Bernard Membe Scholarship Fund inalenga nini?

mbona umaweweseka? heading na text tofauti, wapi kasema hela za gadafi? gadafi yupi? kunya anye kuku, akinya bata kaharisha

Unaweweseka wewe uliyetoka kulewa na hela za gaddafi kakae upate taarifa ya unayempigia debe kabla hujaanza kuweweseka,ni aibu kwa mtu kama Membe kuutaka urais wa nchi hii,kwa taarifa tuna historia ya Membe tokea akiwa jeshini mpaka leo wazir wa mambo ya nchi za nje,twende kwa hoja Membe alipewa hela na ghaddafi kwa ajili ya kusaidia ccm uchaguzi ambapo yeye na ridhiwani kikwete hawakuziwakilisha kwenye chama,Membe leo kwenye graduation ya university of bagamoyo anasema ataanzisha BENARD MEMBE SCHOLARSHIP FUNDS kwa pesa gani zaidi ya hizo za marehemu ghaddafi? Na kwa nini anzishe huo mfuko leo 2014 kuelekea 2015?
 
ffee2447b152494b43d9816faaea83c8_L.jpg

Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje mwaka 2015 (kabla ya uchaguzi mkuu alizindua Bernard Membe Scholarship Fund) kusaidia vijana wenye vipaji maalumu naulizia mpaka sasa ni vijana wangapi wamenufaika na hii scholarship?

Na vigezo vya kupata ni nini?
 
Pascal Mayalla any idea about this Scholarship fund? Inaendeshwa na Bodi ama? Kama wapo wajumbe wake ni kina nani? Hawawez kutusaidia kwenye mkwamo huu wa watoto maskini kukosa mikopo Elimu ya Juu?
Karibuni NAF Apartments Mtwara
 
Aha wapi. CCM km majamaa mengine hawana vitu endelevu. Kila kitu ni demo tuu na muda huo.Watakuambia ni mkakati tuu ulikuwa .Watu wana akili mjini bwana.Ndio majibu yao na wapambe wao,kisha wanpaongezana siku imeisha na hasara imebaki kwa watz. Hata wenzao north korea wakitaka piga picture ya rais akipiga mkwara mataifa yanayompa chakula.Huwa wanapiga ukuta rangi bila hata mmoja kujiuliza kwanini wanafikia kufanya huo ujinga na kwa faida ya nani. Nyerere mwenye libidi akubali tuu unga wa Yanga. watu wakala mahindi ya wanyama marekani kuliko kufa njaa.Tulidhalilika aje,mbaya yale mahindi tulikuja gundua bado yalikuwa na virutubisho kuliko haya ya binadamu ktk nchi za kijamaa.
 
Ilikuwa kampeni ya uchanguzi mkuu kwani umeona kuna kitu kiliendelea baada ya uchaguzi
 
Aha wapi. CCM km majamaa mengine hawana vitu endelevu. Kila kitu ni demo tuu na muda huo.Watakuambia ni mkakati tuu ulikuwa .Watu wana akili mjini bwana.Ndio majibu yao na wapambe wao,kisha wanpaongezana siku imeisha na hasara imebaki kwa watz. Hata wenzao north korea wakitaka piga picture ya rais akipiga mkwara mataifa yanayompa chakula.Huwa wanapiga ukuta rangi bila hata mmoja kujiuliza kwanini wanafikia kufanya huo ujinga na kwa faida ya nani. Nyerere mwenye libidi akubali tuu unga wa Yanga. watu wakala mahindi ya wanyama marekani kuliko kufa njaa.Tulidhalilika aje,mbaya yale mahindi tulikuja gundua bado yalikuwa na virutubisho kuliko haya ya binadamu ktk nchi za kijamaa.
Ile safari yenu ya matumaini imefikia wapi?[emoji12]
 
Probably kwa vile watu walikuwa kwenye starvation yakaletwa ili kuboresha lishe kwsni yana virutubisho hasa vitamin A kuliko hayo meupe
So sidhan kama inafaa vile ulivyo perceive
 
Back
Top Bottom