Benard Saanane jisafishe haraka; atoa maelezo

Status
Not open for further replies.
tHANK YOU bEN UMEJIBU VYEMA.... SIDHANI KAMA NAPE ANAWEZA KUJIBU VIZURI HIVI, KWANI YEYE ANGEKURUPUKIA UCHAGGA NA MAGAMBA

MUUNGE MKONO MWENYEKITI BAVICHA NA MUENDELEE MBELE... WE HAVE 3 YEAR LEFT TO CHANGE MAKE THINGS RIGHT!!

acha ushabiki wewe,mbona Nape mbona tumemuamini na anampa maumivu ya kichwa slaa na chadema yenu? Gadaffi katunguliwa kabla hajaingia kwenye uchaguzi,nilifurahi.Ati anadai demokrasia ni changa ndani ya Tanzania,leo anaongelea demokrasia?Si huwa anaamini katika mapinduzi zaidi,au analaziomisha kuwa ktk dem9okrasia kama Raila Odinga na Mugabe?

Taifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,

Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.

Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana, wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki. Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi, nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.

Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza. Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu. Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu, nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.

Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni. Kama chama kimeona nimekiuka kanuni, basi ni lazima niwajibishwe. Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia, je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?

Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili. Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.

Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.

Lengo langu si madaraka, mimi si mroho wa madaraka. Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu. Katika kuunganisha kwetu nguvu, tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.

Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu, kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi. Nilizingatia hilo, Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane, ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.

Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza, maslahi ya vijana kwanza. Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.

Mengi yamesemwa, mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali. Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi. Hili siwezi kulijadili kwa sasa, haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.

Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni, basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe. Najua wana JF mlikuwa na imani sana na mimi, naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.

Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini, waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.

Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.

Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine, na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti, vijana wengi waliumia, walilia, walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.

Wengine walisema umetusaliti, wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo. Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.

Lakini niwahakikishie, dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi. Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana. Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia, nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.

Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi, sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.

Naomba niishie hapo kwa sasa.

Je tuhuma zote juu yako ni za kweli? Je, Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.

Mimi ni mkweli, sijwahi kutoa rushwa, labda rushwa ya hoja.

Tuhuma za Kupokea wajumbe: Sijawahi kupokea wajumbe.

Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?

Kuwagawa vijana kimakundi: Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini? Mimi sina makundi, labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi. Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.

Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako? Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.

Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko (comfusion) katika kukandamiza demokrasia, ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama. Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa

Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa? Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.

Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama, BAVICHA na vijana wa Tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko

Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa, Vurugu (Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo). Kwanza hilo ni kosa la jinai, nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho, hiyo si Demokrasia

Tuhuma za kuwa pandikizi: Hilo nitalijadili, misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo, tuhuma hizo hazinihusu, kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake. Msiimamo yangu ipo wazi, siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra.

Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili. Ila sitaki kutoa siri za vikao.

Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo, mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.

Naomba niishie hapa kwa sasa, kwani naelekea maeneo ya Sabasaba kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu.

Nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu. Tafadhali nivumilie

ni katika hili.

Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka

Asanteni sana.

Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu, sijatawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.

Youths for Radical change
hivi mtu akituhumiwa kwa rushwa, bado anaqualify mbeleni kugombea au kuwa hata mwanachama wa chama kinachopambana na ufisadi? Jibu ni hapana. Ili awe mwanachama na aaminike anatakiwa kujisafisha. Wewe bado kijana mdogo, fanya jitihada chama kikusafishe au vyombo vya sheria vikusafishe. Vinginevyo hilo ni doa maisha yako yote.

acha ushabiki wewe,mbona Nape mbona tumemuamini na anampa maumivu ya kichwa slaa na chadema yenu? Gadaffi katunguliwa kabla hajaingia kwenye uchaguzi,nilifurahi.Ati anadai demokrasia ni changa ndani ya Tanzania,leo anaongelea demokrasia?Si huwa anaamini katika mapinduzi zaidi,au analaziomisha kuwa ktk dem9okrasia kama Raila Odinga na Mugabe?

huyu lazima ni peremende....!

Nimeyapenda maneno yako Ben, umeonyesha ukomavu mkubwa sana, sasa ni muda wa kuijenga BAVICHA uchaguzi umekwisha.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana.

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya

Ben usilete mbwembe kujifanya unajua kujenga hoja za kisanii,
Unashutumu Vyombo vya habari na kusema wamemnukuu vibaya Dr.Slaa aliyesema umetoa rushwa.
Wewe umekuwa mchangia mkubwa hapa JF na bila kuquestion umekuwa ukiamini hivyo vyombo vya habari vikimnukuu Dr.Slaa akishusha uovu wa CCM. Je leo ndo wamekosea kwa kuwa kakusema wewe? Weka ushahidi basi wa alivosema. Au la unataka tusema Dr. Slaa wakati mwingine huwa ni mwongo?

