Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Okay, so kwa ushauri wako tu.. mtu afanyeje?
1. Tununue dollars?
2. Na hela zilizopo banks je zitakua salama bila kupoteza thamani kwa sie ambao zipo kwenye tzs?
3. Na kwa wale wenye hela zao kwenye government bonds wafanyaje?
Hakuna hela itakayokuwa salama ndani ya mfumo wa kifedha, endapo litatokea anguko au mdororo wa kiuchumi duniani. Hili naomba ulifahamu mapema kabisa. Kuhusu kunuanua US Dollars, ukweli ni kwamba hazitakuwa na thamani wakati wa mdororo wa kiuchumi kwasababu Fiat Currencies zote huathirika na mfumuko wa bei, Inflation. Ukiwa na uwezo mkubwa toa hela zako mapema leo, nunua vito vya thamani, Precious Metals, kama Gold-Coins and Gold-Bars.

Wale ambao mna, Sovereign Bonds mambo yanaweza kuwa mabaya endapo benki kuu itapandisha riba ili kudhibiti mfumuko wa bei. Bonds zitashuka thamani. Hali inaweza kuwa mbaya zaidi pale ambapo serikali itaamua kuingiza kufanya, Quantitative Easing. Serikali itaanza kununua Bonds zote ili kuongeza pesa mzunguko wa pesa kiuchumi. Sasa kama uliwekeza milioni moja na unasubiri kupata milioni mbili, AFTER BOND MATURITY, unaweza kupewa nusu ya hiyo hela ambayo unategemea. Hivyo ni hasara.

Serikali ya Tanzania inaweza kujipanga vizuri ili kudhibiti mfumuko wa bei na kuwasaidia watu wa kipato cha kawaida. Serikali inaweza kufanya, WAGE & PRICE FREEZE na mfumuko ukaisha ndani ya wiki. Serikali haitakiwi itegemee kupandisha riba peke yake kama mbinu ya kudhibiti mfumuko wa bei. Hili ndilo linaigharimu Marekani mpaka leo. Richard Nixon mwaka 1971 baada ya majanga kama haya kutokea, alitangaza, WAGE & PRICE FREEZE na ndani ya mwezi mmoja wakadhibiti mfumuko wa bei bila kuathiri wamarekani wa kawaida na mabenki.
 
Mkuu ule mwaka kipindi cha Magufuli Covenant Bank for Women, Efatha Bank Ltd, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Cooperative Bank zilipofutwa malipo yalikuwa kiasi gani kwa wenye fedha zao kule. Nakumbuka ilikuwa ni kiwango sawa ila sina kumbukumbu nzuri unaweza nikumbusha
Yale mabenki yalikuwa hayana mtaji wa kutosha kuweza kujiendesha, yalikuwa yanategemea watu waweke fedha ndiyo yaanze kuzifanyia kazi, hii ni kinyume na sheria. Kiutaratibu, kila benki inavyoanza lazima iwe na kiwango maalumu ambacho kiko, BOT na kile ambacho inaruhusiwa kuanza kufanyia kazi. Kile kiwango cha, BOT kinaweza kuja kutolewa endapo benki itakuwa na uhitaji mkubwa au imekumbwa na janga. Hili ndilo linaitwa, Fractional Reserve Banking.
 
Anayefuata ni credit Suisse ,Leo Yuko kwenye hali mbaya mno ,thamani ya hisa imeporomoka kupita maelezo , customer trust is at all time low ,hii benki inaenda kucollpase ,the madness goes on .
Hii financial collapse haitamwacha mtu salama ,mchina naye yuko kwenye hali mbaya na madeni yake ,benki zake za ndani nazo zinastruggle vibaya , soon naye ataanza kukipata cha moto ,ile Bailout waliyompa real estate giant "Evergrande" mwaka jana ili asicollapse sidhani kama ita workout this time , global finance iko kwenye hali mbaya
 
Zitaendelea kuporomoka. Mfumo wa uchumi wa kisasa umejengwa juu ya uongo.
 
First Republic Bank imefilisika ,hahaaa mpaka mabenki binafsi mengine yameingilia kati kuikopesha benki hii iliyofilisika ili isicollapse lazima maana wanajua ikicollapse lazima na wao waende na maji ,so wanachofanya sasa hivi ni kudanganya depositors Kwa kucreate maigizo ili depositors waamini kwamba mfumo wa kibenki uko sawa kumbe usanii mtupu .
 
Benki ya tano hiyo(Ya nne ndani ya USA). Na jamaa walisema pesa za bima za kuwafidia wateja zipo chini sana. Baada ya kuwalipa wateja wa Silicon valley bank na Silvrgate, wanaweza wasiweze kulipa wengine. Zikiendelea kuanguka itabidi tu wazifanyie bailout kwa pesa za umma.
 
