Ben Mwangonda wa KHATCO Management

Ben Mwangonda ninae mfahamu ni yule mtangazaji wa RTD unless kama majina yanafanana?
Aliwai kaa Japani kikazi on journalism for more than 4 years akarudi Tz kuendela na uwanahabari wake

Quite right, Ben Mwang'onda wa TBC ni mwandishi ambaye yuko based Mbeya. Labda siye huyu ambaye Mwkjj anamuulizia hapa.
 
Huyu ni mtoto wa mzee Apson Mwang'onda, aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa. Ni kijana mdogo kiumri lakini ana pesa nyingi za kutisha na chanzo cha yeye kuwa na pesa hakieleweki.

Ni very famous jijini dar na Tanzania, anaogopwa na kuheshimiwa kwa madili ya biashara. Ana miliki makampuni mengi moja wapo ni ile kampuni iliyofunga CCTV pale ikulu na Ikulu ya Zanzibar kwa mapesa mengi sana.

Ni moja kati ya wabunge vilaza wa kuteuliwa na JK kwani toka ameingia bungeni 2005 sijasikia mchango wake hata siku moja.

Kuhusu Elimu yake sina uhakika vizuri nipe muda nitakupa data.
 
huyu ni mtoto wa mzee apson mwang'onda, aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Ni kijana mdogo kiumri lakini ana pesa nyingi za kutisha na chanzo cha yeye kuwa na pesa hakieleweki.

Ni very famous jijini dar na tanzania, anaogopwa na kuheshimiwa kwa madili ya biashara. Ana miliki makampuni mengi moja wapo ni ile kampuni iliyofunga cctv pale ikulu na ikulu ya zanzibar kwa mapesa mengi sana.

Ni moja kati ya wabunge vilaza wa kuteuliwa na jk kwani toka ameingia bungeni 2005 sijasikia mchango wake hata siku moja.

Kuhusu elimu yake sina uhakika vizuri nipe muda nitakupa data.

umekosea mkuu. Siye huyo
 
popcorn.jpg

Kwani vipi anauza popcorn?
 
Mkuu GT.Tafadhali jaribu kuwa makini na mambo unayoyafanya,mzaa kila mara utakupunguzia heshima mbele ya jamii.

Mkuu,

Naona ume miss point kwenye ujumbe wa GT. Hapo ana maana sinema linaanza na kaweka popcorns zake na kukaa mkao wa kula tayari kwa bonge la sinema.

Ni msemo wa kawaida sana hapa JF.
 
Mkuu,

Naona ume miss point kwenye ujumbe wa GT. Hapo ana maana sinema linaanza na kaweka popcorns zake na kukaa mkao wa kula tayari kwa bonge la sinema.

Ni msemo wa kawaida sana hapa JF.

Mzee nakuaminia unaangalia mambo kwa darubini kali
 
Basically hakuna mwenye fununu juu ya huyu mtu muhimu ambaye anakampuni ya Khatco. Angalieni majina kuna tofauti ya "Mwang'onda" na "Mwangonda"..

Kidatu ile kampuni iliyofunga CCTV za Ikulu na wapi sijui ndiyo kampuni gani? Maana nakumbuka Chamvulasole aliwahi kuandika kitu kama hicho...
 
Makubwa haya,lkn wenyewe si walisema hata mfanyaje hilo la KAGODA halizungumziki....?
"Ni AIBU kwa taifa"
Nini zaidi ya haya maneno,Mkjj unahitaji?
Maana maneno hayo machahe yanasema yote,yaliyofichika kwenye hiyo KAGODA
 
Mkuu Mtanzania,nashukuru sana kwa 'kututoa tongotongo' akina sie tuliokuwa hatuelewi maana ya ile PICHA.
Naomba msaada wako kama pia unaweza ukanisaidia/ukatusaidia kuelekeza maana ya PICHA nyingine aliyoipost GT kwenye thread "msomaji alitolea uvivu 'raia mwema' ".Kwani GT mwenyewe alipoulizwa maana halisi ya ile picha hakutoa majibu.
 
Back
Top Bottom