Wewe umetuhumiwa kutoa rushwa, huwezi kujisafisha mwenyewe, jamii sasa inajua umetoa rushwa. Jisalimishe PCCB basi ikusafishe. Achana na mambo ya rushwa bana, hufai kuwa mwanasiasa wewe.
Hata aibu huna bana!

acha ushabiki wewe,mbona Nape mbona tumemuamini na anampa maumivu ya kichwa slaa na chadema yenu? Gadaffi katunguliwa kabla hajaingia kwenye uchaguzi,nilifurahi.Ati anadai demokrasia ni changa ndani ya Tanzania,leo anaongelea demokrasia?Si huwa anaamini katika mapinduzi zaidi,au analaziomisha kuwa ktk dem9okrasia kama Raila Odinga na Mugabe?
kumbe wewe ni Magamba??

basi you are another one in my ignore list

kweli upumbavu hauna ujazo!!:pound::pound::pound::pound::pound::pound:

Taifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,

Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.

Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana, wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki. Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi, nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.

Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza. Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu. Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu, nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.

Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni. Kama chama kimeona nimekiuka kanuni, basi ni lazima niwajibishwe. Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia, je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?

Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili. Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.

Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.

Lengo langu si madaraka, mimi si mroho wa madaraka. Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu. Katika kuunganisha kwetu nguvu, tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.

Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu, kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi. Nilizingatia hilo, Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane, ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.

Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza, maslahi ya vijana kwanza. Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.

Mengi yamesemwa, mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali. Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi. Hili siwezi kulijadili kwa sasa, haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.

Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni, basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe. Najua wana JF mlikuwa na imani sana na mimi, naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.

Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini, waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.

Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.

Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine, na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti, vijana wengi waliumia, walilia, walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.

Wengine walisema umetusaliti, wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo. Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.

Lakini niwahakikishie, dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi. Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana. Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia, nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.

Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi, sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.

Je tuhuma zote juu yako ni za kweli? Je, Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.

Mimi ni mkweli, sijwahi kutoa rushwa, labda rushwa ya hoja.

Tuhuma za Kupokea wajumbe: Sijawahi kupokea wajumbe.

Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?

Kuwagawa vijana kimakundi: Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini? Mimi sina makundi, labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi. Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.

Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako? Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.

Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko (comfusion) katika kukandamiza demokrasia, ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama. Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa

Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa? Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.

Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama, BAVICHA na vijana wa Tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko

Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa, Vurugu (Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo). Kwanza hilo ni kosa la jinai, nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho, hiyo si Demokrasia

Tuhuma za kuwa pandikizi: Hilo nitalijadili, misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo, tuhuma hizo hazinihusu, kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake. Msiimamo yangu ipo wazi, siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra.

Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili. Ila sitaki kutoa siri za vikao.

Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo, mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.

Naomba niishie hapa kwa sasa, kwani naelekea maeneo ya Sabasaba kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu.

Nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu. Tafadhali nivumilie
ni katika hili.

Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka

Asanteni sana.

Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu, sijatawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.

Youths for Radical change
Ben,sikujua kama ndiyo wewe wanakuzungumzia humu.Nimepitwa kidogo na mijadala mingi.Hongera mkuu.I think you will make a good leader.Usikate tamaa kamanda,there is always next time.Ulipambana kama mwanasiasa yeyote,sijaona makosa yako.Labda kama ni kweli wana ushahidi wa hayo madai ya rushwa.Which to me it seems like wanatumia nafasi hii kuwachanganya zaidi.Ngoja nifuatilie zaidi hizi news maybe nitapata another dimension on how things went.However posting yako hii imejibu maswali mengi.Stay focused.

Maelezo yako ni mazuri sana Ben nimeyapenda hayajaonyesha unamlalamikia mtu. Inaonyesha ya kuwa umekomaa na huna kinyongo wala nini. Kwanza umshukuru mungu, huwezi kujua mbele yako kulikuwa na nini ndio maana labda kakuepushia haraka mzigo huo ulioamua kuubeba. Kwa maelezo yako hapo juu, inaonyesha unakipenda chama chako na huna dhamira mbaya.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana.

