Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Mbona una shobo sana kama dem wa bar?we si kila siku unaponda cdm leo imekua nzur?
Huyu jamaa naona anamajuto makali sana ... tumhurumieni maana inaonekana anaipenda sana chadema ila kilichomponza ni vipande vya fedhaaaaaaaaaaaaaaaaa....
 
Daudi mchambuzi,
status yangu kwenye chama ikoje?
Unahujumu chama kwa kushirikiana na Mwigulu, kama ushahidi wa video hii unavyoonesha.

Hii ndio status yako kwenye chama.

Walau ungeona aibu na kukaa kimya, lakini kila siku unaanzisha threads eti za kushauri chama. Interest yako sijui ni fedha au kuna kasoro fulani kichwani.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Mwanasiasa aliyejizolea umaarufu hapa Ben Saanane baada ya mambo kushindikana BAVICHA, sasa anagombea kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.

Tumpe sapoti yetu ili vijana kama hawa waingie kwenye vyombo vya maamuzi. Nini mtazamo wa wanajukwaa juu ya kufaa kwa Ben katika nafasi hiyo?
Jude Iskariot!! Are serious? Or it is just one of set ups you are used to!??
 
Hata wewe tulikuambia usirudi toka ughaibuni utakuja kutumika hukusikia, ona sasa unavyotumiwa na Bulembo baada ya kumwagwa EALA.

- Mimi ni:-
1. MJUMBE MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA UNAOCHAGUA RAIS

2. MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA

3. MJUMBE BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA.

Sasa nakuomba uchague cheo kimoja umpe ndugu yako kama inawezekana sio kutumika tumika bila manufaa ok!! ha! ha1 ha1

Le Mutuz
 
Zitto ni zaidi ya Mbowe na Dr.Slaa huyo Yericko nani anamjua nje ya JF.
Ndivyo mlivyomuharibu ZZK akapandisha mkia juu ukakatwa!!. Mlishirikiana wengi wewe, TISS na yule dada wa ujerumani!!
 
Ludovick Joseph,

-Huna uadilifu wa kutosha kunipigia kampeni kuingia kamati kuu ya CHADEMA

- Mkuu pole sana ila ushindwe Bavicha upate Kamati Kuu basi hicho kitakuwa sio chama cha siasa ila hadithi za kusadikika U know, sasa lalamika uone watakavyokutwisha mangumi kama Mwigamba kudadeki hicho chama huwa kinanifurahisha sana kwa siasa za ubabe ubabe wa wenyewe kwa wenyewe, huwa wanatulia tu kwenye FFU tu!!

Le Mutuz
 
- Mimi ni:-
1. MJUMBE MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA UNAOCHAGUA RAIS

2. MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA

3. MJUMBE BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA.

Sasa nakuomba uchague cheo kimoja umpe ndugu yako kama inawezekana sio kutumika tumika bila manufaa ok!! ha! ha1 ha1

Le Mutuz

UVCCM????

Kumbe wewe bado dogo u know?
 
Samahani ndugu William Malecela

Nina swali..

Hivi wewe ni mzima kabisaaa? hujawahi kupata matatizo ya ukichaa?

- Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! sasa mkuu unakuja kujibizana na kichaa inakuwaje hiyo si wenye akili watakushangaaa mkuu sana ha! ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
UVCCM????

Kumbe wewe bado dogo u know?

- ha! ha! ha! yaani hao wajumbe wa Mkutano wa UKAWA uliompiga chini jamaa wananidai Soda wote na beer eti wapo wapi jamani niwarushie M-pesa U know cause this is greatest newzzz leo dogo kula mueleka U know it is fantastic and I love it U know! hahahahahaha

Le Mutuz
 
Ludovick Joseph,

-Huna uadilifu wa kutosha kunipigia kampeni kuingia kamati kuu ya CHADEMA

Bwana Ben, salaam.
umesoma vizuri nilichoandika? mimi sijakupigia kampeni na kamwe siwezi kukupigia kampeni. ungekuwa makini kama unavyosemwa hapa ungeona kuwa post yangu ni irony.
kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu. bwana ben,mimi sijawahi kupewa onyo na chama kama wewe na kuvuliwa uongozi. hakika mimi sijawahi kukilalamia chama kitoto kama ulivyofanya juzi kanuni za chama zilipokuengua. ungekuwa na sense ungejua tu kuwa machoni mwa chama,wewe ni msaliti hatari usiyeweza kuaminika. chama gani kikupe ujumbe wa kamati kuu? labda CHAPUTO (alikisemaga masanja mkandamizaji)
 
Last edited by a moderator:
Bwana Ben, salaam.

kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu (boss wangu).
Ila umetumiwa na Mwigulu, na ushahidi upo hapa

Halafu eti unajiona ni muadilifu.

You must have very very serious problems. Unaonekana unaweza kuua wakati wowote. You are so dangerous!
 
Last edited by a moderator:
Bwana Ben, salaam.
umesoma vizuri nilichoandika? mimi sijakupigia kampeni na kamwe siwezi kukupigia kampeni. ungekuwa makini kama unavyosemwa hapa ungeona kuwa post yangu ni irony.
kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu. bwana ben,mimi sijawahi kupewa onyo na chama kama wewe na kuvuliwa uongozi. hakika mimi sijawahi kukilalamia chama kitoto kama ulivyofanya juzi kanuni za chama zilipokuengua. ungekuwa na sense ungejua tu kuwa machoni mwa chama,wewe ni msaliti hatari usiyeweza kuaminika. chama gani kikupe ujumbe wa kamati kuu? labda CHAPUTO (alikisemaga masanja mkandamizaji)

- Kaka twende pole pole daamn eti umesema what? Duh kumbe alilalamika kuhusu sheria za UKAWA alipoenguliwa please mkuu twende pole pole wewe unaonekana unajua mengi sana weka hapa mkuu kumbe huyu alilalamikia Sheria za uchaguzi wa UKAWA?

Le Mutuz
 
Bwana Ben, salaam.
umesoma vizuri nilichoandika? mimi sijakupigia kampeni na kamwe siwezi kukupigia kampeni. ungekuwa makini kama unavyosemwa hapa ungeona kuwa post yangu ni irony.
kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu. bwana ben,mimi sijawahi kupewa onyo na chama kama wewe na kuvuliwa uongozi. hakika mimi sijawahi kukilalamia chama kitoto kama ulivyofanya juzi kanuni za chama zilipokuengua. ungekuwa na sense ungejua tu kuwa machoni mwa chama,wewe ni msaliti hatari usiyeweza kuaminika. chama gani kikupe ujumbe wa kamati kuu? labda CHAPUTO (alikisemaga masanja mkandamizaji)
Unajidhalilisha tu humu kwa aina ya Maandiko yako wewe ni wakupuuzwa tu,

Najua malengo yenu hayajatimia mnaugulia maumivu ndani kwa ndani.
 
- Sasa kama dogo kapigwa kote kote chini una maana gani kama sio maumivu hayo I mean Bavicha kapigwa chini Kamati kuu kapigwa chini sasa wewe unasema nani ana maumivu hapa kama sio wewe au? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom