Si kweli kuwa jmk kajenga UDOM bali ni mkapa yule yule. sisi ni wamoja wa consultants wa college hiyo na mchakato ulianza mapema takribani 1yr before kumaliza kipindi cha Ben. tuliambiwa kuwa huo ni mradi wa kisiasa utakaosaidia mgombea wa chama cha magamba kupita kirahisi. Ben alikamilisha mipango yote ya sources za fedha toka mashirika ya umma na leo ****** anawadanganya kuwa ni yeye kafanya? Sehemu kubwa ya chuo imejengwa yeye akiwa madarakani lakini plani na fedha kaandaa Ben kama ilivyo kwa miradi mingi ya barabara aliyoiacha Ben imeendelea kujengwa yeye akiwa madarakani. Kubalini tu kuwa mlichagua raisi ambaye umri wake katika ngazi hiyo alikuwa bado mtoto au vinginevyo kama ni karata mmelamba g.l.sa
Nitamkumbuka Mkapa kwa kuwafunga mdomo waandishi wa habari
Kwa kumnyang'anya Jenerali Ulimwengu uraia wake
Kwa kufoka hovyo akiwa kwenye interview ya BBC (Hard Talk)
What a great leader he was!!!
KILA BINADAMU ANA MAPUNGUFU NA MAZURI YAKE,
BMW ANA MAPUNGUFU YAKE KIUONGOZI LAKIN ,
KWANGU MIMI NAONA BORA KUONGOZWA NA BMW KSB ANA MAPUNGUFU MACHACHE NA MAZURI MENGI, PIA NI KIONGOZI MWENYE
MSIMAMO KWA KAULI NA VITENDO VYAKE ,
KULIKO HUYU NA BA LIZ 1, ASIYEWEZA KUSIMAMIA HATA KAULI ZAKE MWENYEWE( PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE MENGI NA MAZURI MACHACHE /KIDOGO KAMA PUNJE YA HARADANI BADO NAMHESHIMU NI RAIS WANGU KWA MUJIBU WA TANGAZO LA TUME YA UCHAGUZI}
TATIZO LA WATZ ZETU WENGI TUNAOGOPA SANA RISK, HATA SIJUI KWA KNN,
LAKIN KAMA TUNGEKUWA NA UJASIRI WA KUBADILISHA UONGOZI WA VYAMA HII NCHI INGEENDELEA SANA KIUCHUMI NA KISIASA.
MIAKA MITANO CDM WAKICHEMSHA TUNAWAONDOA KWA KURA ,MIAKA INAYOFUATA CCM/ CUF/UNDP AU KINGINE CHOCHOTE KWA UTARATIBU HUU MI NAAMINI WATU WANGEKUWA WANAWAJIBIKA PINDI WANAPOKABIDHIWA MADARAKA KUANZIA JUU MPAKA CHINI, KWA KUOGOPA KUPIGWA CHINI PINDI UCHAGUZI UKIFIKA, LAKIN HII YA KUONGOZWA NA CHAMA KIMOJA TU ZAIDI YA MIAKA 40....NDIYOMAANA WANABWETEKE HAWAJIBIKI IPASAVYO. WATANZANIA TUACHE WOGA TUWE NA UTHUBUTU WA KUBADILI UONGOZI WA KICHAMA, LAKINI YA KUIWEKA CCM KABLA WATU HAWAJAZALIWA,WANAZALIWA,WANAKUWA,WANAZEEKA MPAKA WANAKUFA NI CCM TUUUU, aah jaman,Watanzania nani katuloga??? woga wa nini??. INAUMIZA SANA.
Mnajimu? au elimu ya anga?
Kuna swali moja wakuu ambao huwa najiuliza.
Je pesa ambayo BWM alikusanya kupitia kodi ambayo ilikuwa ikitozwa vile inavyopaswa sasa imeisha vipi?
Je deni la taifa ambalo BWM alifanya kazi ya ziada kuzungumza kwa kiingereza na wazungu (nchi tajiri) na wakakubali kulipunguza limebakia palepale au limeongezeka maradufu.
Na je mfumuko wa bei nani ameruhusu mpaka sasa shilingi haina thamani yake tena?
Hata Kama Mkapa alifanya mazuri basi yote yatakuwa yamefunikwa na matendo ya huyu"bullcheka"alie kwa sasa na sbb kuu ni siri za Serikali kuvuja sn hasa mbaya za wizi nk
Mauaji ya Pemba
sjapata mda wa kusoma comment zote but mimi napenda kuweka wazi swala moja, tofauti kubwa ya mkapa na kikwete ;mkapa was real a man and alikuwa na final say as a president ;akisema acha utaacha,,, fanya utafanya but huyu mwenzetu kasema acha we fanya,,, akisema usifanye nyie ndo kwanza mnaongeza spidi he doesn't have the final say as the president na ndo maana tupo hapa tulipo tunalalamika tuuuuu ye anabakia kukenua meno tu kwenye majukwaa
Mauaji ya Pemba