Benard Saanane jisafishe haraka; atoa maelezo

Benard Saanane jisafishe haraka; atoa maelezo

Status
Not open for further replies.
Mi namshauri huyu bwana mdogo ajiunge CCM, Hapo hapamfai. Ndani ya CHADEMA watu wanajenga hoja nasi FITNA.
 
Eeeh ! ! !

Sitaki kusema sana hapa,kama chama kitaniruhusu kuweka hadharani majibu niliyotoa basi nitafanya hivyo .Sijui ni nani aliyerekodi majibu haya,nami nitatoa majibu yangu.Naona uamuzi wa kukaa kimya kwa kukwepa kutoa siri za vikao unatumika vibaya.Hili nitalifanyia kazi,wanaJF na watanzania mtapata ukweli wa majibu na mazungumzo yangu.sijui huyu aliyepost ana maslahi gani hapo au yeye ni mjumbe tu

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili.Tunaporekodi mazungumzo tuwe makini au tunapotoa taarifa za viakao tuwe makini,pia tusitumie mwanya wa ukimya au taarifa zinazotolewa for the sake of our narrow interests.Hii ni aibu kwa demokrasia yetu,siogopi kusema.
Mkuu ben Maisha bado yanaendelea achana na hawa watu sisi hatutaki kujua siri za kikao, fanya kazi mkuu I hope nyota yako itang'aa siku moja!
 
Dr. Slaa - tuna ushaidi wa kutosha kwamba mmeunda alliance ya wagombea wanne na mna mpango wa kujitoa ukumbini na kumuunga mkono mgombea mwingine. Jana usiku mlifanya vikao kadhaa kikiwepo kimoja mlichofanyia bondeni hotel (bondeni ya zamani) usiku wa manane, Ni KWELI??

Saanane Ben- Ni kweli nakiri hilo.

Dr. Slaa - Sasa kama una mpango wa kujitoa kwa nini ulichukua form? Tutakuamini vipi siku nyimgine ukipewa dhamana na chama kugombea nafasi kama ya ubunge, si utajitoa tena?

Ben Saanane - Sitajitoa nikipewa dhamana na chama.

Dr. Slaa - Sasa kama una mpango wa kujitoa hata kabla ya uchaguzi, si bora chama kikutoe. Kuna tofauti gani kati ya wewe kujiengua mwenyewe au chama kikakuengua?

Ben Saanane - Chama kikiniengua personality (hadhi) yangu itashuka, lakini nikijitoa mwenyewe personality yangu itabaki palepale au itapanda zaidi.

Dr. Slaa - Kipi ni muhimu zaidi,personality (heshima) yako wewe Ben Saanane au Heshima ya chama kwa ujumla wake , chama ambacho kimeundwa na watz wengine mamilioni kwa mamilioni??

HAKUNA KITU NZURI KAMA KUJUA LOGIC. Hii inanikumbusha wakati ule nikiwa shule kwenye kozi moja ya Dr. Lwaitama inaitwa critical thinking and argumentation.

Kama ni kweli kuwa mahojiano yalienda hivyo, basi kimantiki Saanane ulijikaanga. Mtiririko wa hoja unaonyesha kuwa Saanane umeshindwa, hasa hitimisho la hoja za mwisho yenye rangi nyekundu
 
Unajua Ben, hunifahamu lakini mimi ni mjumbe wa mkutano ule na nilikuwepo, ila naomba achana na hawa CCM wametumwa kwani hawana akili timamu na mambo yetu hawayahusu, ni mambo ya kawaida katika vyama. ila nilikuamini sana na nikaushangaa uamuzi wako wa kutaka kujitoa na kumuunga mkono Mwampamba. kulikoni
 
Eeeh ! ! !

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili..

Mlifikiria kuunganisha au mlikubaliana kuunganisha? tena kwa kujitoa, tutaamini vipi kwamba hamkufanya hivyo kwa maslahi ya mtu fulani?? Hoja ya msingi ni kwa nini mlichukua form alafu mkapanga kujitoa? kwa nini mnaanzisha chama ndani ya chama?? hayo si ndo makundi yenyewe kama yae ya akina EL, RA na wenzao?? tafadhali sana ,msitumike kukiharibu cha,a. tuna ushahidi wa kutosha wa jinsi ambavyo ulikuwa utumike vibaya kwa kujua au kutokujua. Sipendi sana kuutoa hadharani kwa sababu nitakuchafua ila ikibidi nitautoa kwa wanajanvi na watz wengine pia.

