Makato makubwa ya Bank katika kuhamish fedha

Mwammenywa

Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
12
Reaction score
8
Jamiiforums ndiyo sehemu ya watu wengi kutolea malalamiko Yao, binafsi Leo imenibidi!

Baada ya makato ya bank charges ni makubwa mno hasa kwa wananchi WA Hali ya chini. Mimi nimehamisha shilingi 25,000 Toka bank ya NMB kwenda tigo pesa!

Transfer fee sh. 2700 ambayo ni sawa na 10.8% ya fedha niliyohamisha. Hapo bado haijatolewa na mtumiaji wa mwisho.

NMB wametengeza faida, Mimi nazani huu ni unyonyaji uliopitiliza kwa kiwango cha juu kwenye sector ya fedha. Nina experience ya bank kama tatu hivi. Kila ukifanya mwamala ukichungulia transfer fee lazima ushike kichwa.

Haya maoni wasipo yafanyia kazi bank kuu financial inclutions Tanzania tutairudisha nyuma kabisa.

IMG_20240312_234145.jpg
 
View attachment 2933041
Naunga mkono hoja jamaa wanakata Hawa mbwa ni nyoko
 
Jamii forum ndo sehemu ya watu wengi kutolea malalamiko Yao, binafsi Leo imenibidi! Baada ya makato ya bank charges ni makubwa mno hasa kwa wananchi WA Hali ya chini. Mimi nimehamisha shilingi 25,000 Toka bank ya NMB kwenda tigo pesa! Transfer fee sh. 2700 ambayo ni sawa na 10.8% ya fedha niliyohamisha. Hapo bado haijatolewa na mtumiaji wa mwisho.

NMB wametengeza faida, Mimi nazani huu ni unyonyaji uliopitiliza kwa kiwango cha juu kwenye sector ya fedha. Nina experience ya bank kama tatu hivi. Kila ukifanya mwamala ukichungulia transfer fee lazima ushike kichwa.
Haya maoni wasipo yafanyia kazi bank kuu financial inclutions Tanzania tutairudisha nyuma kabisa.View attachment 2933041
changia uchumi wa nchi ndugu,unadhani mafuta ya kuungurumisha ma V8 tutayatoa wapi !!?? na hizi gharama za viongozi kuruka na ndege na misafara yao zitatoka wapi?? hujajiuliza kuhusu posho,marupurupu na mishahara ya kufuru ya viongozi zinapatikana vipi!!?? Changia uchumi ili mama mkojani na majambazi wenzie waendelee kula mema ya nchi ya Cuba
 
Kiukweli makato kati ya simu na bank ni pasua kichwa
Nilihamisha 200,000/= kutoka MPESA kwenda Equity bank wakalamba 16,000/=
 
Back
Top Bottom