Hbr za sikukuu,wikii hii Rais Magufuli wakati anahutubia mkutano mkuu wa UWT nilimsikia akisema nataka viongozi ambao watahakikisha wanawake wakija kukopa hata ambao sio wa CCM wanapata mkopo kwa riba ndogo. Nataka kujua hii benki ni ya Wanawake wa Tanzania au inamilikiwa na UWTCCM.
Tia japo neno moja!
Nimekosa kwakwelTia japo neno moja!
Basi tusubiri labda kuna wale watu wanaosema hatukumuelewa mheshimiwa halikua hana maana hayo watajitokeza soon kutuelewesha.