Narudia tena, ulikuwa unatumika vibaya ndg yangu Ben Saanane, kwa kufahamu au kutokufahamu. viva chadema
 
kufanya kampeni kabla ya muda sio ufisadi so dogo upo clean na endeleza kusukuma gurudumu nimeipenda thread yako sana that great thinker are my brother, this country need people like you. na watu tusibadilishe maneno Slaa kasema kanuni ilivunjwa ya kufanya kampeni kabla ya muda sasa tatizo liko wapi mbona watanzania twapenda sanaa majungu jungu tu na umbea let use OUR BRAINS bwana!!

take it as a challenge ni kama kujiandaa na mtihani ukasoma kabla ya preparation week ukakacha vipindi

Kuna watu wako tayari kufanya spinning kwa ajili ya interest zao.Naona mwelekeo wa tuhuma sasa unabadilika ghafla baada ya jana kueleza ukweli,naona leo spinning nyingine inaletwa.Ujumbe ukitolewa ili uwe na credibility ufikishwe jinsi ulivyo.Natafuta ripoti ya mazungumzo yangu na kamati ya wazee,nikiipata na nikapata ruhusa ya kuiweka hapa nitaiweka.Sina cha kuficha,ukweli siku zote hauamuliwi au kudhirishwa kwa kura ya wengi.hayo mahojiano yaliyowekwa hapo juu hayako sahihi,mengine yana lengo la kunichafua.Sitakubali

Uchaguzi umekwisha sitaki kuonekana mimi ndiye ninayeendekeza malumbano,tunataka kujenga chama chetu.Lakini ikiwa kuna watu wanataka kutafutia watu sababu haramu katika kupindisha ukweli kwa madhumuni ya kumchafua mtu,basi naomba mniwie radhi kwa hilo.sitakubali kuchafuliwa kwa sababu ya Interest za watu
 
Eeeh ! ! !

Sitaki kusema sana hapa,kama chama kitaniruhusu kuweka hadharani majibu niliyotoa basi nitafanya hivyo .Sijui ni nani aliyerekodi majibu haya,nami nitatoa majibu yangu.Naona uamuzi wa kukaa kimya kwa kukwepa kutoa siri za vikao unatumika vibaya.Hili nitalifanyia kazi,wanaJF na watanzania mtapata ukweli wa majibu na mazungumzo yangu.sijui huyu aliyepost ana maslahi gani hapo au yeye ni mjumbe tu

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili.Tunaporekodi mazungumzo tuwe makini au tunapotoa taarifa za viakao tuwe makini,pia tusitumie mwanya wa ukimya au taarifa zinazotolewa for the sake of our narrow interests.Hii ni aibu kwa demokrasia yetu,siogopi kusema.

Kama ulikubali kugombea hapakuwa na haja ya kuunganisha nguvu kwa mwingine kwani ungeweza kumwongezea nguvu kwa kufanya kampeni yake bila ya wewe kuwa mgombea. Utaratibu wa kujitoa ni wa kuhuni wala siyo wa Kidemokarasia ndiyo maana unaleta mashaka. Mahali pa kunganisha nguvu ni ndani ya chama na hasa anaposhinda mwenzako. Wote mliogombea mlijiona kuwa mna sifa za kugombea na ndiyo maana mkakabidhiwa fomu.
 
Ben unaonekana kama unataka kukana hivi haya maelezo, kama sio ya kweli, tuambie tu simply kwamba ni ya uongo. ila kama ni ya kweli, mzee ulijichanganya,
 
Sasa mambo ya Vikao mnaleta hapa jamvini uchaguzi si umekwisha,angalieni namna ya kumsadia bwana Heche kufikia Malengo ya cdm,unafiki,majungu havina nafasi hapa..Ben usije na majibu mengne ktk hili..Let it go.
 
Ben achana na wapita njia, wengine dhumuni lao ni kuvizia nguo zako wakati unaoga, hivyo angalia sana usije ukaonekana kituko badala ya wao kuonekana kituko.

Acha kujibizana nao mambo ya chama yanaishia katika chama hivyo kuwa makini sana na kutoa majibu humu Jamiiforum maana utajikuta unasema hata yasiyostahili kwa mustakbari wa maisha yako katika siasa.

Jipange mkuu safari ya siasa ni ndefu na lazima iwe na misukosuko.
 
