Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

Hahaha alitengenezewa CNN,
Ukiiangalia ile interview ilitengenezwa kumpa publicity kimataifa ingawa haikuwa na impact yoyote, hata Wolf alivyokuwa anasoma maswali kwenye karatasi, yanakupa picha kwamba alipewa maswali ya kuuliza na aliyekuwa anaulizwa alikalili flow ya maswali na alijibu kwa mtiririko huo.
 
Ndugu unaandika ujinga ku expose umbumbumbu wako!!! Ushaidi wa kimazingira unakubalika mahakamani na unafunga mtu!!! Hujui maana ya hardtalk ndo maana unadhani eti mzungu ni mzalendo eti anakubaliana na "Mungufuli".
 
Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.

Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.

Waweza kuitazama kupitia link hii:

Haki ya Mungu jiwe akiwekwa mtu kati namna hii atarusha ngumi,na atasahau vocabulary zote alizokariri hahahahahaa
 
Acha mitusi yako mkuu. Achaga umama utumiage hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…