Benki ya Dunia yasema Tanzania haikuwa serious na COVID19 mwaka 2020, yatushauri kujiandaa tu kabisa na ugawaji wa chanjo

Wazungu wana tupenda?
wawapende wajinga wajinga lakini sio mimi!!
Kwaiyo wana tamani kabisa Siku moja bara la Afrika liwe kama Ulaya sio!?
Tajiri ana penda masiki naye awe tajiri sio?
Kwanini walimuua Gadaffi!!?
Umeamkaje my bro
Hizo ni akili za watu flani, yaani hawaelewagi
 
Una elimu gani. Inaonekana hujui hata maana ya maendeleo!! Nchi wengi wanachojua ni kusoma na kuandika, lakini wenye maarifa ni wachache sana.
Mimi ni darasa la saba. Lakini niko vizuri sana tu kimaendeleo njoo nikupe kazi ya kuosha vyombo nyumbani kwangu mkuu!
 
Wawahi hapo kenya kwa jirani mwema maana yeye keshajipanga kuanzakuanza chanjo atawadunga tuu
Ujirani ni kusaidiana
Kenya ni kibaraka wa mabeberu kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki!
Huko Kenya wana tangaziwa Tz tunakufa kama kuku wenye kideri!!
Kuna rafiki yangu mkenya kagoma kuja kabisa hku sababu wana tangaziwa mambo ya kuogopesha kuhusu Tanzania!
 
Mwambie rafiki yako mkenya atashikiliwa akili hadi lini? Hebu akuambie kwanza ni watanzania wangapi anaowajua binafsi wakiwemo marafiki wamekufa kama kuku? Na akueleze pia kama siku hizi huko kenya hakuna misiba
 
Yani wasikie wakenya tu walisha ondolewaga akili zote na Wazungu!
Kenya imetumika sana kama sehemu ya kuzalishia bidhaa za mabeberu naku distribute kwenye nchi za Afrika Mashariki!
Ni eneo la kimkakati kwa mabeberu!!
Tunakokwenda kenya lazima iwe ndogo sana kwa Tanzania!
Wana jaribu sana kujiokoa kwa kufanya fitina za kitoto!
Haya sija ongea kwa sababu za kisiasa ni kwa sababu nilisha wahi kuwa machinga wa bidhaa za Kenya miaka ya nyuma na kwa sasa karibia ya zote zina patikana hapa hapa Tanzania na kizuri sio kutoka kwa Wahindi wala mabeberu!
 
Yani wasikie wakenya tu walisha ondolewaga akili zote na Wazungu!
Kenya imetumika sana kama sehemu ya kuzalishia bidhaa za mabeberu naku distribute kwenye nchi za Afrika Mashariki!
Ni eneo la kimkakati kwa mabeberu!!
Tunakokwenda kenye lazima iwe ndogo sana kwa Tanzania!
Wana jaribu sana kujiokoa kwa kufanya fitina za kitoto!
Haya sija ongea kwa sababu za kisiasa ni kwa sababu nilisha wahi kuwa machinga wa bidhaa za Kenya miaka ya nyuma na kwa sasa karibia ya zote zina patikana hapa hapa Tanzania na kizuri sio kutoka kwa Wahindi wala mabeberu!
Nyakati zimebadilika sasa ila wakenya hawabadiliki na ndio maana watafeli tuu

Uchumi wa dunia umebadilika sana, mataifa makubwa kiuchumi yameongezeka, mbinu za kukua kiuchumi zimebadilika sana pia

Wakenya wanajikutaga sio waafrika kwa kudhania wanapedwa sana na beberu bila kujua wanatumika bila faida wala fidia

Pamoja na yote hapa ndipo ninaposemaga Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Magufuli 🙏
 
Ndugu yangu chanjo moja sh 400,000/=, ndugu yangu wewe utaweza hiyo gharama? Kama mimi mtaji wa laki mbili tu unanitoa jasho je lak nne nitaweza mimi? Aya mfano una watoto wanne na mke wako jumla sita mkuu mtaweza 2.4mil😆😆😆
Hizi chanjo nilidhani ni bure. Kenya zimeshapelekwa. Wenye hela zao wataenda kuchanja tu hasa kws wasafiri Maana yatawekwa masharti huwezi kwenda nchi fulani bila hiyo chanjo
 
Nimesoma post zote juu ila nimejifunza kuwa, wa Tz wengi uwezo wao wa kupambanua mambo na kuelewa ni mdogo sana ndio maana wengi hawana mbele wala nyuma.
 
