BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa Marekani kulegeza masharti ya riba kwenye masoko yake ya fedha, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na ya nchini na kuendelea kutoa bei elekezi na kufuatilia kwa karibu sekta ya fedha nchini.
Meneja Msaidizi Utafiti wa BoT, Dk. Lusajo Mwankemwa, amebainisha hayo alipotoa mada kuhusu majukumu ya taasisi hiyo benki hiyo wakati wa semina kwa waandishi wa habari, ambao walitaka kujua hatua zinazochukuliwa kuimarisha upatikanaji dola nchini.
"BoT tunajua na tunaona dola zipo ila ni ngumu kukufuata kutaka tuchukue dola nyumbani kwako, mimi (BoT) nitasema dola moja ni kiasi hiki (bei elekezi).
"Siwezi kuja nyumbani kwako wewe uliyezihifadhi nikikwambie lazima kuuza kwa bei hii, BoT jukumu lake ni kutoa mwongozo wa kuhakikisha bidhaa hiyo inapatikanaje," amesema.
Pia soma:
- BoT: Mnaoshikilia Dola mziweke sokoni kwenye mfumo rasmi
Rais tuliyenaye hana uwezo wa kuwadhibiti mafisadi wanaoharibu uchumi kwa maslahi yao, huyu bibi akiendelea inchi imekwisha.Nchi hii kwa ubabaishaji haijambo. Kila kitu wanatafuta kisingizio. Kwa nini wasikiri tu kuwa uongozi wa nchi ni mbovu?
Kama ndo hivyo basi magufuli alikuwa sahihi kuban huu ujinga wa bureau de change.BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa Marekani kulegeza masharti ya riba kwenye masoko yake ya fedha, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na ya nchini na kuendelea kutoa bei elekezi na kufuatilia kwa karibu sekta ya fedha nchini.
Meneja Msaidizi Utafiti wa BoT, Dk. Lusajo Mwankemwa, amebainisha hayo alipotoa mada kuhusu majukumu ya taasisi hiyo benki hiyo wakati wa semina kwa waandishi wa habari, ambao walitaka kujua hatua zinazochukuliwa kuimarisha upatikanaji dola nchini.
"BoT tunajua na tunaona dola zipo ila ni ngumu kukufuata kutaka tuchukue dola nyumbani kwako, mimi (BoT) nitasema dola moja ni kiasi hiki (bei elekezi).
"Siwezi kuja nyumbani kwako wewe uliyezihifadhi nikikwambie lazima kuuza kwa bei hii, BoT jukumu lake ni kutoa mwongozo wa kuhakikisha bidhaa hiyo inapatikanaje," amesema.
Pia soma:
- BoT: Mnaoshikilia Dola mziweke sokoni kwenye mfumo rasmi
Kwanini mtu afiche dola na asifiche hii ya madafu? je ni wangapi wana uwezo wa kukaa na dola majumbani kwao,tupo wengi tu wala hatujui dola ikoje au hata hatujawahi kuishika, ninavyojua TZ pesa yetu halalini TZS HAYO MAMBO YA DOLA NI YA KWENYU WENYEWE NA MABILIONEA WENU.BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa Marekani kulegeza masharti ya riba kwenye masoko yake ya fedha, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na ya nchini na kuendelea kutoa bei elekezi na kufuatilia kwa karibu sekta ya fedha nchini.
Meneja Msaidizi Utafiti wa BoT, Dk. Lusajo Mwankemwa, amebainisha hayo alipotoa mada kuhusu majukumu ya taasisi hiyo benki hiyo wakati wa semina kwa waandishi wa habari, ambao walitaka kujua hatua zinazochukuliwa kuimarisha upatikanaji dola nchini.
"BoT tunajua na tunaona dola zipo ila ni ngumu kukufuata kutaka tuchukue dola nyumbani kwako, mimi (BoT) nitasema dola moja ni kiasi hiki (bei elekezi).
"Siwezi kuja nyumbani kwako wewe uliyezihifadhi nikikwambie lazima kuuza kwa bei hii, BoT jukumu lake ni kutoa mwongozo wa kuhakikisha bidhaa hiyo inapatikanaje," amesema.
Pia soma:
- BoT: Mnaoshikilia Dola mziweke sokoni kwenye mfumo rasmi
Umesoma kweli unaelewa? BoT hawajasema kuna mtu kaficha, wamesema watu wamehifadhi wakitegemea zitaongezeka bei.Mtu anaficha vipi pesa zake?
Si mseme tu gharama za viongozi na misafara yao ndani na nje ya nchi zinaifilisi nchi?
Na zote zinatumika dola!!!?Safari nyingi sana