Bentley Bentayga, Range Rover Killer!

Level gani unayoiongelea kwamba haitafikia?


Sasa hao VW wameshindwa Ku challenge RR na Touareg yao....wameamua kutumia mgongo wa hao hao British(Bentley) kushindana na RR kwenye SUV sector ambayo RR in master! Nini kiliwashinda na Touareg?!
 

Safi umeelezea vizuri sana mkuu
 
Bentley should stick to their flagship luxury executive big saloons i.e Arnage,Azzure,Fying Spur and sporty Continental....! But in SUV market they will flop!

Unahakika na unachokisema? Ni kwanini washindwe? Bentley chini ya mwamvuli wa VW ambao tayari wanatengeza SUV best selling Duniani kama VW Toaureg, Audi Q5 &Q7, Porsche Cayenne, Porsche Macan n.k ni swala la kuhamisha teknologia tu!
Kwa kifupi sasa kampuni nyingi zinaingia kwenye SUV segment kwa kuwa zinauzika sana sasa hivi Aston Martin wanakuja na SUV, Maserrati wanakuja na SUV hata Rolls Royce wanakuja na Rolls Royce Cullinan chini ya mwamvuli wa BMW sasa hao wote hawawezi kuwa vipofu na wajinga kiasi hicho
wanajua wanachokifanya!
Hizi ni gari ambazo zinatengenezwa kwa matajiri wapya wa Uchina na siyo wabunge wa TanZania!
 
Sasa hao VW wameshindwa Ku challenge RR na Touareg yao....wameamua kutumia mgongo wa hao hao British(Bentley) kushindana na RR kwenye SUV sector ambayo RR in master! Nini kiliwashinda na Touareg?!


Unachanganya mambo VW Touareg haikuwahi kuwa Mshindani wa Range Rover na wala haikutengezwa kwa ajili hiyo!
VW Toureg inashindana na BMW X5, Volvo X 60, Toyota Prado, Land Rover Discovery n.k kila mtu analijua hilo! Mpaka sasa hivi hakuna SUV ambayo inafikia ngazi ya Range Rover hilo halina ubishi ila karibia inabadilka kwa maana makampuni yote makubwa yameona ya kwamba SUV segment inalipa, kama ulifwatilia New York auto Motor show ungeona!
 
Taratibu ndo mwendo, huko kwenye range rover bado sana kifikia mimi
 

Sawa...
 

Samahani mkuu kwenye title yako si umesema Bentley ndo killer wa Range Rover?
 

Naona umejipanga kwa ubishi! Kule umeniambia Touareg haishindani na RR,hapa unaniambia VW wametengrneza best selling SUV yaani Touareg,na wewe ndio unaesema hamna SUV inayoshindana na RR! Sasa kama hamna ina maana hizo zote ulizotaja za VW wameshindwa kushindana na RR...whats so special hao hao VW watakujs nacho?! British backbone ya Bentley?! Ngoja nikusome tu.
 
MANENO IKO HAPA TU, ZUNGUKENI KOOTE LAKINI HAPA!!? ACHENI TU. ONE DAY YES.
 

Bado unachanganya mambo! Soma vizuri sijasema kwamba Touareg ni best selling SUV bali nimesema SUV za VW ni best selling Duniani yaani ukichukua Audi Q5,Q7, Porsche macan, Porsche Cayenne n.k Range Rover ni SUV yenye sifa za off road na luxury hilo halina ubishi lkn SIYO Best selling SUV Duniani na kuna sababu nyingi na mojawapo ni reliability range rover haina reliability sana, kuna resale value, hayo yote yanachangia lakini bado hakuiondelei Range Rover kuwa SUV inayoongoza kwa offroading na luxury kwa ujumla kwenye segment ya SUV kwa sasa!
 
na kuendesha uwe unaendesha huko huko ndotoni

umesahau kuwa wewe ndiyo utakuwa dereva wetu....afu mimi na mme wangu tunakaa nyuma unatupeleka kazini na kuturudisha.....
 
Halafu kuna kajitu fulani eti kalikuwa kanapondea range rover kanasema eti SUV ya mercedez benzi ni kali kuliko range,mi nikamwambia weeee,mziki wa range usikie hvyohvyo,hakunaga SUV kama range rover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…