Bernad Membe afunguka, amshangaa Dr. Bashiru kukaa kimya

Bernad Membe afunguka, amshangaa Dr. Bashiru kukaa kimya

Bashiru aingia mdikologo aingia,msakeni mweee!
Nalog off
 
2015 tumepata funzo kubwa sana kama Taifa.
 
Kwa hiyo musiba anaogopwa kama kisamvu kilichopita tumboni na kutoka nje
 
Pale unapopambana na mtu unayemzidi nguvu lakini yeye anakuzidi akili .bashiru vs membe
Kwa hiyo, kwa sasa Membe amekuwa mtu wa kuwashawashwa anapeleka kwenye vyombo vya habari kuwa hajaitwa ili aitwe, siyo?

Mimi nilidhani anajiamini so ya nini kulialia kuwa hujaitwa? Umeshakiweka mchanga kitumbua though.
 
Back
Top Bottom