kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,642
You have talked my thoughts! Ben Saanane namkubali sana, akiondoka CHADEMA itakuwa ni huzuni sana kwangu pia even though mi pia ni vigumu sana kuhama hiki chama, nina miaka 6 tangu nimejiunga CHADEMA na sijaona ubaya wa hiki chama bali ni chama sahihi kwa mwanamageuzi yeyote yule hata kama zipo challenges za ndani kwa ndani lakini haziwezi kuondoa uhalisia kuwa CHADEMA ndio chama cha ukombozi nchini, vijana wa bodaboda, mama ntilie, wakulima, wafanyakazi, wanafunzi na kila aina ya watu matumaini yao yote ni CHADEMA hivyo hatuwezi kusaliti fikra za wanyonge hawa kwa kuiacha CHADEMA.
Sitakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA bali nitaipigana na kuilinda CHADEMA hata kama all the commanders will left the party, sababu naamini CHADEMA ni Tanzania, huwezi kuipenda na kuilinda Tanzania bila kwanza kuipenda na kuilinda CHADEMA.
CHADEMA AND TANZANIA ARE INSEPARABLE
Mkuu wewe hapo, Ben na baadhi ya wabunge wa Chadema ndio milionifanya niipende na kufwatilia na kuelewa Sera za Chadema na Hatimae kuwa Mwanachama Hai wa Chadema. Chadema kwangu sasa ni kama Ukoo! nikiyaona na kuyasoma Maneno yako hapo Juu napata tumaini kuwa Ukombo huu karibu. Heko kwako mkuu.
Last edited by a moderator: