Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

idiomer

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
95
Reaction score
56
Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea..

Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi??

Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ???? Nilitegemea itozwe kwa benki ndogo ila PBZ wana 14% imagine benk ndogo
 
PBZ ndio walau wakombozi.

Hao wengine ukiachana na SACCOS ni kausha damu tu na mbaya zaidi wasimamizi wa hiyo sekta wanawaangalia tu wajipangie riba wanazotaka na tunawalipa pesa za kodi zetu nyingi sana lakini hawana msaada kwetu
 
Back
Top Bottom