Benjamin William Mkapa

Benjamin William Mkapa

Hata mwalimu alikwisha sema wao hawakuwa malaika kwamaba walifanya mazuri tu,la hasha kuna sehemu walitereza tofauti na wa sasa,hawakubali hata pale makosa yanapojidhihirisha wazi.Hakuna kipindi ambacho rushwa ilikthiri kama cha BWM,kubinafsisha mashirika yao ilikuwa ni usiri mkubwa kwa kuwa alijua kuna vijipasent vyake alitengewa.Ndiyo rais wa kwanza kuanzisha bank ya binafsi akiwa Ikulu.Ni kionogzi aliyejibinafsishia mgodi wa Kiwira na kuwa mali ya familia yake.Ni kiongozi aliyedhurumu wana Arumeru ardhi na kuwakabidhi wageni huku naye akijimilikisdha mashamba kwa ajili ya mashamba ya maua.Ni fisadi mkubwa aliyeruhusu mafisadi wenzake kuchota pesa za EPA bila aibu.Mema aliyoyafanya ndani ya nchi hii hayaendani na uwizi mkubwa alioufanya.shame on them who they are trying to lift him up
 
Back
Top Bottom