Benjamin William Mkapa

Benjamin William Mkapa

Chuakachara wewe si mkweli na si mjuzi wa mambo. BWM ndiye aliyesimamisha imara uchumi huu ambao nyinyi nyote including CDM na awamu CCM ya 4 manafaidi. Azimio la Arusha kwenye awamu ya 1 liliua uchumi katika utaifishaji wa mtaji binafsi, soko huria lililofuata wakati wa awamu ya pili liliua kabisa uchumi. Leo hii makampuni yanayoongoza katika kulipa kodi na kuajiri waTanzania wengi ni yale yaliyouzwa wakati wa BWM. Big respect to Ben
Huyu bwana mambo aliyofanya ni debatable in one way unaweza elezea mengi mazuri aliyofanya mpaka Rais wa sasa anaingia kuna pesa nyingi sana hazina mpaka akakiri wazi hadharani....in the other hand shutuma zake zinatisha soinatakiwa mtu asiye Bias aongee ukweli wote...Kama kashfa yake inaishia kufanya biasha ikulu na kiwira hiyo kwangu mimi ni kama kajipa tip kwa kazi nzuri..kama inaenda zaidi ya hapohayo mengine thibitisheni jamani beyond reasonable doubt na wengine tupate kuelewa.
NB
Kule kwenye shutuma za Slaa na Josephine tulikuwa tunadai ushahidi basi na hili nalo muwemnakuja na vithibiti no double standard
 
Aliuza mashirika na yakafa bila uzalishaji so ajira zikapotea
 
Naona sasa ameibukia Bima ya Afya. Bado tunalia na wewe. Mwalimu alikukabidhi nchi uitunze, ukaihujumu kwa kutuibia. Umeuza nchi, hatuna nchi, wala lolote. Mwalimu anakusubiri akuulize!!!!
Ukiacha suala la Uhuru wa nchi yetu, Umoja wetu, ambazo you can not beat, JKN, BWM has been the best President so far of URT
 
Ukiacha suala la Uhuru wa nchi yetu, Umoja wetu, ambazo you can not beat, JKN, BWM has been the best President so far of URT

Hakuna kama BWM, kwenye vision namfananisha na wakali wa South East Africa kama Mahathir Muhamad
 
Mbona u mjinga sana.

Make a point not ad homine arguments. You just challenge the posting not abusive words!!! Kutukana naweza nami nikakutukana, lakini sifanyi hivyo maana I have a point to drive home on BWM
 
NBC ya sasa ni bora kuliko ile ya miaka ya 1967- 1997 kwa kuwa sasa mwananchi yeyote mwenye proposal yake nzuri na asset ya ku morgage anaweza kupata mkopo ndani ya siku 5. Ile ya zamani walikuwa ni wanasiasa wachache na wafanyabiashara maarufu kama kina R Mengi na Iddi Simba ndiyo walikuwa wanaaxcess mikopo na wakawa hawarudishi. NBC ya sasa inalipa kodi kila mwaka kuchangia pato la Taifa wakati ile ya mwaka 1997 ilikuwa inapewa ruzuku kila mwaka na hazina. NBC ya sasa inatoa ajira kwa transparency na ina zidi kufungua matawi mpaka mitaani mwetu.
Chuakachara musipende kushabikia mambo tu ali mradi mmesikia wanasiasa wanaropoko majukwaani, fanyeni na nyinyi utafiti kidogo. Mwalimu JKN alitaifisha njia kuu za uchumi na kuziweka mikononi mwa umma ". Lakini viongozi wa mashirika yetu au kwa kukosa elimu au kwa makusudi waliua yale mashirika. Iko wapi AISCO, BIT, HOSCO, RTC, GAPEX , Meya Textile Mwatex, Musomatex?

