Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Unahangaika sana na utaendelea kuangaika sana kuipenda chadema lakini chadema haikupendi!tulikupenda ila usaliti umekupenda zaidi!
 
- Si alijigamba kwamba atakuwa Mwenyekiti wa Bavicha sasa ameona kwamba walikuwa wanamtumia tu kutukana Viongozi wa CCM sasa hawamuhitaji tena unakuwaje Ofisa mwandamizi wa Dr. Slaa halafu unashindwa Bavicha tu ndio ataweza Kamati kuu ya Chadema sasa ngoja ajaribu kulalamika kama hakupigwa ngumi kama Mwigamba, chezeya UKAWA wewe!!

- Kwishney kazi yake U know

Le Mutuz
Huu ni mkakati wa kipuuzi kabisa, nikuambie tu hizi siasa za mitandaoni hazina nguvu unavyofikiri japo ni muhimu kuweka rekodi sawa. Kumchafua Ben Saanane kwa staili ya kujifanya mnamuonea huruma ni ujinga. Asante
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Acha uzandiki. CDM na ACT wapi na wapi?
 
Nimesikiliza mkanda.wa Nchemba. Dah! Huyu jamaa ni gaidi aliyekubuhu.
 
Kila nikisoma thread unayoanzisha kuhusu CHADEMA nakumbuka kauli hii ya Mwigulu inayothibitisha usaliti wako

Aisee sipendi kuongea lugha chafu kabisa... lakini nasema namchukia huyu mbwa kuliko taktak yoyote duniani...yani unafanya unyamwa kisha unasimama mbele ya watu na kuongea mkojo wa kiassi hiki... hii ni zaidi ya laaaana
 
Last edited by a moderator:
Daudi mchambuzi,
status yangu kwenye chama ikoje?
naomba nikuuliza, Mungu aliye kuumba ni huyu tunaye mfahamu, au una mungu wako unayemjua wewe...nadahi kwa roho uliyo nayo mpaka shetani nakuvulia kofia...tatizo nini dhiki ya pesa...mzee hamna naman ya kukuelezea...haya bwana
 
JANJAWEED rafiki yake Dr Slaa mambo vipi? Habari za masiku?

safi sana, he!! umekuja na ID mupya?? Dr. nilimweleza ukweli kama hakunielewa, ni ruksa tu...

Jitahidi zifike 12 mko wachache wenye kiasi hicho cha ID, zingekua pesa mkuu ungekua mbali sana
 
wewe mnafiki mkubwa fanya yanayokuhusu
 
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz

Kwa kuwa chama ni cha Wachaga na Wakristo. Naye anabaguliwa kwa dini na kanda yake?
 
Moja ya hasara za kuwa DOUBLE AGENT ni kufikia mahali unakuwa huaminiki kote ....... hii inatesa sana ....:cool2:
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Mbona una shobo sana kama dem wa bar?we si kila siku unaponda cdm leo imekua nzur?
 
Back
Top Bottom