Bahati mbaya mimi ni muumini wa nguvu za watu zaidi. Marekani ilivyo ni nchi iliyoundwa na nguvu za watu binafsi kabla ya institutions kuwepo. Kina Benjamin Franklin wakati wa ujana wao ni mabondia, wamiliki wa watumwa na wafanyabishara ila serikalini walikuwa wazalendo kupindukia. Hao giants wa Marekani serikali inaweza umiza kichwa ikakosa cha kufanya ikawaita kwenye vikao, vile vichwa vikipanga mikakati mara moja unaona tatizo limeisha.

Kwenye matatizo au matukio makubwa ya Marekani unawaona wafanyabishara wakubwa hawa hapa, kwenye foreign policy ya nchi yao unawaona. Hadi vita kubwa duniani wakawa war profiteers Marekani ikienda vitani nao wamo.

Uwepo mfumo wa wazi usio na upendeleo ila unaogusa watu, yeyote aweze kuingia akiwa na uwezo kweli. Mimi ni muumini wa wakiwepo wafanyabishara wengi, watatoa ajira nyingi kwa wasioweza kufanya biashara. Federal Reserve hiyo hapo inalalamikiwa ni genge la watu ila hiyo hiyo ndio ilitoa zaidi ya $2 trillion kama stimulus package ya COVID-19. Sasa taasisi gani duniani ina uwezo wa kutoa trilioni zaidi ya 4000 za Tanzania, quadrilioni 4 hapo. Hizo hela zimeenda kusaidia watu maskini na wa kawaida.

Nchi yoyote inayoendekeza kusikiliza wajinga na maskini hupotea. Na mtaalamu aliyetoa theory kwamba demokrasia ni mfumo wa ovyo kuna namna nakubaliana nae. Tajiri anajua namna ya kumfanya maskini aishi, ila maskini hajui namna ya kumfanya tajiri aishi. Ukiikabidhi nchi kwa maskini mbona hata mwaka hamkai uchumi unafeli. Wajinga na maskini ndio waharibifu namba moja wa uchumi
Aiseeh umeandika vyema Sana...
 
Kuna nyingine ya tatu jana FDIC waliitake over ,ni ya newyork ,inaitwa Signature bank nayo imefilisika pia , kiufupi banks ni pyramid schemes ,Leo hii watu wengi wakikosa vonfidence na wakata kwenda kutoa pesa zao ,benki inafilisika na wengi hizo pesa hawatapata ,so ni hivyo ,ndio kilichotokea kwenye hayo mabenki.
Nunueni dhahabu na silver ili kuhifadhi pesa zenu , kwanza hizo ni inflation hedge , haziathiriki na mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya fedha wazungu ,wahindi ,waarabu ,wachina wote wanafanya hivyo , sisi tumezubaa tu na haya makaratasi (worthless ) pieces of paper ambayo muda wowote yana looose value
Financial and economic depression inayokuja ni balaa
Ukinunua dhahabu ukiuza sibei itapungua?
 
Hakuna hela itakayokuwa salama ndani ya mfumo wa kifedha, endapo litatokea anguko au mdororo wa kiuchumi duniani. Hili naomba ulifahamu mapema kabisa. Kuhusu kunuanua US Dollars, ukweli ni kwamba hazitakuwa na thamani wakati wa mdororo wa kiuchumi kwasababu Fiat Currencies zote huathirika na mfumuko wa bei, Inflation. Ukiwa na uwezo mkubwa toa hela zako mapema leo, nunua vito vya thamani, Precious Metals, kama Gold-Coins and Gold-Bars.

Wale ambao mna, Sovereign Bonds mambo yanaweza kuwa mabaya endapo benki kuu itapandisha riba ili kudhibiti mfumuko wa bei. Bonds zitashuka thamani. Hali inaweza kuwa mbaya zaidi pale ambapo serikali itaamua kuingiza kufanya, Quantitative Easing. Serikali itaanza kununua Bonds zote ili kuongeza pesa mzunguko wa pesa kiuchumi. Sasa kama uliwekeza milioni moja na unasubiri kupata milioni mbili, AFTER BOND MATURITY, unaweza kupewa nusu ya hiyo hela ambayo unategemea. Hivyo ni hasara.

Serikali ya Tanzania inaweza kujipanga vizuri ili kudhibiti mfumuko wa bei na kuwasaidia watu wa kipato cha kawaida. Serikali inaweza kufanya, WAGE & PRICE FREEZE na mfumuko ukaisha ndani ya wiki. Serikali haitakiwi itegemee kupandisha riba peke yake kama mbinu ya kudhibiti mfumuko wa bei. Hili ndilo linaigharimu Marekani mpaka leo. Richard Nixon mwaka 1971 baada ya majanga kama haya kutokea, alitangaza, WAGE & PRICE FREEZE na ndani ya mwezi mmoja wakadhibiti mfumuko wa bei bila kuathiri wamarekani wa kawaida na mabenki.
Nashukuru kwa maelezo
 
