Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
The highlighted texts tell how an outright liar you might be. Vetting should have been made easier if that was the case. Hayo macho ya mkuu yapo hivyo as ndio alikuwa ametoka JKT so bado ana mindset ya ukakamavu wa kijeshi ndani yake.
 
Mbona hivi tena, majibu gani hayo kijana unanipa?
 

Huyo jamaa na habari zake za ugolo yuko wapi? Jamaa alijifanya analyst na habari zake za jikoni akaangukia pua.
 

Mkuu naomba unijuze kuhusu kigezo cha macho ili kumjua jasusi au kupata kazi ya ujasusi
 
Muda huongea, Jikoni walipika Wali wakakupakulia Makande, Usiwe unatoa taarifa ambazo hujui.
 
 

Aisee, source yako kweli ilikuwa sure kwa 100%,

Hivi kwa nini hakuna jinsi ya kufuta thread za zamani?, hatari sana
 
Unajidai sana kuwa hii Nchi unaijua kuliko wengine acha kiherehere na kujionesha kuwa unajua kila kitu.

Hauna lolote watakushobokea wajinga wenzako ambao wana akili fupi kama hiyo yako.

Tena kwa kukusaidia tu ni kwamba siijui tu Tanzania yako pekee bali nazijua pia Uganda na Rwanda kuliko pengine hata Waganda na Wanyarwanda wenyewe wanavyozijua. Sijui una lingine Mkuu? Halafu kuhusu Mimi kuwa najua kila kitu lawama usinipe Mimi tafadhali bali mlaumu Mwenyezi Mungu kuwa kwanini kanipa Mimi tu huu uwezo mkubwa wa IQ na kuwa very knowledgeable halafu Wewe kakuacha na huo Ungumbaru wako? Halafu ukiona Mtoto ana akili nzuri jua kuwa hata Kolabo ya Wazazi wake nayo ilikuwa ni ya Majiniasi watupu sasa Wewe kama wa Kwako waliokotezena tu huko mmoja katoka kwenye TB nyingi na mwingine katoka katika Pepopunda iliyotukuka kamwe usitegee product yao ambayo ni Wewe ukawa na AKILI kubwa, za hatari na zilizobarikiwa kama za GENTAMYCINE.
 
nakusalimu mkuu,vp bado una msimamo huu ama usha badiri
 

Kuna ile nyingine ambayo niliwahakikishieni kabisa Watanzania kuwa kuanzia katika mchujo wa CCM na hadi katika Urais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atapita na kuwa Rais wetu. Itafute upesi tafadhali na uiweke nayo pia hapa hapa ili Watu waone GENTAMYCINE ambavyo nilisema na ikawa kweli.
 
Duh!Kwa jinsi alivyopaniki huyu bwana 100% Muhongo inabidi nipite kimyakimya tu.Naogopa mitusi yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…