Bernad Membe afunguka, amshangaa Dr. Bashiru kukaa kimya

Bashiru kaingia mdikologo kaingia,msakeni mweeee!
Nalog off
 
Membe amchallenge Jiwe 2020 ili akae sawa kiakili mzee wetu ana msongo wa mawazo.anapaniki kama mtoto mdogo.

Magufuli hafai kuwa rais.over.
ziundwe taasisi nje na siasa za kusimamia serikali zenye watu wenye weledi wa masuala makubwa ya kitaifa kama uchumi,jamii,n.k kama CAG na vyombo vinginevyo.

kingine ninkuiong'oa ccm Nchi hii na kufuta mizizi yake yoote nchini ili tuanze upyaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh! Hafai kuwa wakati amekua
 
Nchi imeharibika kila kukicha habari zile zile za kupinga wanaonyesha dalili za kumpinga Mkuu miaka hii anataka agombee Urais bila kupingwa na upinzani usiwepo,
 
Kama Tanzania tunataka kujiokoa na kutoelekea njia ya Zimbabwe,membe anatakiwa kugombea 2020.
Magufuli amefeli mambo mengi kwanza si kiongozi na hata kwenye utawala hajui analazimisha.
Nchi ambayo kila mtu ana lalamika tena ktk miaka 3 tu ya kuwa rais hilo ni tatizo,ndio maana akina bashite wanatamba na kunyanyasa watu wakati ni mazero na lkn wanabebwa.
Nina hasira mpaka basi,hatumtaki magufuli,hata akiiba kura 2020 nchi itakuwa chungu kutawalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa ni akili kubwa kuliko polepole na bwana bashiru
 
Kama Tanzania tunataka kujiokoa na kutoelekea njia ya Zimbabwe,membe anatakiwa kugombea 2020.
Magufuli amefeli mambo mengi kwanza si kiongozi na hata kwenye utawala hajui analazimisha.
Nchi ambayo kila mtu ana lalamika tena ktk miaka 3 tu ya kuwa rais hilo ni tatizo,ndio maana akina bashite wanatamba na kunyanyasa watu wakati ni mazero na lkn wanabebwa.
Nina hasira mpaka basi,hatumtaki magufuli,hata akiiba kura 2020 nchi itakuwa chungu kutawalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utawala gani umeshawahi kutokea baadhi ya wananchi kukosa kulalamika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe amchallenge Jiwe 2020 ili akae sawa kiakili mzee wetu ana msongo wa mawazo.anapaniki kama mtoto mdogo.

Magufuli hafai kuwa rais.over.
ziundwe taasisi nje na siasa za kusimamia serikali zenye watu wenye weledi wa masuala makubwa ya kitaifa kama uchumi,jamii,n.k kama CAG na vyombo vinginevyo.

kingine ninkuiong'oa ccm Nchi hii na kufuta mizizi yake yoote nchini ili tuanze upyaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho umenikumbusha mbunge "Bwege"
"Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaa!!!"
 
Back
Top Bottom