ni raisi mstaafu wa tanzania ambaye atakufa na laana ya watanzania kama hato omba/kutubu dhambi zake akiwa hai
Sikonge bado upo hai mzee nikununulie japo mbege bohora????Shairi ungeanza:-
ALiuza mashirika yote ya Tanzania.
Akajipa mgodi wa Kiwira.
Akajipa nyumba za serikali.
Akawapa Wazungu migodi yetu na ardhi ya bure wachimbe madini.
Akauza Kilimanjaro Hotel mara tatu na huku sasa twalipa fidia wale wawili wa mwanzo.
Akawapa Wajanja kiwanja cha ndege cha KIA kwa bei ya dola 1,000/ kwa mwaka.
aka-EPA hela zetu bale BoT.
Aka DEEPGREEN hela zetu.
Aka MEREMETA hela zetu na madini.
Kama hiyo haitoshi, akaanza kushirikiana na wajanja wachache kuuza silaha ili majirani zetu wachinjane huku akilitumia JWTZ na usalama wa Taifa. Akitumia JWTZ, alinunua RADAR kwa bei ya juu kuliko inavyotakiwa. Akajinunulia na dege bofu bofu.
Alim-fisadisha Mzindakaya ili a-shut up.
Na hii yote na yote uliyoandika na yale yote hatukuyaandika, ALILIPWA MSHAHARA WA WALIPA KODI. Makonde siku moja atakiona cha ntema kuni njomba.
Sikonge bado upo hai mzee nikununulie japo mbege bohora????
Mkuu sikonge kipindi unapost ile post mimi nipo darasa la 7!!!!!!! Zamani kweli kweli..... Ila kikwete kamfunika huyu BMW aise yaani regime ake twiga alipanda alipanda nfege.maadam imeshapita hebu tumwachie magufuli tuone naye atafanya nini?😹Nipo Mkuu nakula nyama pori na gongo huku Sikonge.
Ni raha tupu. Karibu sana. Ila sasa hivi naona Mkapa ni cha Mtoto kwani Kikwete kafunga kazi.
Humu ukizubaa unaweza kukuta unabishana na mwanao na matusi anakutukana pia.Mkuu sikonge kipindi unapost ile post mimi nipo darasa la 7!!!!!!! Zamani kweli kweli..... Ila kikwete kamfunika huyu BMW aise yaani regime ake twiga alipanda alipanda nfege.maadam imeshapita hebu tumwachie magufuli tuone naye atafanya nini?
Let us wait for Magufuli,although i guess Magufuli will be the worst president ever..
duuu yaaan mkapa hatakama kaiba lakin jk mhhhh
kwa sababu J.k alikuwa zama za digital mkapa nae kafanya madudu mengi sana kulikvwa hamna uhuru wa vyombo vya habari