Nimekutajia mashirika yale tu ambayo yalishakufa kabla hata BWM hajaingia madarakani

imeimarika NBC Ila sio yetu....unafikiri kodi wanayolipa hawa ABSa sasa ni zaidi ya faida tuliyokuwa tunaipata enzi za Mwalimu? kumbuka liliuzwa jina hadi assets zoteeee.......
 
Uchumi kauuwa Nyerere pale azimio lake la Arusha. Mkapa kiuchumi kafanya vizuri kuiko raisi yeyote aliyewahi kutawala Tanzania. Nyerer alikuwa anti west and anti-semites, hizo sifa raiasi akiwa nazo hawezi kabisaa kujenga uchumi. Kenyatta alikuwa pro west west na Frend of Israel, ona alivyowajengea maisha bora wakenya.

Komeni kabisaa kumtwika makosa ya nyerer mkapa ili hali mkiogopa kumsema vibaya nyerere ingawa naye kafanya mauzi kupita kiasi. wewe kuwanyang'anya hati miliki wanamuziki wa kitanzania wakati wanamuziki hao walijiajiali wenyewe kwa vipaji vyao, ni kitendo kizuri hicho alichokifanya nyerere? mbona nalo hilo jhamsemsemi ila kila kukicha mkapa eti kauza nchi.

Kuonesha jinsi gani alivyowapenda wananchi wake, katujengea uwanja bora wa soka ukiwa ni mmoja mzuri sana barani africa mpaka DR Congo wametuiga kujenga uwanja kam wetu huko kwao. Benja, katuletea TRA,UDOM yenye kumeza 35,000 students, kajenga secondari nyingi sana, huyo nyerere kafanya nini si kama si kusimika azimio la arusha tuu. Hongera sana Benja, mungu akubaliki na akulinde leo kesho na keshokutwa. amina.

Mbona Venezuela,Iran na China wameweza? Mwalimu alikuwa na vision ya kuwa NA nchi inayojitegemea....NA mashirika hayakufa kipindi cha Nyerere..ni kuanzia kwa mzee Ruksa.....
sasa mashirika mangapi after privatasation bado yamesimama?
wenzetu hawauzi mashirika...wanatoa hisa then yanamilikiwa na yeyote including wananchi......
tumerudi nyuma sana
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Basi nafunguka mkuu.

Kwa Tanzania yetu. Mkapa kasaidia tena sio kidogo. Angalia ulipaji wa mishahara ulivyokuwa na ulinganishe na sasa.
 
Kila binadamu ana mapungugu na BWM naye anayo alakini mazuri ya Ben ni mengi mno kwa kipindi chake alichotawala. Leo hii I swear wangesema tufanye uchaguzi na BWM awepo pamoja na akina JK, Slaa, EL, Lipumba na wengine wote hata akina Zitto na akina Migiro, nakuhakikishia BWM atashinda kwa kishindo. Hata tukiambiwa tutumie mtindo wa kusimama nyuma ya mgombea yaani kura ya wazi jamaa BWM ata emerge very high. You my hero Ben
ndugu yangu mkapa ni kichefuchefu hafai hata kufagia ofisi atiba fagio ..mim nakumbuka tulikuwa na iwanda kibao wakati wa nyerere na mwinyi alipo ingia mkapa loooo masikini aliuza viwanda na kwa bei ya chuma chakavu list ni kubwa mno watu tunajua nini kilifanyika kumbuka alijaribu kuwapa tanesco wasouth akawaingiza ofisini kwa mtutu wa bunduki.niliwahi kutembelea kiwanda cha vigae dodoma nyerer alijenga mpaka reli imefika kiwandani lakini leo ukienda utalia...viwanda alicho binafsisha cha pombe ndio kinafanya kazi vingine vyote amewauzia marafiki na jamaa zake wakauza chuma chakavu...hio nbc walipewa bure hata wewe ungepewa ingeiendesha kwani tatizo la raia wengi ni mtaji nasikia kutapika ukimtaja huyo mzeee

Chuakachara wewe si mkweli na si mjuzi wa mambo. BWM ndiye aliyesimamisha imara uchumi huu ambao nyinyi nyote including CDM na awamu CCM ya 4 manafaidi. Azimio la Arusha kwenye awamu ya 1 liliua uchumi katika utaifishaji wa mtaji binafsi, soko huria lililofuata wakati wa awamu ya pili liliua kabisa uchumi. Leo hii makampuni yanayoongoza katika kulipa kodi na kuajiri waTanzania wengi ni yale yaliyouzwa wakati wa BWM. Big respect to Ben

Sikubaliani na wewe. Nyerere aliacha viwanda vya nguo vya umma 12. Leo viko wapi?? Katika hotuba yake Nyerere alitabiri, akasema huyu Mdudu ubinafshaji utazaa Mabilionea Tanzania. Lakini hawatakuwa wengi. Maskini watakuwa wengi, tena maskini sana. Alishauri, ubinafshaji unaweza kufanyika lakini Serikali lazima imiliki hisa kubwa kuliko kampuni tanzu. Leo utaona, ajira nyingi kwenye makampuni ya kigeni ni za wazungu. Wanalipwa mishahara minono mara 10 zaidi ya mzawa ambaye elimu yake na ya yule mzungu wanalingana au pengine Mtz anamzidi. Huu ndio upuuzi ambao Nyerere aliuita ni UPUMBAVU wa kukosa FIKRA.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
NBC ya sasa ni bora kuliko ile ya miaka ya 1967- 1997 kwa kuwa sasa mwananchi yeyote mwenye proposal yake nzuri na asset ya ku morgage anaweza kupata mkopo ndani ya siku 5. Ile ya zamani walikuwa ni wanasiasa wachache na wafanyabiashara maarufu kama kina R Mengi na Iddi Simba ndiyo walikuwa wanaaxcess mikopo na wakawa hawarudishi. NBC ya sasa inalipa kodi kila mwaka kuchangia pato la Taifa wakati ile ya mwaka 1997 ilikuwa inapewa ruzuku kila mwaka na hazina. NBC ya sasa inatoa ajira kwa transparency na ina zidi kufungua matawi mpaka mitaani mwetu.
Chuakachara musipende kushabikia mambo tu ali mradi mmesikia wanasiasa wanaropoko majukwaani, fanyeni na nyinyi utafiti kidogo. Mwalimu JKN alitaifisha njia kuu za uchumi na kuziweka mikononi mwa umma ". Lakini viongozi wa mashirika yetu au kwa kukosa elimu au kwa makusudi waliua yale mashirika. Iko wapi AISCO, BIT, HOSCO, RTC, GAPEX , Meya Textile Mwatex, Musomatex?

Nimekutajia mashirika yale tu ambayo yalishakufa kabla hata BWM hajaingia madarakani

kwa hiyokwakomkeo kuzalishwa na mzungu ni bora zaidi sio?

hiyo nbc nimaliya nani?iliuzwa sh ngapi?

jaribu kuuliza wizara iliyopangisha jengo la nbc pale dodoma inalipa sh ngapi kwa mwaka?
 
BWM hata akatetewa vipi hapa jamvini haitabadilisha ukweli kwamba kipindi chake cha mwisho ndicho alichofanya ndivyo sivyo achilia mbali watanzania lakini zaidi sana yulee muasisi wa taifa hili aliyezunguka nae tanzania nzima kumnadi akimwita mr-clean ama kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji,huyu ni MSALITI HAFAI TENA NI MJEURI SANA.Nyerere alimwonya sana kuhusu ubinafsishaji holela lakini wapi hakumsikiliza,kuna watu hapa ni washadadiaji wa kupaka rangi nyumba mbovu,kwangu mimi aliochofanikiwa ni kudhibiti mfumko wa bei tu,mengine aliyopata zero ni haya,
-kuanzisha kampuni akiwa ikulu.
-midodi huku serikali ikiambulia 3%
-,MEREMETA,EPA ,KAGODA,KIWIRA,ATC,TRC,NBC
kashfa zote hizi ni za kwake uzuri hajawahi kuzikanusha kwani roho inamsuta.
 
