Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

kitendo chawewe ludo kutia neno kwenye ugombea wa ben nikumharibia ben, hakika nakwambia ikezekana funga mdomo wako fanya mambo mengine
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz
 
  • Thanks
Reactions: gsu

Kweli nimeamini kuwa kuna watu hawana mishipa ya aibu ................... wewe ni mmoja wao!!
 
nimewahi kuambiwa ulionekana kwa waganga wa ushirikina nchini Malawi na gari mliyotumia inajulikana ..... sikuamini nilichoambiwa ila ulichokifanya kwa Lwakatare ilipelekea kuamini .... sidhani kama utakanusha
Joseph Ludovick ya kweli haya??
 
Last edited by a moderator:
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz

Yaani wewe unaweza kumshauri mtu kitu kweli akakuelewa.
 
Ben Saanane asubiri kuteuliwa tu na wanaomtumilia
 
4.0. Kuchunguza jambo jingine lolote linaloweza kutoa mwanga wa sababu za kuvamiwa na kupigwa kwa Kibanda.

4.4.
Daniel Chongolo aliiambia timu kuwa alfajiri ya Machi 6, siku anayodai kutekwa Ludovick yeye alimuona eneo la Mabibo wakati anatoka Muhimbili. Chongolo alikwenda kituo cha polisi Mabibo na kupewa taarifa kuwa Ludovick alitoa taarifa polisi kuwa alikuwa ametekwa ila akarudishiwa mali zake zote.
“Alipouliza amefuata nini polisi, akawambia kama raia mwema amefika kuandikisha kumbukumbu kwa nia ya kuonyesha kiwango cha uhalifu kinavyoongezeka nchini,” anasema Chongolo. Timu ya uchunguzi ilikataliwa kupitia leja ya polisi kama itakavyoelezwa hapa chini.

4.5.
Pia taarifa za uchunguzi wa timu hii zinathibitisha kuwapo kwa utata juu ya madai ya kuibwa kwa simu za Joseph Ludovick, kwani simu yake ya tigo (inayodaiwa kuibwa) ilitumika saa 01:21 asubuhi siku ya Machi 6, 2013. Muda huu ofisi za Serikali na Kampuni ya Tigo zilikuwa hazijafunguliwa

Huyo Chongolo si kada maarufu wa CCM? kumbe nae alihusishwa na Joseph Ludovick?
 
Waitu mukulu, hebu tewekane sawa; kwani wewe ni chama gani hasa na malengo yako katika siasa ni yepi!!!????
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?
Mbinu zako zimeisha gonga mwamba wewe.
Unataka watu wamfananishe na wewe kuwa mko kundi moja ili wamchukie? hiyo ni mbinu zembe kuja nayo.
Tafuta shughuli za kufanya achana na CDM haikuhusu.
 
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz

Yan haoo jamaa ndoo mchezoo wao huoo kutumiaa watu kwa manufaa yao
 
Ben saanane ataenda kumwagia watu sumu hafai kwenye kila kamati akae na wazee wenzake kwenye vikao vya ushauri.
 
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz

shida ya ben alijifanya anajua kumbe anaungua jua sasa soda atakunywa maji mpeni pole sana.
 
Back
Top Bottom