mtoa mada hamjui mkapa. MKAPA (KOBE), ni mmakuwa pure baba mmakuwa, mama mmkuwa wote ni wa sehemu moja inaitwa mangaka au nanyumbu wilayani masasi- MTWARA.Jina lenyewe Mkapa ni jina la ukoo wa kimakuwa na maana yake KOBE. hii ni kama kawaida ya watu wa kusini kujiita majina ya wanyama kama vile simba, mapunda, ngonyani, nk.