Angalia mambo kwa macho mawili ukichanganya na ubongo kuchambua mambo mazuri na mabaya. Kamwe chuki yako kwa Mkapa isikuondolee ukomavu wa akili. Ukomavu wa akili ni kupima mambo kwa mizania. Mazuri huku na mabaya huku. Watu wanapompa tuzo Mkapa wewe unang'ang'ania mabaya tu.

Hakuna mtu asiye na mabaya na hakuna mtu anayependwa na wote ' He who is loved by everybody has never turned any wrong into right'. Yawezekana katika kukuza uchumi, Mkapa alikugusa lakini Taifa likafaidika. Lakini manufaa binafsi yazidi manufaa ya wengi
 
Aliuza mashirika na yakafa bila uzalishaji so ajira zikapotea[/QUOTE

Mashirika mengi ya umma yalikuwa hoi bin taabani ,hata uzalishaji wake ulikuwa mdogo mno viwanda vya nguo,saruji,mabati,sigara,,sabuni,sukari,usagaji n.k.Jinsi tulivyoshindwa kuendesha haya mashirika yetu wakati wa Mwl Nyerere ndio hivyo tulishindwa kuyabinafshisha kwa faida ya baadhi ya mashirika wakati wa Mkapa Mapufu ya Mtanzania ni mengi ,vivyo hivyo na viongozi wetu..
 
Sikubaliani na wewe. Nyerere aliacha viwanda vya nguo vya umma 12. Leo viko wapi?? Katika hotuba yake Nyerere alitabiri, akasema huyu Mdudu ubinafshaji utazaa Mabilionea Tanzania. Lakini hawatakuwa wengi. Maskini watakuwa wengi, tena maskini sana. Alishauri, ubinafshaji unaweza kufanyika lakini Serikali lazima imiliki hisa kubwa kuliko kampuni tanzu. Leo utaona, ajira nyingi kwenye makampuni ya kigeni ni za wazungu. Wanalipwa mishahara minono mara 10 zaidi ya mzawa ambaye elimu yake na ya yule mzungu wanalingana au pengine Mtz anamzidi. Huu ndio upuuzi ambao Nyerere aliuita ni UPUMBAVU wa kukosa FIKRA.

Kweli viwanda vya nguo vilikuwa vingi mno,lakini uzarishaji wake ulishuka sana,hatukuwa na nguo za kutoshereza umma wa kitanzania miaka ya 80 hali ilikuwa ngumu sana.Tulishuhudia Mwl Nyerere akiwahamisha baadhi ya viongozi wabovu kuwahamishia kwenye mashirika yaliokuwa yakifanya vizuri,na kuuwa hata yale yalio kuwa yakifanya vizuri.Yawezekana Mwl alijali zaidi utiifu wa viongozi kwake kuliko ufanisi.
 
Kila mmoja alikuwa na role ya kuplay ila BWM ni baba wa uchumi wa kisasa ambao unatawaliwa na nguvu ya mtaji. There is no free lunch in investment. Watanzania wengi wamekalia kupiga majungu tu wakidhani kazi ya Raisi ni kuwajaza mapesa mfukoni bila kujihusisha na shughuli inayozalisha. BMW alisema treni ya utandawazi imeshaondoka au upande uondoke au ubakie ulipo lakini haiwezi kukusubiri
 
BWM hata akatetewa vipi hapa jamvini haitabadilisha ukweli kwamba kipindi chake cha mwisho ndicho alichofanya ndivyo sivyo achilia mbali watanzania lakini zaidi sana yulee muasisi wa taifa hili aliyezunguka nae tanzania nzima kumnadi akimwita mr-clean ama kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji,huyu ni MSALITI HAFAI TENA NI MJEURI SANA.Nyerere alimwonya sana kuhusu ubinafsishaji holela lakini wapi hakumsikiliza,kuna watu hapa ni washadadiaji wa kupaka rangi nyumba mbovu,kwangu mimi aliochofanikiwa ni kudhibiti mfumko wa bei tu,mengine aliyopata zero ni haya,
-kuanzisha kampuni akiwa ikulu.
-midodi huku serikali ikiambulia 3%
-,MEREMETA,EPA ,KAGODA,KIWIRA,ATC,TRC,NBC
kashfa zote hizi ni za kwake uzuri hajawahi kuzikanusha kwani roho inamsuta.

Wachangiaji wengi hawafanyi homework wanaandika tu kadri hisia zinavyowaongoza. Angalia hapa tofauti ya research dhidi ya nadharia;

1.*****Research:* The main mandate for any knowledge being considered is “no investigation, no right to speak.”* In other words, in order to know something you have to read, investigate it yourself, and then present your results in an authoritative manner.* You have to present proof of what you are talking about.* This is a standard for all scholarship.* This is what enables us to have a consensus, a meeting of the minds on any given subject, based on the best evidence and the best logic of analysis.* Research is more important to rational people than anything else.* Again, “no investigation, no right to speak.”

2.*****Theory:* The critical issue of theory is how we sum up our research into logical propositions that explain the world in which we live, and from which we can produce hypotheses that lead on to further research.* In the end the fundamental questions for .The strategic focus is to unite friends to defeat enemies, and for that we need theory.* But we need more than just knowledge about “what is.”
 
Zaidi ya haya yeye ndiye aliye erode tax base ya Tanzania kwakuua njia kuu za uchumi zilizokuwa zimemilikiwa na raia wa nchi hii na kuwakabidhi wageni ambao wanaonekana wanalipa kodi kubwa lakini kiukweli in aggregate walipa kodi walipokuwa wengi kodi ilikusanywa kwa wingi zaidi ( proportionaly) kuliko ilivyo sasa hasa tukizingatia strength ya currency yetu. Mkapa ndiyo sababu ya uchumi wetu kufa kwa kasi wakati huu kwani yeye ndiye founder (kwaku implement structural adjustment policies kwa manufaa ya watu wachache (yeye included) bila kuangalia impact yake kwa tax base na ajira kwa raia wa nchi hii) wa hii model anayoitumia mrithi wake.

Rais wa sasa naye amebanwa na mafisadi (waliozalishwa na mfumo wa Mkapa huku yeye (Rais) na chama chake wakilaumiwa kuwa sehemu ya huo ufisadi) ama kwakuogopa akiwashugulikia kwani pamoja na kuwa na nguvu kiuchumi pia kisiasa wakiwa na ushawishi mkubwa na hasa kutokana na hali ngumu ya raia kuhongeka kirahisi na hivyo kujikuta wakiwasaidia mafisadi kuendeleza ufisadi wao bila huruma wala uwoga. Hali hii kwa kiasi kikubwa ndiyo sababu ya sisi kuingia kwenye shida ambayo bila sisi raia wazalendo kukubali tunawajibu wa kuikwamua nchi tutaendelea kuogelea kwenye umasikini kwa majority huku mabepari wakiendelea kukita mirija yao na kuiimarisha zaidi.[/QUOT

Inawezekana ikawa katika waliopelekea tukamjadili Ben sasa ni JK na chama chake kwa ujumla, hivyo sio kwamba anashinikizwa bali anajua ukweli. Mkuu embu tupatie njia kuu za uchumi zilizokuwa zinamilikiwa na raia.
 
BWM ni Rais pekee aliyekiuka Katiba ya Nchi yetu kwa kufanya biashara akiwa Ikulu. Ni fisadi, tapeli na mwizi wa rasilimali zetu. Hafai msikitini wala kanisani!! He is a dirty and sinful man before Tanzanians!!
 
Back
Top Bottom