Jifunze kufamu zipi ni credible sources ati sio unakula kila tango linaloingia mtandaoni.

Kwa taarifa yako Israel wanakaribia kufungua tena uchumi wao

Number of seriously ill COVID patients drops to lowest point since December 30

Na hii

Pfizer Inc. and BioNTech SE’s Covid-19 vaccine was overwhelmingly effective against the virus in a study that followed nearly 1.2 million people in Israel, results that public-health experts said show that immunizations could end the pandemic.

Pfizer-BioNTech Shot Could Help End Pandemic, Israel Study Shows

Malizia na hii

88% of Israelis aged 50+ have been vaccinated or recovered from COVID-19

While serious cases are decreasing, downward trend in infections has halted, prompting officials to call into question further steps to reopen the economy

Inaonekna ushakuwa social engineered by mainstream media. Soma hichi kitabu kimetoka karibuni kipo amazon
Anyone Who Tells You Vaccines Are Safe and Effective is Lying
Kisha msikilize huyu myahudi akitoa evidence ya kinachotokeaa huko walipo
Israeli fears a new Holocaust is coming - Shai Dannon talks with David Icke about the horrific tyranny that 'Covid' Israel has become for Jews that won't comply
Sijajua ufahamu wako una level gani kwenye science ila kuifupi iwe unafahamu sayansi au la ukitaka kupata judgement ya kitu ni vizuri ufanye kitu nichoweza kukiita 'triangulation in information finding'. Yaani unasoma na kusikiliza taarifa nyingi kutoka vyanzo tofauti halafu unaiacha akili yako itengeneze judgement. Halafu kitaaluma ni kuwa the only credible source inayohusu mambo ya kitaaluma kama la hili la chanjo ambalo ni taaluma ya sayansi ni peer-reviewed scientific journals. Sasa hatari ya hii chanjo ya Corona imeelezwa na journals nyingi ila nitakuwekea hapa chini chapisho lilopo kwenye Journal inayoitwa Lancet ambayo ukimuuliza daktari yoyote mzoefu kwenye taaluma atakwambia ni 'standard and well established medical journal'. Chapisho linaelezea clearly mojawapo ya hatari ya chanjo hii ya Corona. Hatari hiyo ni kwamba chanjo inavyotengenezwa wanaweka mchanganyiko wa virusi vingi ambavyo ni live. Kinadharia ni kuwa ukimchoma mtu unaufunza na kuundaa mwili kujua namna ya kujilinda na kirusi halisi kinachoambukiza ugonjwa husika kwa kutengeneza antibodies zinazoulinda mwili. Sasa katika chapisho la hapa chini ni kuwa kwenye hii chanjo ya Corona ni kirusi cha kutengenezwa kinaitwa Adenivirus type-5 ambavyo pia huwa vinapatikana kwa Chimpanzee. Wanasayansi waliotoa chapisho hili wanasema kuna uwezekano mkubwa watakaochanjwa chanjo ya COVID-19 kupata HIV. Tafadhali soma hapa Use of adenovirus type-5 vectored vaccines: a cautionary tale
Utauliza kama ni hatari inawezekanaje watake kuwaingiza hatarini watu wote duniani? FYI watu wengi Marekani, Europe, Australia na kwingineko kulikoendelea wanapinga sana chanjo lakini hawana sauti kwenye mainstream media kama BBC CNN SKYNEWS< CBS VOA ALJAZEERA na nyinginezo unazoziamini wewe. Ila bahati mbaya usichokijua ni kuwa hivi vyote viko chini ya watu wachache wenye kuitaka hii Corona iendelee kwa maslahi yao (vaccines & depopulation) na pia wao ndio wameikamata WHO. Angalia hapa:
Bill Gates Documentary Why He Switched From Microsoft To Vaccines
 
Sijui kuna siri ipi juu ya hii chanjo...

Maana so kwa kilazimishana huku
Mkuu Tanzania so kisiwa,tunalazimika pia kuwalinda watu wengine Kama sisi hatuuawi na covid tunaweza tukawa carriers na hivyo kuwaambukiza wengine,unless Kama Tanzania inataka kuwa kwenye sayari ya pekee yake,hata hivyo nakushauri ujitajidi kuzishinda hizo negativity
 
World Bank imetuchamba kizungu:

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi. Mara Warwick amesema katika hotuba yake kuwa Serikali ya Tanzania ilichukua hatua za mapema za kuondokana na athari za kiafya na kiuchumi za COVID-19 ingawa zilikuwa za kawaida sana na za muda mfupi kulinganisha na nchi nyingine katika ukanda.

