Tetesi: Benki ya Equity inatoa siri za wateja Tanzania

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
227
383
Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao.

Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini ni hatari kwa usalama wa akaunti za wateja na usalama wa maisha yao

Hii imetokea hivi karibu Moshi Kilimanjaro ambako mshirika mmoja wa kibiashara aliyekuwa anamdai mwenzake pesa alienda kwa Teller mmoja na kumuomba amsaidie kujua kama jamaa yake yuko na pesa kwa akaunti yake na akapewa sasa jamaa anahofia usalama wake baada ya mwenzake kumweleza uko na kiasi fulani kwa akaunti yako.

Equity chungeni sana hao tellers wenu watasabisha shida huko mbeleni
 
aliyekuwa exposed kuhusu salio lake aende mahakamani!
 
propaganda just to push Equity out, I smell a sabotage attempt. Hizi ni wivu, Equity imetamba sana East and central Africa.
 
Sitoshangaa maana humo wameajiriwa hawa hawa wabongo na ukajanja wao......
Hata hivyo mlalamishi aipeleke kwa wakuu wa benki, mhusika atafutwa kazi na hata kufunguliwa mashtaka maana mifumo ya software huwa na audit trail, kwamba huonyesha nani alifungua ukurasa upi na alisoma taarifa zipi.
 
Back
Top Bottom