Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz
lini umeanza kuwa na akili timamu za kushauri watu?
 
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz
Hata wewe tulikuambia usirudi toka ughaibuni utakuja kutumika hukusikia, ona sasa unavyotumiwa na Bulembo baada ya kumwagwa EALA.
 
Go Ben, fanya unachokiamini.
ila mpaka sasa najiuliza kwanini Ludovick umejitolea kumsemea Ben hasa nikizingatia status yako ndani ya Chadema.
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

inakuhusu nini wewe mjinga?
 
wewe ni mnafiki, mfitini na mzandiki. Yanakuhusu nini ya chadema? Shughulika na act yenu.

Nani amemdanganya kuwa bado yupo chadema? Kampa nani ruhusa ya kuizungumzia chadema? Asubiri chaguzi za Act akajinadi huko. Saa nane hahitaji msaada wake wala sio wa size yake. Kama alitaka tu kupima kukubalika kwa Saanane ni kuwa yeye ni zaidi ya nafasi anazogombea chadema. Msomi mzuri mwaminifu kwa chama chake na ni jembe la chadema hilo. Hali kadhalika Yeriko nae ni jembe la chadema. Kwa hadhi na uwezo wao sio size yako.
 
aisee nimeamini kuwa kuna watu wanaipenda cdm, ila wanajuta na usaliti wao, ki ukweli angalia hata akina mwampamba na mchange wanajuta, maana huko ccm ubunge wasahau, wangekuwa cdm majimbo wangepambana. tuone kama 2015 tutawaona hawa vijana wakisimama majimboni mmoja ccm mwingne act, pata picha watasikilizwa na akina nani.
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

"Pema ukijapo pema, ukipema si pema tena". Ludovick, hakuna jema utakalo tenda ndani ya Chadema na WanaCDM wakuelewe.
Kwanini usikae pembeni uwaachie wanaCDM Chadema yao?. Huo ni ushauri tu mdogo wangu.
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

kwani ATC kunawasha? au hakuna kule hakuna nafac ya kugombea kamati kuu
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Kwa Tarifa yako tumeshajua kua umetumwa kuchafua wagombea wa chadema lakini utashindwa kwani tumeshakujua sana
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?
Kila nikisoma thread unayoanzisha kuhusu CHADEMA nakumbuka kauli hii ya Mwigulu inayothibitisha usaliti wako

Last edited by a moderator:
- Nilimwambia mara nyingi akawa hanielewi kwamba Wakubwa wa UKAWA wanamtumia tu mwishoni watamtema kama walivyowafanyia wengine nahisi sasa ameelewa nilichokuwa namwambia

Le Mutuz

Wewe huna uwezo wa kumshauri hata mtoto mdogo................ kapige picha za vichupi na wale machangu
 
siasa imekupiga mweleka kama ccm walivyokutumia na sasa umekwiiisha kijana
 
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?

Kaka Ludo jitenge na unafiki.
 
Nonsense.......

- Si alijigamba kwamba atakuwa Mwenyekiti wa Bavicha sasa ameona kwamba walikuwa wanamtumia tu kutukana Viongozi wa CCM sasa hawamuhitaji tena unakuwaje Ofisa mwandamizi wa Dr. Slaa halafu unashindwa Bavicha tu ndio ataweza Kamati kuu ya Chadema sasa ngoja ajaribu kulalamika kama hakupigwa ngumi kama Mwigamba, chezeya UKAWA wewe!!

- Kwishney kazi yake U know

Le Mutuz
 
Wewe huna uwezo wa kumshauri hata mtoto mdogo................ kapige picha za vichupi na wale machangu

- ha! ha! ha! ha! ha! sasa mbona umejibu hahahahahaha umekugusa kwamba jamaa wamemtumia sasa hawamuhitaji tena, tulimwambia U know hahahahahaha

Le Big Show
 
Mtaongea sana humu wapotoshaji, but Chadema inasonga mbele. Hatuna muda wa kusikiliza propaganda zenu enyi wazushi.
 
Back
Top Bottom