Ingawa mporomoko wa kuichumi uliepukwa, kukosekana kwa taarifa rasmi kuhusu maambukizi ya COVID-19 na idadi ya vifo inaweka ugumu katika kufanya uchambuzi wa ubora wa hatua zinazochukuliwa.

Chanjo:

Wakijua kabisa hatutaki chanjo, Mara akasema hivi:

Kuokoa Maisha kunategemea jitihada endelevu katika kukinga, kutambua na kutibu COVID-19 ikisaidiwa na uwazi wa taarifa na utoaji wa ripoti kwa wakati. Uwazi utasaidia kutambuliwa kwa mapema, kuzuia ueneaji na kuisaidia jamii

Kuwekwa kwa mfumo wa ndani kwa ajili ya ufuatiliaji wa COVID-19 itaiweka Serikali katika nafasi nzuri chanjo mpya zikizidi kugunduliwa. Tunaishauri Serikali kuhusisha wadau wenye ujuzi waandae mpango wa kutekeleza ugawaji wa chanjo ya COVID-19.
Kichekesho kingine tena cha mabeberu hawa, we sikiliza mbinu zao za kitoto zenye lengo la kupigia debe chanjo za magharibi na kutaka kuzibebesha mzingo wa madeni mataifa ya Afrika - kumbuka WHO iliwahi kuzishauri nchi za kiafrika eti zichukuwe mkopo wa World Bank ili usaidie kununua chanjo za makampuni yanayo fadhiliwa na Bill Gates na mkewe, wanatufanya waafrika hatuna akili!! Yaani siku hizi WHO imegeuzwa kichaka cha Udalali wa chanjo za Bill Gates na mkewe - watu hawa ni hatari sana wanakwenda mbali zaidi na ku-involve mpaka World Bank kwa kificho, si unaona hapa mkurugenzi wa Workd Bank is conveniently avoiding kutaja masuala ya mikopo kwa ajili ya kununulia chanjo hasa Serikali za Dunia ya tatu - hataki kuonekana ni part and parcel ya genge la Bill Gates na mkewe, WHO ambao siku hizi wamegehuka kuwa madalali wa chanjo za Bill Gates zinazo zalishwa na Big Pharma Companies ambazo yeye ndiye mfadhili wao mkuu - sasa unaona chain hiyo ya kupiga hela ndefu ilivyo sukwa kuifundi - chain hii hapa: Chanjo za Bill Gates zinazo zalishwa na makumpuni ambayo anaya fadhili ----> WHO inatuimiwa kama dalali wa kupigia debe chanjo za Bill Gates ----> wanashirikisha World Bank kwa kificho huku WHO ikijidai kutoa ushauri kwa nchi maskini eti "zichukuwe mkopo kutoka World Bank kwa ajili ya kununulia Chanjo wanazo zipigia debe!"

Ukiangalia kijuu juu unaweza kudanganyika kirahisi sana na ufisadi huu iliyo kubuhu - bahati nzuri mtu mwenye sharp analytical mind na ni Mega smart upstairs kama Magufuli si rahisi kuingiza Taifa letu kwenye mkenge, alisha usoma mchezo wao mzima kwa siku nyingi tu, na wao wamekwisha litambuwa sana hilo, ndio maana mkurugenzi wa World Bank anajifanya kutoa ushauri kwa Tanzania/Magufuli kuhusu jinsi ya ku-deal na COVID-19 wakati yeye si tatibu wala staff /employee wa WHO, yeye kazi zake ni za kibenki, iweje kwenye masuala ya chanjo wakati hiyo sifani yake! Ukweli ni kwamba yeye anacho tafuta pale ni kutaka Tanzania na mataifa mengine ya Afrika yachukuwe mikopo kutoka World Bank mwisho wa siku wazibebeshe nchi masikini mzigo wa madeni.