Kama ulikubali kugombea hapakuwa na haja ya kuunganisha nguvu kwa mwingine kwani ungeweza kumwongezea nguvu kwa kufanya kampeni yake bila ya wewe kuwa mgombea. Utaratibu wa kujitoa ni wa kuhuni wala siyo wa Kidemokarasia ndiyo maana unaleta mashaka. Mahali pa kunganisha nguvu ni ndani ya chama na hasa anaposhinda mwenzako. Wote mliogombea mlijiona kuwa mna sifa za kugombea na ndiyo maana mkakabidhiwa fomu.

Nadhani tufikie mahala tunapojadili masuala ya Demokrasia tupitie nadharia za democracy na Siasa kwa ujumla.Tukija na faccts hizo na tukifanya tafiti zisizo Biased,tutaweza kujadili kama wanasiasa

Mlifikiria kuunganisha au mlikubaliana kuunganisha? tena kwa kujitoa, tutaamini vipi kwamba hamkufanya hivyo kwa maslahi ya mtu fulani?? Hoja ya msingi ni kwa nini mlichukua form alafu mkapanga kujitoa? kwa nini mnaanzisha chama ndani ya chama?? hayo si ndo makundi yenyewe kama yae ya akina EL, RA na wenzao?? tafadhali sana ,msitumike kukiharibu cha,a. tuna ushahidi wa kutosha wa jinsi ambavyo ulikuwa utumike vibaya kwa kujua au kutokujua. Sipendi sana kuutoa hadharani kwa sababu nitakuchafua ila ikibidi nitautoa kwa wanajanvi na watz wengine pia.

Narudia tena, ulikuwa unatumika vibaya ndg yangu Ben Saanane, kwa kufahamu au kutokufahamu. viva chadema

Sijawahi kutumika,labda kama kutumika pasipo kujua.Mapenzi yangu kwa chama changu wanaonifahamu vizuri wanayajua.misimamo yangu inajulikana,tafadhali naomba tuache upotoshaji katika ku-justfy mambo yetu.

Kama una ushahidi wa mimi kutumika tafadhali utoe,utakuwa umenisaidia mimi pia.Kwanza hebu nikuulize,hiyo ripoti uliyoitoa umepewa ama? je,ulikuwepo katika vikao?Ulihusika katika kurekodi mazungumzo? kama wewe ni mkweli katika hili,hebu waambie wanaJF wewe ni nani.

Tujenge chama chetu tuache upotoshaji,tuache kuwachafua wengine kwa makusudi kabisa.Kama unakipenda chama tafadhali kuwa mkweli.afterall this is not the right platform for our internal issues.Lakini nikichafuliwa kupitia a certain platform kwa maneno yasiyo sahihi,basi nitatumia platform hiyo hiyo kueleza ukweli.Wacha nifanye kazi
 
Eeeh ! ! !

Sitaki kusema sana hapa,kama chama kitaniruhusu kuweka hadharani majibu niliyotoa basi nitafanya hivyo .Sijui ni nani aliyerekodi majibu haya,nami nitatoa majibu yangu.Naona uamuzi wa kukaa kimya kwa kukwepa kutoa siri za vikao unatumika vibaya.Hili nitalifanyia kazi,wanaJF na watanzania mtapata ukweli wa majibu na mazungumzo yangu.sijui huyu aliyepost ana maslahi gani hapo au yeye ni mjumbe tu

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili.Tunaporekodi mazungumzo tuwe makini au tunapotoa taarifa za viakao tuwe makini,pia tusitumie mwanya wa ukimya au taarifa zinazotolewa for the sake of our narrow interests.Hii ni aibu kwa demokrasia yetu,siogopi kusema.

Ben utanikumbuka, kaa kimya.
Sidhani kama unajisaidia, kama chama kinajua ukweli huhitaji kupigana na kila mtu. Huwezi kurekebisha ukishapigana na chama ila unaweza kurekebisha na JF. Ushauri wa bure dogo. najua kushindwa kunauma na media ni ngumu kuishi nayo, kama unawashauri wenye busara watumie, bado mimi nakuona chama kinakuhitaji sana kuliko unavyotaka kufanya. Ila mwisho wa siku ni wewe mwenyewe ukiona unaweza kupambana ndani na nje twende kazi.
 
The two sides have been heard, by the power vested in me by myself I declare this thread closed.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom