Membe ana siasa za kistaarabu?Safi sana ni wakati wa siasa za kistaarabu.
Hao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM Ndugu Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya CCM.
Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.
Pia soma
siasa ni unafikiHao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,
NDIO HAO HAO TENA WANA MSHANGILIA AKIWA ANA REJEA CCM.
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Bongo sihami.
Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!Wenye Chama chao taratiiiibu wanarudi
Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!
Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.
Nchi itatafunwa mpk ikomeHalmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho...
Umeshusha point sn mkuuTatizo sio kuanzisha chama, bali watapata support ya vyombo vya dola? Wanaccm wote wanategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ndio maana wakitoka nje ya ccm wanapata shida sana.
chama kinakuwa mali ya mtu flani km kile cha vidole viwili✌Wenye Chama chao taratiiiibu wanarudi
Mafisadi yote meno nje hakuna namnaSukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!
Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.