Anyone Who Tells You Vaccines Are Safe and Effective is Lying
Kisha msikilize huyu myahudi akitoa evidence ya kinachotokeaa huko walipo
Israeli fears a new Holocaust is coming - Shai Dannon talks with David Icke about the horrific tyranny that 'Covid' Israel has become for Jews that won't comply
Sijajua ufahamu wako una level gani kwenye science ila kuifupi iwe unafahamu sayansi au la ukitaka kupata judgement ya kitu ni vizuri ufanye kitu nichoweza kukiita 'triangulation in information finding'. Yaani unasoma na kusikiliza taarifa nyingi kutoka vyanzo tofauti halafu unaiacha akili yako itengeneze judgement. Halafu kitaaluma ni kuwa the only credible source inayohusu mambo ya kitaaluma kama la hili la chanjo ambalo ni taaluma ya sayansi ni peer-reviewed scientific journals. Sasa hatari ya hii chanjo ya Corona imeelezwa na journals nyingi ila nitakuwekea hapa chini chapisho lilopo kwenye Journal inayoitwa Lancet ambayo ukimuuliza daktari yoyote mzoefu kwenye taaluma atakwambia ni 'standard and well established medical journal'. Chapisho linaelezea clearly mojawapo ya hatari ya chanjo hii ya Corona. Hatari hiyo ni kwamba chanjo inavyotengenezwa wanaweka mchanganyiko wa virusi vingi ambavyo ni live. Kinadharia ni kuwa ukimchoma mtu unaufunza na kuundaa mwili kujua namna ya kujilinda na kirusi halisi kinachoambukiza ugonjwa husika kwa kutengeneza antibodies zinazoulinda mwili. Sasa katika chapisho la hapa chini ni kuwa kwenye hii chanjo ya Corona ni kirusi cha kutengenezwa kinaitwa Adenivirus type-5 ambavyo pia huwa vinapatikana kwa Chimpanzee. Wanasayansi waliotoa chapisho hili wanasema kuna uwezekano mkubwa watakaochanjwa chanjo ya COVID-19 kupata HIV. Tafadhali soma hapa Use of adenovirus type-5 vectored vaccines: a cautionary tale
Utauliza kama ni hatari inawezekanaje watake kuwaingiza hatarini watu wote duniani? FYI watu wengi Marekani, Europe, Australia na kwingineko kulikoendelea wanapinga sana chanjo lakini hawana sauti kwenye mainstream media kama BBC CNN SKYNEWS< CBS VOA ALJAZEERA na nyinginezo unazoziamini wewe. Ila bahati mbaya usichokijua ni kuwa hivi vyote viko chini ya watu wachache wenye kuitaka hii Corona iendelee kwa maslahi yao (vaccines & depopulation) na pia wao ndio wameikamata WHO. Angalia hapa:
Bill Gates Documentary Why He Switched From Microsoft To Vaccines
Sijui nikupongeze kivipi mkuu, maana umemaliza kila kitu - wenye masikio na akili timamu watakuelewa vizuri mbona, lakini wenye kuendekeza masuala ya siasa na kubeza beza juhudi na tahadhali za Dk. JPM katika harakati zake za kukataa chanjo zenye walakini mkubwa kwa binadamu wa rangi zote lakini zaidi kwa batch za chanjo zitakazo letwa barani Afrika - ukifuatia kwa karibu comments zangu siku za nyuma hazina tofauti kubwa na za maoni ya wana sayansi walio bobea katika masuala ya Molecular Biology na Immunology, wapo wana sayansi kama hao wenye hofu ya Mungu na wana maintain integrity zao na morals, hao ndio wanatadhalisha Dunia kuhusu ushenzi wa Bill Gates na genge lake lenye kutetea the so called NEW WORLD ORDER - wamepania kukarabati Dunia ili iwe kwenye mfumo wanao utaka wao, hata wakiangamiza robo ya World population by getting rid of so called undesirable race specifically black people hilo wao wanaona ni sawa tu wana wajibu wa kurekebisha Dunia.

Ninacho kitaja hapa juu ni kweli tupu wala si adithi za kutunga - wako determined kweli kweli kitekeleza hazma yao come rain or shine. Siku moja niliwahi kumsikia mmoja wa genge la Bill Gates akisema bila woga wala kificho kwamba Bara la Afrika waliwahi kuchangia nini kisayansi katika maendeleo na ustawi wa binadamu wenzao Duniani, nitajie kitu chochote cha maana ambacho Waafrika wali wahi kukivumbuwa - hakuna! Kazi zao ni kuzaliana bila mpango mwishowe watakuja kutumalizia rasili mali chache zilizo baki Duniani, mwisho wa siku our future Generations zita angamia - we sikiliza akili za ajabu za baadhi ya Wazungu wenye akili fyatu
 
Hao wanasayanzi wabobezi waje na mbadala wa kuthibiti hiyo corona siyo kuja na maoni juu ya options za wenzao, ndo tutaona ubobezi wao.
 
Back
Top Bottom