Bernard Membe Scholarship Fund inalenga nini?

Bernard Membe Scholarship Fund inalenga nini?

Wakati ndo huu tupe historia


Unaweweseka wewe uliyetoka kulewa na hela za gaddafi kakae upate taarifa ya unayempigia debe kabla hujaanza kuweweseka,ni aibu kwa mtu kama Membe kuutaka urais wa nchi hii,kwa taarifa tuna historia ya Membe tokea akiwa jeshini mpaka leo wazir wa mambo ya nchi za nje,twende kwa hoja Membe alipewa hela na ghaddafi kwa ajili ya kusaidia ccm uchaguzi ambapo yeye na ridhiwani kikwete hawakuziwakilisha kwenye chama,Membe leo kwenye graduation ya university of bagamoyo anasema ataanzisha BENARD MEMBE SCHOLARSHIP FUNDS kwa pesa gani zaidi ya hizo za marehemu ghaddafi? Na kwa nini anzishe huo mfuko leo 2014 kuelekea 2015?
 
Wana JF,

Huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka Membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya Kiromo - Bagamoyo ameahidi kuanzisha BENARD MEMBE SCHOLARSHIP FUND huku akimwagiza mkuu wa chuo, bwana Costa Mahalu aanzishe kamati maalumu ya kuratibu hilo, huku pia akiwaomba wahitimu wamuunge kwenye safari ambayo hajaitaja huku akihaidi ajira kwa wahitimu.

View attachment 208486

Ahadi hizi za Membe siyo kampeni ya kuungwa mkono kuelekea magogoni?

Tutaona mengi kabla ya 2015

Mungu ibariki Tanzania
HAPATI KITU😱
 
Ah, kumbe ndio maana hata ka-chou kakuu kenyewe ka akina Mama Bisimba kalikufilia mbali!
 
Hivi aliyemdanganya Membe kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanzania ni nani? au mke wake? au WAMA? au ile ndoto! hivi amishaoteshwa kumbe?
WEWE NI NANI ALIYEKUDANGANYA KUWA URAIS NI MONOPOLY RIGHT YA MTU MMOJA?ANAYE UNDERPERFORM?
AMEKUDANGANYA MKE WAKO??? THINK BIG !
 
Ni kweli nakubaliana nawe mkuu Membe ni rahisi wala siyo raisi na urahisi wake unatokana na uzito wake wa kufikiri na kuchukua hatua kwenye mambo ya msingi ya kitaifa nusura tuingie kwenye vita na Rwanda na Burundi kwa uzembe wake
kwa wa sasa tumepoteza trion 1.5
 
Back
Top Bottom