Benki ipi haina makato makubwa sana?

Kibubu bank hakina makato hata 0.00% unavyoweka ndo utakuta hivyo mkuu achana na hizo zenye makato pesa yako alafu wakate hamia kibubu bank utakuja nishukuru^
Unaweza kuweka million 10+ kwny kibubu?
 
Kwa sasa sina account. Naplan kufungua personal account kwa ajili ya online transactions. Nmeresearch branches zao zpo chache sana compared to our local banks

Equity nilifungua account ya USD kwa sababu wana gharama ndogo za uendeshaji wa akaunt. USD benki zingine ziko juu sana.
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Similar Discussions

Back
Top Bottom