Uchumi wa Marekani ukitetereka na uchumi wa dunia unazubaa vilevile. Great economic depression ilitokea miaka ya 1920, mdororo wa uchumi 2008 ulianzia kule. Ingetokea COVID-19 ikaanzia Marekani uchumi wa dunia ungeyumba zaidi.
Ndio maana RUSSIA CHINA nawengine BRICS wanataka waondokane na huo utoto

Anguko la US liwe lakwake mwenyewe na shost zake wa EU sio wa DUNIA nzima

Multipolar ndio tiba sahihi na dedolarization ndio tiba sahihi zaidi

Hatujafika bado ila tunaelekea kwakasi
 
Haya ni maneno ya media za magharibi, ukitaka kusikia ukweli tazama RT ya Russia au CGTN ya china. Marekani uchumi wake upo matatani kila mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mifumo ya kiuchumi hili atakuwa ameshaliona.
Kabisaa Us anapitia kipindi kigumu ila wacha tuone mwisho

Kama ndio anguko la dola ama nn
 
Bahati mbaya mimi ni muumini wa nguvu za watu zaidi. Marekani ilivyo ni nchi iliyoundwa na nguvu za watu binafsi kabla ya institutions kuwepo. Kina Benjamin Franklin wakati wa ujana wao ni mabondia, wamiliki wa watumwa na wafanyabishara ila serikalini walikuwa wazalendo kupindukia. Hao giants wa Marekani serikali inaweza umiza kichwa ikakosa cha kufanya ikawaita kwenye vikao, vile vichwa vikipanga mikakati mara moja unaona tatizo limeisha.

Kwenye matatizo au matukio makubwa ya Marekani unawaona wafanyabishara wakubwa hawa hapa, kwenye foreign policy ya nchi yao unawaona. Hadi vita kubwa duniani wakawa war profiteers Marekani ikienda vitani nao wamo.

Uwepo mfumo wa wazi usio na upendeleo ila unaogusa watu, yeyote aweze kuingia akiwa na uwezo kweli. Mimi ni muumini wa wakiwepo wafanyabishara wengi, watatoa ajira nyingi kwa wasioweza kufanya biashara. Federal Reserve hiyo hapo inalalamikiwa ni genge la watu ila hiyo hiyo ndio ilitoa zaidi ya $2 trillion kama stimulus package ya COVID-19. Sasa taasisi gani duniani ina uwezo wa kutoa trilioni zaidi ya 4000 za Tanzania, quadrilioni 4 hapo. Hizo hela zimeenda kusaidia watu maskini na wa kawaida.

Nchi yoyote inayoendekeza kusikiliza wajinga na maskini hupotea. Na mtaalamu aliyetoa theory kwamba demokrasia ni mfumo wa ovyo kuna namna nakubaliana nae. Tajiri anajua namna ya kumfanya maskini aishi, ila maskini hajui namna ya kumfanya tajiri aishi. Ukiikabidhi nchi kwa maskini mbona hata mwaka hamkai uchumi unafeli. Wajinga na maskini ndio waharibifu namba moja wa uchumi
Mambo ya ugonjwa wa kovidi yalikuwa na ajenda nyingi za ufisadi wa kiuchumi dhidi ya nchi nyingine hivyo ukiwa na akili ndogo unaweza kudhani walikuwa wanatenda wema kumbe walikuwa wana sukuma kete ngumu kwa mtu wa kawaida kuweza kutambua ni mchezo gani wana cheza .
 
Kaka niende nje ya swali lako kidogo labda tuongezeane ufahamu kidogo kuhusu uchumu wa America (north america muungano wa USA). Uchumi was America unategemea sana sector binafsi na ndo zimeajiri Sana, zinaexport Sana, na pia mpka zinaushawishi kwenye vyama vyao vikuu vya siasa democrats na republican, mfano kwenye election hivi vyama vinasapotiwa kifedha na hizi sector kutegemea na mlengo wa chama, turudi kwenye mada, sector binafsi nyingi even zile giants zinarun shughuli zao lwa mikopo kumbuka ndo zimeajiri watu wengi, nchi inapokumbwa na tatizo mfano tu la ajira za sector binafsi kupungua (stress kwa government) serikali kupitia benki kuu inaamua kuongeza mzunguko wa fedha mtaani (namanisha kwa investor wamiliki wa makampuni) hivyo wanashusha riba, riba Ikishuka mana ake mtu anakopa halaf anarudisha kwa kiwango kidgo. mana ake rate ya watu kukopa (cash) inakuwa kubwa, kwa hiyo kwa benki hizi za majimbo zinarun out ya cash, lkn hii yote kwa ujumla inaashiria uchumi umedorola kiasi, sorry uandishi mbovo
Sasa wewe umeeleweka vyema. Sio yule aliyesema ubongo mdogo wa kuelewa.
 
US Na Uswis Banks Zao Kudorora Maana Yake Nasi Tutaguswa Tu Kwa Njia Yoyote
 
Back
Top Bottom