Donor Country kwa kudanganywa na jiwe ? Miaka 100 ijayo labda tugundue mafuta yetu ndio itakuwa afadhali.....makusanyo yatosha budget mwezi tu ....60% bajeti tunasaidia miaka yote hii jidanfanye hivyo hivyo....achana propaganda za jiwe muongoNilifikiri tunaelekea kuwa country donors,kumbe bado tunakopa
Mwezi jana makusanyo wanasema ni bilioni 300 tuItakuwa yamevunja rekodi ya kushuka na siyo kupanda
Nawaza kama wewe.. nature ya hii miradi dizaini sijaielewa.. haipo tangible.. bora hiyo ya kujenga barabara..Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
China wanakopa,german wanakopa usa wanakopa uk wanakopa wewe ni nani usikopeNimeuona huo mkopo nikabaki nashika kichwa...mabeberu hawajawahi kutaka kujitegemee...wanakupa mikopo itakayokufanya uendelee kuwategemea ili iwe rahisi kwako kupenyeza agenda zao.
Wewe Ndugu yangu uliwahi kusikia wapi ukiacha Tanzania ya Sasa ambako wafanyabiashara wanabembelezwa kulipa Kodi? Trump mwenyewe wa Marekani alikuwa anatafuta upenyo wa kukwepa kodiMwezi jana makusanyo wanasema ni bilioni 300 tu
Baada ya miezi ndio watajua hawajui mkuu!Wewe Ndugu yangu uliwahi kusikia wapi ukiacha Tanzania ya Sasa ambako wafanyabiashara wanabembelezwa kulipa Kodi? Trump mwenyewe wa Marekani alikuwa anatafuta upenyo wa kukwepa kodi
Wanaendeleza miradi ya mpuuzi mwendazakeWamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Hahaha ok nimekuelewaBaada ya miezi ndio watajua hawajui mkuu!
Ngoja tukae kimya maana tukisema tunaambiwa mataga
hayo yote hupaswi kujua...bado fedha za mkopo wa Corona...Hayo masharti nafuu yawekwe wazi, yàjulikane, marejesho yataanza lini na mwisho wa kulipa ni lini? Wananchi ndio walipaji wanapaswa kufahamu mambo haya kwa wazi
Wanakopa kwa ajili ya kuendeleza miradi ya mpuuzi mwendazaketunaendelea na harakati za kurudisha pesa mtaani.
mwezi wa 8 tilion 3 tenaa.
Wanakopa kwa ajili ya kuendeleza miradi ya mpuuzi mwendazake
Kwani ni lini tuliacha kutembeza bakuli mzee?Duuh, tumerudi kule kwenye kutembeza bakuli .
Mwendazake mpuuzi kwa kuwa aliwalea wapuuzi kama akina sabayamwendazake mpaka anaitwa mpuuzi bila sababu za msingi.
Mwendazake mpuuzi kwa kuwa aliwalea wapuuzi kama akina sabaya