Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,129
Kitu kinaitwa Salaried Workers Loan (SWL) ndio chanzo cha mateso ya wafanyakazi maana wengi wanakopa kwa kufuata mkumbo.
Ukipata nafasi ya kuongea na maafisa mikopo wa benki na namna wanavyowawahi staff wapya wanapoajiriwa utaelewa namna nchi ilivyo na wajinga wengi.
Mtu katoka kuajiriwa na hapohapo anaingizwa kwemfumo wa utumwa. Siku serikali ikipiga marufuku hii mikopo benki nyingi zitapotea.