pia vyama vyote, bila kusahau viongozi wa dini wa madhehebu yote kukemea kwa nguvu utamaduni huu mpya kwenye nchi yetu.

Amesema itafika wakati wawekeza,watalii na wageni mbalimbali wataogopa kutembelea nchi yetu sababu ya sifa hii mbaya.

Akizungumzia kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu, amesema hata yeye ameshangazwa na hiyo taarifa.

Hata hivyo amesema anaamini Lissu haki yake ataipata Mahakamani

mwakani.https://youtu.be/k8eBZLJfDKA
 
Huyu jamaa Membe ndiyo aliye master lile tukio la Ulimboka alikemea? Huyu jamaa ni mnafiki i never see.... Atulie hivyo hivyo

Akisema Serikali ikemee anamaanisha waziri akemee au anagusa Ikulu. Wakati Ulimboka anatekwa Membe alikuwa rais?

So, unafurahishwa na vitendo vya utekaji - lkn unataka kutuambia kuwa Serikali haijakemea makusudi?
 
Waziri Mstaafu wa Mambo ya nje Bernard Membe imeitaka serikali kukemea utekaji unaondelea nchini hasa wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi

Ameongeza kuwa huu sio utamaduni wa Taifa letu.

Viongozi wa serikali na Chama pia vyama vyote, bila kusahau viongozi wa dini wa madhehebu yote kukemea kwa nguvu utamaduni huu mpya kwenye nchi yetu.....bila kusahau Wastaafu wa ngazi zote.

Amesema itafika wakati wawekeza,watalii na wageni mbalimbali wataogopa kutembelea nchi yetu sababu ya sifa hii mbaya.

Akizungumzia kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu, amesema hata yeye ameshangazwa na hiyo taarifa.

Hata hivyo amesema anaamini Lissu haki yake ataipata Mahakamani

mwakani.https://youtu.be/k8eBZLJfDKA
Huyu nae bado anatafuta umaarufu? Apumzike tu na familia yake.
 
gamba mwenzangu johnthebaptist .... njoo huku usikie maendeleo hayana vyama bana!
 
Back
Top Bottom