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya

Ben usilete mbwembe kujifanya unajua kujenga hoja za kisanii,
Unashutumu Vyombo vya habari na kusema wamemnukuu vibaya Dr.Slaa aliyesema umetoa rushwa.
Wewe umekuwa mchangia mkubwa hapa JF na bila kuquestion umekuwa ukiamini hivyo vyombo vya habari vikimnukuu Dr.Slaa akishusha uovu wa CCM. Je leo ndo wamekosea kwa kuwa kakusema wewe? Weka ushahidi basi wa alivosema. Au la unataka tusema Dr. Slaa wakati mwingine huwa ni mwongo?

Wewe umetuhumiwa kutoa rushwa, huwezi kujisafisha mwenyewe, jamii sasa inajua umetoa rushwa. Jisalimishe PCCB basi ikusafishe. Achana na mambo ya rushwa bana, hufai kuwa mwanasiasa wewe.
Hata aibu huna bana!
Mkuu hizo habari za rushwa ni za kweli?Haya magazeti sometimes siyaamini.Source ya habari ya rushwa ni ipi mkuu?

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana.

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya

Ben usilete mbwembe kujifanya unajua kujenga hoja za kisanii,
Unashutumu Vyombo vya habari na kusema wamemnukuu vibaya Dr.Slaa aliyesema umetoa rushwa.
Wewe umekuwa mchangia mkubwa hapa JF na bila kuquestion umekuwa ukiamini hivyo vyombo vya habari vikimnukuu Dr.Slaa akishusha uovu wa CCM. Je leo ndo wamekosea kwa kuwa kakusema wewe? Weka ushahidi basi wa alivosema. Au la unataka tusema Dr. Slaa wakati mwingine huwa ni mwongo?

Wewe umetuhumiwa kutoa rushwa, huwezi kujisafisha mwenyewe, jamii sasa inajua umetoa rushwa. Jisalimishe PCCB basi ikusafishe. Achana na mambo ya rushwa bana, hufai kuwa mwanasiasa wewe.
Hata aibu huna bana!

Nashukuru sana.Kamati ya wazee ilikuja na tuhuma nyingi ambazo ilibaini,kila mgombea alikuwa na tuhuma zake.Madai ya Rushwa yalikuwepo lakini mimi sikuhusishwa.Nadhani waandishi wa habari sasa wapate ufafanuzi sahihi kuhusu hili suala la Rushwa.Mtu akitoa au kupokea Rushwa ni kosa la jinai.Sheria nadhani ndiyo inatakiwa kuchukua mkondo wake.Kama nitapata Ruhusa ya Tamko la Dr.slaa nitaiweka hapa.Pia ushauri wako kuhusu kusafishwa kwenye suala la Rushwa nimeuzingatia.Asante sana

Ila Nasizitiza sijatoa wala kupokea rushwa katika mchakato huu,sijatuhumiwa na wala sijatajwa kwenye tuhuma hii ya rushwa.Nikipata wasaa nitakuja tena

WanaJF asanteni sana kwa michango yenu chanya na hasi.Mnaokitakia mema chama chetu,Asanteni.Lengo letu ni kijitathmini na kujisahihisha kabla hatujachukua dola Ifikapo 2015.CHADEMA ndilo tumaini Jipya kwa Watanzania

nitakugongea thanks kama ukinijibu swali hili........kwa nini uligombea wakati ndani ya nafsi yako ulijua kabisa kwamba unataka mtu mwingine ashinde na awe mwenyekiti?....hakukuwa na njia nyingine ya wewe kumsapoti huyo mgombea?......

Taifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,

Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.

Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana, wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki. Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi, nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.

Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza. Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu. Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu, nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.

Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni. Kama chama kimeona nimekiuka kanuni, basi ni lazima niwajibishwe. Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia, je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?

Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili. Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.

Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.

Lengo langu si madaraka, mimi si mroho wa madaraka. Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu. Katika kuunganisha kwetu nguvu, tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.

Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu, kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi. Nilizingatia hilo, Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane, ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.

Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza, maslahi ya vijana kwanza. Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.

Mengi yamesemwa, mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali. Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi. Hili siwezi kulijadili kwa sasa, haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.

Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni, basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe. Najua wana JF mlikuwa na imani sana na mimi, naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.

Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini, waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.

Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.

Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine, na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti, vijana wengi waliumia, walilia, walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.

Wengine walisema umetusaliti, wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo. Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.

Lakini niwahakikishie, dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi. Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana. Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia, nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.

Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi, sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.

Je tuhuma zote juu yako ni za kweli? Je, Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.

Mimi ni mkweli, sijwahi kutoa rushwa, labda rushwa ya hoja.

Tuhuma za Kupokea wajumbe: Sijawahi kupokea wajumbe.

Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?

Kuwagawa vijana kimakundi: Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini? Mimi sina makundi, labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi. Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.

Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako? Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.

Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko (comfusion) katika kukandamiza demokrasia, ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama. Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa

Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa? Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.

Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama, BAVICHA na vijana wa Tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko

Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa, Vurugu (Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo). Kwanza hilo ni kosa la jinai, nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho, hiyo si Demokrasia

Tuhuma za kuwa pandikizi: Hilo nitalijadili, misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo, tuhuma hizo hazinihusu, kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake. Msiimamo yangu ipo wazi, siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra.

Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili. Ila sitaki kutoa siri za vikao.

Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo, mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.

Naomba niishie hapa kwa sasa, kwani naelekea maeneo ya Sabasaba kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu.

Nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu. Tafadhali nivumilie
ni katika hili.

Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka

Asanteni sana.

Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu, sijatawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.

Youths for Radical change

Ni vema umejibu tuhuma dhidi yako mkuu.
Lakini next time jitahihidi kujibu kwa kifupi ama vile ....."sikweli, na uchaguziilikuwa ashinde mtummoja tu" na mambo kama hayo. Lasivyo watu wanaopenda kukuchimba wanakupata kirahisi sana ukijieleza kwa kirefu..
Bahati yako tu nikwamba unajua kujieleze na nakupongeza wa hilo kama ndivyo chadema ilivyo hivi basi kweli watanzania tutazidi kuwaamini....
Usivunjike moyowala usithubutu maisha ndivyo yalivyo, chngamoto ni sehemuya maisha..... keep it up!!!!

nitakugongea thanks kama ukinijibu swali hili........kwa nini uligombea wakati ndani ya nafsi yako ulijua kabisa kwamba unataka mtu mwingine ashinde na awe mwenyekiti?....hakukuwa na njia nyingine ya wewe kumsapoti huyo mgombea?......
Inaweza kuwa ni magazeti yako kwenye propaganda,kwa mfano hapo chini ni mwananchi wameandika hayo.Kina nani ni usalama wa Taifa ambao wamejiingiza chadema?Pia sidhani kama nia yake ilikuwa ni mwingine ashinde,kuunganisha nguvu haina maana mwingine ashinde,inaweza kuwa ina maana mwingine ashindwe.

"Tuhuma nyingine iliyoelezwa ni wagombea hao kutaka kupindua chama hicho kwa kuhamisha agenda za chama hicho na wengine walihofiwa kuwa ni usalama wa taifa," kilisema chanzo chetu.
Akizungumza na majira jana akiwa katika uchovu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, pamoja na kutotaka kuzungumzia tuhuma hizo za rushwa kwa undani akisema "mengine yanahitaji maamuzi ya juu", alisema kuwa wagombea hao watatu walioenguliwa baada ya kuthibitisha kuwa wamekwenda kinyume na katiba na kanuni za chama, kifungu cha 10, wamekiri pia kuwa wao walijihusisha kutengeneza agenda ya BAVICHA.
Mmeshafuatilia kanuni za chama kifungu cha 10 zinasemaje?Tukianzia hapo tutajuwa kuwa ni kanuni gani walivunja badala ya speculations tuu.

ulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine. hii sentesi hapo juu kwa kweli inanipa wakati mgumu.......sion umuhim wa wewe kuwa mgombea...sasa tunaposema umetusaliti ndo katika mambo kama haya..ulikuja na sera nzuri hapa jf.tukakuamini sana kumbe deep down ulikuwa na plan ya kujitoa.......huku ndo kusaliti kwenyewe...........

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana.

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya

Ben usilete mbwembe kujifanya unajua kujenga hoja za kisanii,
Unashutumu Vyombo vya habari na kusema wamemnukuu vibaya Dr.Slaa aliyesema umetoa rushwa.
Wewe umekuwa mchangia mkubwa hapa JF na bila kuquestion umekuwa ukiamini hivyo vyombo vya habari vikimnukuu Dr.Slaa akishusha uovu wa CCM. Je leo ndo wamekosea kwa kuwa kakusema wewe? Weka ushahidi basi wa alivosema. Au la unataka tusema Dr. Slaa wakati mwingine huwa ni mwongo?

Wewe umetuhumiwa kutoa rushwa, huwezi kujisafisha mwenyewe, jamii sasa inajua umetoa rushwa. Jisalimishe PCCB basi ikusafishe. Achana na mambo ya rushwa bana, hufai kuwa mwanasiasa wewe.
Hata aibu huna bana!

Mbona unahangaika kulazimisha mambo? he, wewe mwanamagamba nini?
Sasa kama vyombovya habari siku zote vimeandika vizuri, siku vikikosea visisemwe? mtu gani wewe? kama ni CIA wa bongo basi tuna kazi hamna upeo!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom