Benjamin Netanyahu ana historia ya kusema uongo hadharani

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,065
Reaction score
136,442
Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.

Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka madarakani, hilo litakuwa ni jambo litaloleta matokeo yaliyo chanya kwenye eneo zima la mashariki ya kati.

Miaka zaidi ya 20 sasa tokea aseme hivyo, na sasa anadai hivyo hivyo kuhusu Iran na silaha za nyuklia.

Uvamizi wa Iraq haukuleta matokeo yoyote yale yaliyo chanya.

Iraq hali ya usalama ni mbaya.

Wamarekani wanajuta kujiingiza kwenye hiyo vita maana hawakuambulia chochote. Silaha za maangamizi hazikuwepo huko Iraq kama Netanyahu na wenzake walivyodai.

Netanyahu alidanganya na hata sasa naamini anadanganya maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa, amekuwa akidai kitu kilekile kuhusu Iran.

Niliioinga vita dhidi ya Iraq kipindi hicho na muda umethibitisha kuwa nilikuwa sahihi kwa 💯%!

Hata sasa hivi naamini niko sahihi. Iran hawana silaha za nyuklia.

Na hata wangekuwa nazo, ingekuwa ni sawa tu maana Israel nao wanazo.

Haiingii akilini kabisa eti unikataze mimi kuwa nacho kile ambacho wewe unacho.

Huyu hapa Netanyahu akizungumza mbele ya moja ya kamati za bunge la Marekani kuhusu silaha za Iraq.

Muongo mkubwa!

View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=C0eCMO1s71jk0HKf
 
Kuna huyo halafu Kuna Bin Gvir yaani akili zao ni za kibarbaric kabisa, ni walaghai na aggressors wakubwa na Hawa ndio wanachangia international division of humanity kuzidi kupaa. Sipendezwi na mambo mengi ya Iran, lakini kama binadamu jamaa wana akili za kinazi kabisa. Hakuna taifa lililoua watu wengi baada ya WW2 kama taifa la kina Bibi. Ziko namna za kufanya kuondoa hili, lakini Kwa Hali ilivyo kinachojengwa ni vita au migogoro isiyoisha Hadi mwisho wa dunia, US Hana ubavu wa kutokujiingiza kwenye hili, Trump alijiona kama mfanya usuluhishi namba moja duniani lakini Hilo hawezi maana ukubwa una majukumu sana, siyo nature yake.
 
Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.

Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka madarakani, hilo litakuwa ni jambo litaloleta matokeo yaliyo chanya kwenye eneo zima la mashariki ya kati.

Miaka zaidi ya 20 sasa tokea aseme hivyo, na sasa anadai hivyo hivyo kuhusu Iran na silaha za nyuklia.

Uvamizi wa Iraq haukuleta matokeo yoyote yale yaliyo chanya.

Iraq hali ya usalama ni mbaya.

Wamarekani wanajuta kujiingiza kwenye hiyo vita maana hawakuambulia chochote. Silaha za maangamizi hazikuwepo huko Iraq kama Netanyahu na wenzake walivyodai.

Netanyahu alidanganya na hata sasa naamini anadanganya maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa, amekuwa akidai kitu kilekile kuhusu Iran.

Niliioinga vita dhidi ya Iraq kipindi hicho na muda umethibitisha kuwa nilikuwa sahihi kwa 💯%!

Hata sasa hivi naamini niko sahihi. Iran hawana silaha za nyuklia.

Na hata wangekuwa nazo, ingekuwa ni sawa tu maana Israel nao wanazo.

Haiingii akilini kabisa eti unikataze mimi kuwa nacho kile ambacho wewe unacho.

Huyu hapa Netanyahu akizungumza mbele ya moja ya kamati za bunge la Marekani kuhusu silaha za Iraq.

Muongo mkubwa!

View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=C0eCMO1s71jk0HKf

Mkuu, Trump anasema kuwa Ayatollah Khomenei ni easy target ila hawatamuua. Wanaanza kupiga wengine kwanza. Anasema wameshalimiliki anga la Iran
 
Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.

Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka madarakani, hilo litakuwa ni jambo litaloleta matokeo yaliyo chanya kwenye eneo zima la mashariki ya kati.

Miaka zaidi ya 20 sasa tokea aseme hivyo, na sasa anadai hivyo hivyo kuhusu Iran na silaha za nyuklia.

Uvamizi wa Iraq haukuleta matokeo yoyote yale yaliyo chanya.

Iraq hali ya usalama ni mbaya.

Wamarekani wanajuta kujiingiza kwenye hiyo vita maana hawakuambulia chochote. Silaha za maangamizi hazikuwepo huko Iraq kama Netanyahu na wenzake walivyodai.

Netanyahu alidanganya na hata sasa naamini anadanganya maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa, amekuwa akidai kitu kilekile kuhusu Iran.

Niliioinga vita dhidi ya Iraq kipindi hicho na muda umethibitisha kuwa nilikuwa sahihi kwa 💯%!

Hata sasa hivi naamini niko sahihi. Iran hawana silaha za nyuklia.

Na hata wangekuwa nazo, ingekuwa ni sawa tu maana Israel nao wanazo.

Haiingii akilini kabisa eti unikataze mimi kuwa nacho kile ambacho wewe unacho.

Huyu hapa Netanyahu akizungumza mbele ya moja ya kamati za bunge la Marekani kuhusu silaha za Iraq.

Muongo mkubwa!

View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=C0eCMO1s71jk0HKf

Usiwe mpuuzi na wewe! Mtu akisema matarajio yake ni kufuta taifa, lazima hilo taifa lijilinde kwa kuliadabisha. Kuna uongo mtakatifu
 
Na uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.

Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.

Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
 
Wakati huu mnahangaika humu tayari utawala mpya wa Iran usio na mwelekeo wowote wa kidini unaandaliwa tayari kusimikwa kuchukua nafasi ya Ayatollah na genge lake wanaoondoka madarakani.

Wanasema itakuwa ni pigo jingine kubwa sana kwa Russia ambaye amekuwa na mkosi wa kuondokewa na serikali za kishikaji toka alipoondoka Saddam, Gadaffi, Assad na sasa Mzee Ayatollah naye ndio hivyo tena safari imeiva.

Lakini unafuu ni kwamba baada ya kuondolewa mamlakani kwa utawala wa kiimla wa Ayatollah ni wazi kwamba eneo zima la mashariki ya kati itakuwa na amani ambayo haijawahi kuwepo katika eneo hilo kwa muda mrefu sana.
*****************************************
Meanwhile, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told ABC News on Monday that he was not ruling out assassinating Iran's Supreme Leader Ali Khamenei.

"Netanyahu claimed that doing so was "not going to escalate the conflict, it's going to end the conflict", a statement echoed by Trump on Tuesday when he also used “end” in his statement."
*********************************************
 
Utawala wa Ayatollah ni death cult, ni wendawazimu kuruhusiwa kuwa na silaha za nuclear
 
Na uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.

Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.

Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
Itatulia pale ugaidi utakapoisha. Regime ya Iran ikidhoofishwa au kuondoshwa kabisa
 
Na uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.

Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.

Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
Kwa sasa israel imekuwa liabilitykwa usa mpaka basi .. wasipofikiria tena usa itaenda kufiliskia
 
Na uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.

Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.

Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
Jamaa ni muongo sana!

Halafu kajisahaulisha huo uongo wote aliousema 2002!
 
Back
Top Bottom