Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?
 
wewe kaama nani? eti unafanyya spinning anddiscampagn? apuuzwe mtu huyu.
 
Wakuu,
mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa ben saanane baada ya mambo kushindikana bavicha, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu chadema.
tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa ben katika nafasi hiyo?

Tokea lini ukawa mwema kiasi hicho kwa CDM?,au una agenda ya siri tena?.
 
Wakuu,
mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa ben saanane baada ya mambo kushindikana bavicha, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu chadema.
tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa ben katika nafasi hiyo?

Wauaji unajipigia prom
 
Mkuu kwani wewe ni chadema?
 
Ni vizuri vijana wakagombea nafasi mbalimbali ndani ya chama na hata uongozi wa kitaifa. Vijana ni taifa la leo na kesho. Wazee ni taifa la jana na juzi!
 
Wakuu,
mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa ben saanane baada ya mambo kushindikana bavicha, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu chadema.
tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa ben katika nafasi hiyo?

nimewahi kuambiwa ulionekana kwa waganga wa ushirikina nchini Malawi na gari mliyotumia inajulikana ..... sikuamini nilichoambiwa ila ulichokifanya kwa Lwakatare ilipelekea kuamini .... sidhani kama utakanusha
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

wewe ni mnafiki, mfitini na mzandiki. Yanakuhusu nini ya chadema? Shughulika na act yenu.
 
Wewe kijana utekeji na utesaji kwa kib@nda umekuachia laana ya maisha yako yote hapa duniani.
-ni maajabu kujifanya muungwana kwa ben,wakati unaja fika kuwa wewe ni adui namba kumi wa cdm.mkiongozwa na zitto.
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?
wewe mtafute Mwigilu mkaufanyie 2nd editing ule mkanda wenu wa ugaidi - safari hii msiende China, tafuteni nchi yenye hight tech ili tuidhibiti CDM fasta!! mambo yanataka kuharibika 2015 kwa speed yao hii.
 
Back
Top Bottom