Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Dhambi ya usaliti uliyomfanyia Kamanda Wilfred Lwakatare itakutafuna milele. Tangu uchaguzi wa CHADEMA umeeanza unaweweseka tu. Mara unamuunga mkono Nanyaro, mara Saanane, mara Peneza. Haya ni matunda ya usaliti. Soon utakuwa crazy.
 
Ben yupo Vizuri, anaweza kuongeza input muhimu kwenye CC ya Chadema.
 
Nyie watoto wa bavicha si mmekatazwa na chama chenu kuomba kura hapa JF!!??
Mbona hamsikii???
 
wewe mtafute Mwigilu mkaufanyie 2nd editing ule mkanda wenu wa ugaidi - safari hii msiende China, tafuteni nchi yenye hight tech ili tuidhibiti CDM fasta!! mambo yanataka kuharibika 2015 kwa speed yao hii.
Huyo jamaa walimla tigo
 
kawaulize chadema acheni kumsingizia jamaa huyo

4.0. Kuchunguza jambo jingine lolote linaloweza kutoa mwanga wa sababu za kuvamiwa na kupigwa kwa Kibanda.

4.1.
Uchunguzi ulifuatilia masuala mbalimbali ikiwamo miendendo ya watu waliotajwa kwa njia moja au nyingine kuhusinaa na tukio hili. Hata hivyo, karibu watu wote waliohojiwa, akiwamo Kibanda mwenyewe aliyeumizwa walimtaja kwa kutilia shaka mwenendo wa kijana Joseph Ludovick. Hofu yao, iliongezwa nguvu na maandishi aliyoyachapisha Ludovick kwenye mitandano ya kijamii siku ya Machi 6, 2013.

4.2.
Usiku aliotekwa na kuumizwa Kibanda, Ludovick katika naye alidai kuwa ametekwa katika eneo la Shekilango na kupelekwa hadi Kigogo. Baada ya kutekwa aliibiwa kila kitu, ikiwamo begi, laptop, simu mbili, fedha taslimu Sh 35,000, akavuliwa nguo na kubaki na chupi tu. Pia alieleza kuwa alitoa taarifa hizo kituo cha polisi Mabibo.

4.3.
Maelezo ya Ludovick yalitiliwa shaka na watu wengi hasa baada ya kuleeza kuwa watekaji walitumia muda wa saa mbili kumtoa Shekilango hadi Mabibo, umbali ambao kwa kiwaida mwendo wake hauwezi kuzidi dakika 10.

4.4.
Daniel Chongolo aliiambia timu kuwa alfajiri ya Machi 6, siku anayodai kutekwa Ludovick yeye alimuona eneo la Mabibo wakati anatoka Muhimbili. Chongolo alikwenda kituo cha polisi Mabibo na kupewa taarifa kuwa Ludovick alitoa taarifa polisi kuwa alikuwa ametekwa ila akarudishiwa mali zake zote.
"Alipouliza amefuata nini polisi, akawambia kama raia mwema amefika kuandikisha kumbukumbu kwa nia ya kuonyesha kiwango cha uhalifu kinavyoongezeka nchini," anasema Chongolo. Timu ya uchunguzi ilikataliwa kupitia leja ya polisi kama itakavyoelezwa hapa chini.

4.5.
Pia taarifa za uchunguzi wa timu hii zinathibitisha kuwapo kwa utata juu ya madai ya kuibwa kwa simu za Joseph Ludovick, kwani simu yake ya tigo (inayodaiwa kuibwa) ilitumika saa 01:21 asubuhi siku ya Machi 6, 2013. Muda huu ofisi za Serikali na Kampuni ya Tigo zilikuwa hazijafunguliwa
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Wewe njaa ndo zinakusumbua
 
mkuu nakushauri uache ugaidi
umeona magaidi wenzako walivyolawitiwa na polisi angalia sana you are next on the list
 
Kibaraka wa Mwigulu;unakubali hongo ya sh elfu 50 utuharibie Chama wewe Joseph Ludovick?;kicha.aa wewe
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Wewe utakua na matatizo ya akili kama sivyo basi mtandao wa tigo utakua unakuwasha sanaaa hvyo unatafuta wakuku kuna.
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Unajua kujua kuwa mtu ni kichaa si lazima awe na vyeti vya mirembe. Jana umesema chaguzi za cdm zimejaa mizengwe leo unazijadili
 
Back
Top Bottom